Walioangalia KIPINDI CHA michezo channel ten yanasikitisha sana sanaa, Kocha mgunda kaulizwa umeonaje mechi, AKASEMA hajawahi kumsema Refa YOYOTE Toka aanze KUFUNDISHA akasema HATA kama anapiga filimbi kama ANACHEZESHA ngomaa
Lakini yaliyotokeaaaa wananchi mmeyaonaaa nawaachia nyie mseme...
Video ya inayosambaa mitandaoni ya mwalimu wa madrasa huko Mbagala akiwapiga fimbo watoto wadogo ni mbaya sana. Hata hivyo ukisikiliza wanaochukua hiyo video wanasema siku nyingine huwa anawapiga mpaka hasira zake ziishe! Hii ni hatari kwa usalama wa hao watoto.
Kwa kumuangalia tu huyo mwalimu...
Wakuu mimi ni mwalimu natamani nikafundishe kati ya Nchi tajwa hapo juu tafadhali mwenye miongozo anipatie hapa jukwaani mimi na wanajukwaa wenye shida kama yangu tutashukuru sana
Ahsanteni
Serikali ilitangaza ujio wa ajira mpya za ualimu, moja ya ajira hizo ni somo la (business studies)na linaonekana lina uhaba wa walimu ilihali kuna kuna lundo kubwa la walimu wa economics wapo mtaani na hawajiliwi kufundisha somo hilo je economics haikizi vigezo vya kufundisha somo hilo la...
Habari mimi ni mwanafunzi wa mwaka wa tatu UDSM natafuta kazi ya kufundisha majumbani (tuition), kuanzia shule ya msingi mpaka kidato cha sita masomo ni English, kiswahili na History kwa mawasiliano zaidi 0785935414, ahsante.
Maombi sasa yamefunguliwa kwa walimu wa Kitanzania kutuma maombi ya kushiriki katika mpango maarufu wa Fulbright Teacher Exchange wa mwaka 2026! Hii ni fursa ya kipekee ya kushirikiana na waelimishaji wa Marekani, kubadilishana mawazo bunifu, na kushirikiana mbinu bora za ufundishaji.
Usikose...
Natafuta kazi nipo mkoa wa Tabora. Pia hata kufundisha masomo ya sayansi ya sekondari yaani Physics, chemistry,computer, na mathematics naweza. Kwa yeyote mwenye connection msaada
Waziri wa Katiba na Sheria Prof Kabudi ametaka Elimu ya Biblia iingizwe Kwenye mitaala ya kuanzia Chekechea hadi Sekondari
Prof Kabudi amesema zitengwe fedha za kuchapisha Biblia Ili zigawiwe Bure Kwa wanafunzi Katika Jitihada za kulinda Maadili yanayoporomoka
Kabudi amesema hayo kwenye...
Walimu na wafanyakazi Shule ya Sekondari ya Meta, iliyopo mkoani Mbeya, inayomilikiwa na Jumuiya ya Wazazi ya Chama cha Mapinduzi, wamegoma kuendelea kufundisha na kuwasimamia mitihani inayoendelea katika shule hiyo wakishinikiza kulipwa malimbikizo yao ya mishara ambayo hawajalipwa kwa zaidi ya...
Habari za muda huu.
Mimi ni kijana wa kitanzania. Nina umri wa miaka 25, natafuta kazi ya kufundisha kwenye taasisi ya elimu kwa ngazi ya kidato cha kwanza hadi kidato cha sita.
Nina uzoefu wa kufundisha shule ya sekondari kwa kipindi cha muda wa mwaka mmoja na nusu, somo la Kiswahili na...
We Mbowe umetoa tuhuma nzito dhidi ya Jeshi la Polisi nchini, lakini hata nyie chama chenu kinao vijana waliopewa mafunzo ya kijeshi, wakati wa uchaguzi na hata sasa uchaguzi wa serikali za mitaa, vijana wenu mliowapa mafunzo wamesambazwa kwenye kila wilaya kutoa mafunzo ya namna ya kufanya...
Hello family?
Naomba kupata uzoefu wa mtu aliyewahi au anayefundisha vyuo vikuu binafsi nchini. Hali ya malipo ikoje? amenities kama zinakuwa provided timely, job security, na treatment ikoje?
Nikipata mwenye uzoefu na vyuo kama SAUT, TUMAINI na St. John itakuwa bora zaidi.
Ahsante.
Habari wanajukwaa?
Nina Bachelor of science in physics (Sio ualimu).
Kutokana na ugumu wa ajira na ugumu wa maisha kiujumla, nimekuja mbele zenu kutafuta kazi. Ninauzoefu wa kufundisha kwa miaka miwili sasa( Theory na practicle) kwa O level na A level.
Nipo tayari hata kwa Interview, sambamba...
Picha: Mtandaoni
Kwa heshima kubwa nampongeza rais na baraza la sanaa kwa kuona kuna kitu tunaweza kujifunza kutoka kwa jamii ya watu wa Korea Kusini
Ila niseme kuwa wizara ya sanaa imeshindwa kutafsiri maono ya rais juu ya sanaa yetu.
Ila wasani hawaendi kujifunza utamaduni wa Korea ili waje...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.