Mwalimu Kalokola, huku akishushia kangala la mkopo akiwa na kishikwambi kapwani. Mwalimu huyu anasema walimu wana maisha magumu sana.
Mshahara ukichelewa kidogo tu na mikopo inaongezeka.
Walimu wengi walitarajia mishahara kutoka Jumamosi tar 21 lakini haijatoka.
Huenda ikatoka kesho tar 23...
Halmashauri ya Manispaa ya Temeke imeanza mchakato wa kufungua shauri la nidhamu dhidi ya Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Japhet Maganga baada ya kutorejea katika kituo chake cha kazi tangu alipotakiwa kufanya hivyo Oktoba Mosi mwaka huu.
Maganga ambaye cheo chake ni Mwalimu...
Hii ni hatua nzuri sana ya kuanza kuwapa elimu waarabu kuheshimu dini za watu wengine, waache dhana ya kulazimisha kila mtu ajiunge kuabudu katika wanachokiabudu. Muasisi wa dini yao kabla hajajifia aliacha maagizo wachinje kila asiyeamini mambo ya yake, na hiyo ndio imesababisha dunia ni mwendo...
Tunatenga miaka mitatu ya kufundisha katiba, hii ni katiba inayokuja au iliyopo?
Je, waliopendekeza hii elimu ya miaka mitatu ni vyama vya siasa au ni chama cha mapinduzi?
Kama ni katiba ya zamani kwanini wanaamini tunatakiwa kuifahamu wakati agenda ni katiba mpya?
Russian forces launched a missile attack on the Chernihiv Music and Drama Theatre when a gathering of drone manufacturers and aerial reconnaissance training schools was held there as part of the Liuti Ptashky (Angry Birds) demo day, although only the event’s participants knew the exact location...
Nimefanikiwa kupata Bachelor of Education, hivyo basi kwa yeyote mwenye uhitaji au connection itakayoniwezesha kupata kazi ya kufundisha au inayoendana na taaluma yangu.
Naomba kutanguliza shukrani.
10 August 2023
WAISLAM WAIKAANGA SERIKALI MTAALA ELIMU YA DINI "KUHUSU BANDARI WAMETUITA KWANINI SIO HILI".
Viongozi wa Jumuiya na Taasisi za Kiislamu Tanzania viongozi wake Sheikh Ponda, Sheikh Kundecha, Sheila Suleiman Daudi, Sheikh Abdallah Mrisho na Sheikh Hassan Abbas wametoa taarifa...
Baada ya kutoa maoni yangu kwenye Uzi wa Bongotunacheza uitwao " FAIDA nilizo zipata baada ya kuwatoa watoto wangu English Medium na kuwaleta Kayumba" nimepokea pms nyingi sana watu wakiniuliza ninatumia mkakati gani kuhanikisha watoto wangu wanafanya vizuri kwenye somo la kiingereza kama...
Wana JF,
Leo Tarehe 5/7/2023 asubuhi wakati nasikiliza BBC kupitia Radio Free Afr., nimeshangaa kusikia kwamba nchi moja wapo ya majirani zetu wameamua kufundisha lugha ya KISWAHILI katika primary schools zao.
Sasa, kilichokuja kunishangaza ni kusikia mwalimu shuleni akiwafundisha watoto...
UMENIFUNDISHA KUFUNDISHA
Jumatatu moja tulivu, wanafunzi wa darasa la tano waliingia darasani baada ya kutoka Paredi. Mwalimu mgeni machoni mwao akaingia darasani. Wanafunzi wote wakasimama na kusalimia kama ada yao. Mwalimu akaitikia na kuwaruhusu wakae. Akaenda ubaoni na kuandika jina lake...
Jack Ma ameonyesha uwezekano wa kuwa msomi na tajiri pia kinyume cha tunavyoamini hapa kwa wasomi hawezi kuwa matajiri
---
Jack Ma, the billionaire co-founder of Alibaba who disappeared from public life in 2020, has taken up a teaching role in Japan
Alibaba co-founder Jack Ma has joined Tokyo...
Kumekuwa na wimbi kubwa la watu wanaojiita Mitume, Manabii au Wachungaji ambao wamekuwa wakiwakonfyuzi watu hasa wale ambao si waumini wa Dini ya Kikristo.
Kitu kibaya zaidi hao Viongozi wa madhehebu hayo wamekuwa wakitumia Biblia kama njia ya kufanya huo utapeli wao ukaonekana ni ukweli...
Shule Za msingi Tanzania zinafunguliwa Kesho Tar 11.4.2023 kwa kilio baada ya walimu wasio pungua 760 Moshi Manispaa kutangaza mgomo baridi wa kutokufundisha .
Hii ni KUTOKANA na mwezao kuwekwa Lockup na manyanyaso walimu wanayoyapata kutoka kwa afisaelimu (Ngonyani) hadi hapo atakapohamishwa...
Tanzania kuna watoto wengi sana wanaingia shule kwa kasi kuliko uwezo wa serikali kuajiri walimu wa kutosha. Huu ni wakati mzuri wa kufikiria programu ya wahitimu wa elimu za juu ambao wengi nao ni vijana kufundisha kwenye shule mbalimbali kwa mwaka.
Serikali iweke utaratibu mzuri hili...
Utata umeibuka kuhusu kifo cha mwanafunzi wa kidato cha nne wa shule ya sekondari iliyoko Pasua, Manispaa ya Moshi, Walter Ebenezer, anayedaiwa kushambuliwa kwa mateke kwenye mbavu na mwalimu wake kisha kupewa adhabu ya kupiga ‘push up’.
Kutokana na kifo hicho, ndugu wa mwanafunzi huyo...
Nikosa kubwa mwanamke kumtawala mwanaume na Mungu amekataa hili, soma 1timotheo2:12 (Simpi mwanamke ruhusa ya kufundisha Wala kumtawala mwanaume). Je, waislamu maandiko yenu yanasemaje kuhusu hili?
Wanawake wa sasa hawalitii hili agizo la Mungu wanalazimisha wawe sawa na wanaume na ni kitu...
Habari za leo? Kama kuna mwalimu wa hesabu mwenye uwezo wa kufundisha vizuri o-level na A-level na angependa kujitolea naomba ani-pm. Tutamlipa posho isiyozidi laki mbili na nusu kwa mwezi. Akihitaji kulipwa hiyo posho kwa wiki ni sawa pia(250,000/4). Utapata kifungua kinywa, chakula cha mchana...
Maswali kwa Wizara ya Elimu Tanzania na kwa wadau wote humu Jamiiforums:
Kwa kuzingatia takwimu za matokeo ya kidato cha nne 2022.
1. Kwanini wizara haijaamuru matumizi ya lugha ya kiswahili katika kufundisha na kuondoa matumizi ya lugha ya kiingereza katika ngazi zote za kielimu hapa nchini...
Wizara ya Elimu, Sayansi na Elimu ya Juu, imetuma timu maalumu mkoani Kilimanjaro kuchunguza tuhuma za wanafunzi kufundishwa vitendo vya ulawiti katika shule mkoani humo.
Uamuzi wa Serikali unatokana na gazeti moja nchini kuripoti uwepo wa shule inayofundisha masuala hayo mkoani humo kitendo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.