kufundisha

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Andrew Timotheo3105

    Natafuta kazi ya kufundisha fani ya uhazili

    Naitwa Andrew Timothy natafuta nafasi ya kazi ya kufundisha fani ya Secretarial. Nina uzoefu wa miaka miwili katika ufundishaji katika masomo ya Shorthand, Hatimkato, Secretarial Duties, Office practice, Typing Lakin pia Enterpreneurship Education and training..! Niko DSM Email...
  2. Martyr 360

    Kiswahili kuchaguliwa kama Lugha ya Taifa ilikuwa kosa?

    Yaani hapa bongo bhana tuna vipaji vingi sana tena watu wa maana umewahi kufikiria kwanini hatuvumi sana kimataifa na dunia kiujumla. Hii ni kwasababu ya lungha tunayotumia kama Lungha ya taifa umewahi kufikiria labda ENGLISH ingekuwa ndo lugha yetu ya taifa yaani Kwanza tungekuwa na lafuzi...
  3. Boss la DP World

    Wakati wenzetu wakiendelea na uvumbuzi wa AI, sisi tunakomaa kufundisha panya pale SUA

    Wakati wenzetu wakiendelea kuvumbua teknolojia mbalimbali ikiwemo akili ya bandia (Artificial Intelligence), wasomi wetu wa SUA wanakimbizana na panya eti kuwafundisha panya kubaini magonjwa na kugundua sehemu ambazo mabumu ya ardhini yametegwa. Kwa maoni yangu huu ni mtindio wa ubongo kwani...
  4. Championship

    Makocha kumi bora kuwahi kufundisha mpira wa miguu Tanzania 1990-2022

    Hawa ndio makocha bora zaidi katika soka letu katika kipindi tajwa hapo juu. Kigezo kikuu ni idadi ya vikombe ila pia tumeangalia ubora wa mpira na uwezo wa kuboresha vipaji vya wachezaji. 1. James Siang'a 2. Abdallah Kibaden 3. Patrick Phiri 4. Jack Chamangwana 5. Patrick Aussems 6...
  5. Hassan Enzi

    Nahitaji Shule ya kufundisha kwa kujitolea

    Natafuta shule ya KUJITOLEA nafundisha masomo yote ya shule za msingi. Pawepo na angalau ya maji. Mana kitaa kinachosha
  6. N

    Mimi ni mwalimu wa science natafuta shule ya kufundisha

    Habari! Naitwa Nazaely Shani natafuta shule ya kufundisha profession ni mwalimu wa Chemistry na Biology olevo hadi advance. Check me 0743303233 au 0673803233
  7. kavulata

    Juma Mgunda afungiwe kufundisha mpira ligi kuu Tanzania

    Kufundisha timu mbili za ligi moja kwa wakati mmoja wa ligi haikubaliki na sio weledi. Madhara yake ni pamoja na: 1. Juma mgunda ana mapenzi/maslahi na timu mbili za ligi kuu kwa wakati mmoja. 2. Juma mgunda anaweza kupanga matokeo ndani ya ligi kuisaidia Coastal au Simba katika mazingira...
  8. M

    SoC02 Wahitimu wa Ualimu wajitolee kufidia uhaba wa Walimu, na wenye kigezo hiko wapewe kipaumbele cha ajira

    Uhaba wa walimu. Ripoti ya takwimu muhimu za Tanzania ya mwaka 2019 iliyotolewa na Ofisi ya Taifa ya Takwimu inaonesha shule mbalimbali za Msingi za serikali inaonesha kuwa mwaka 2018 shule za serikali zilikuwa na walimu 191771 ila kwa mwaka uliofuata wa 2019 walipungua hadi walimu 188336 kabla...
  9. Jobless_Billionaire

    Wakuu natafuta shule ya kufundisha

    Habari za wakati huu wapendwa. Nina Imani mu wazima wa afya. Kama kichwa Cha habari kinavyojieleza, Mimi ni kijana umri miaka 25 mhitimu katika chuo kikuu Cha Dar es Salaam shahada ya Ualimu katika masomo ya Geography na Kiswahili mwaka 2020. Nimekuwa nikijaribu kutuma maombi shule mbalimbali...
  10. E

    SoC02 Mfumo wa elimu nchini ujikite zaidi kufundisha UKIMWI shuleni

    MFUMO WA ELIMU NCHINI UJIKITE ZAIDI KUFUNDISHA UKIMWI SHULENI Na Edson Joel UGONJWA wa Ukimwi ni miongoni mwa magonjwa hatari na yanayosumbua dunia kwa muda mrefu Sana kutokana na kuhathiri kwa kiwango kikubwa maisha ya watu wengi hususani Vijana hivyo kupelekea wataalam wa afya duniani...
  11. chiembe

    Ushauri: Haji Manara arudie kazi yake ya udalali na kufundisha madrasa, maisha yatamuwia magumu

    Namshauri Haji Manara arudie kazi yake ya zamani ya kufundisha madrasa na udalali wa nyumba na magari. Muda si mrefu GSM atachoka kumlipa mshahara wa Bure.
  12. Kidagaa kimemwozea

    Kozi ya kufundisha kiswahili kwa wageni

    TANGAZO ! Kozi ya kufundisha Kiswahili wageni Asasi ya swahilispeaking.co.tz (Dar es Salaam, Tanzania), inayojishughulisha na ufundishaji wa Kiswahili kwa wageni inatarajia kutoa mafunzo mafupi kwa mtu anayependa kujua namna ya kufundisha wageni. Ni asasi binafsi ya KISWAHILI kwa WAGENI, ni...
  13. K

    Heko Kwa kikundi cha Mizengwe kwa kazi zao zenye maadili na zinazo fundisha na zenye Uhalisia

    Kikundi hiki kina miaka mingi sana katika sanaa. Mpaka leo mwanaume hajawahi vaa magauni au nguo za ajabu ajabu. Wamekua katika mazingira halisi kabisa na bado kazi zao hazichoshi kutazama. Katika kazi zao mwanaume amebakia kuwa mwanaume na mwanamke nae amebakia katika nafasi yake. Kwa anae...
  14. Gama

    Raia wa US akiri kufundisha Jeshi la Wanawake wa IS

    Mwanamama Allison Fluke-Ekren raia wa marekani amekiri kushiriki katika kutoa mafunzo kwa jeshi la wamawake wa IS. Iwapo atatiwa hatiani anaweza kufungwa hadi miaka 20 jela FUATILIA HAPA US woman admits to training all-female IS battalion AUS woman has confessed to leading an all-female...
  15. Lycaon pictus

    Ina maana kocha Mbwana Makata haruhusiwi kufundisha hata timu ya shule au chuo?

    Eti wakuu, TFF wanamiliki mpira wote wa miguu nchini? Maana huyu kapewa adhabu ya kutojihusisha na mpira wa miguu nchini kwa miaka mitano. Inamaana hata shule au chuo haruhusiwi kufanya ukocha?
  16. Nafaka

    Mtaala mpya wa elimu kufundisha coding katika shule za msingi na sekondari

    Serikali ya Kenya imepitisha mtaala mpya ambao wanafunzi wa shule ya msingi na sekondari watafundishwa coding. Halafu baadae turudi kukataa ukweli kwamba hawa wakenya likija suala la ubunifu katika teknolojia na startups wanatuzidi. Sisi bado hatuko serious katika mambo mengi hata elimu yetu pia...
  17. Cannabis

    Athuman Maige, Mbunge wa Tabora Kaskazini aomba serikali ifanye utafiti mahususi kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania

    Mbunge wa Tabora Kaskazini, Mh. Athuman Maige ameitaka serikali kufanya utafiti wa kina kuhusu lugha ya kufundishia nchini Tanzania. Mbunge huyo amesema "Ziko tafiti zaidi ya 40 zimefanyika na zote zinasema lugha inayofaa kufundishia Tanzania ni Kiswahili, naomba serikali ifanye tena utafiti...
  18. K

    Tatizo la vyumba vya madarasa limekwisha. Je, kuna walimu wa kutosha kufundisha wanafunzi watakaojaza madarasa hayo?

    Igweeeeee Awali nianze kwa kuipongeza serikali ya awamu ya sita chini ya rais Samia Suluhu kwa kuhakikisha changamoto ya madarasa kwa shule zote za sekondari hapa nchi kubaki historia ifikapo tarehe 17 january 2022 siku shule zote zitakapofunguliwa. Lakini wasi wasi wangu upo upande wa walimu...
  19. Edsger wybe Dijkstra

    Wanahitajika walimu kufundisha part time mkoa wa Mwanza

    Tunahitaji walimu wa Physics, Chemistry, Biology, History, Kiswahili, Language,Adv Mathematics, Commerce, Accountancy kwa A level na O-level amabao wapo mkoa wa mwanza kwa kazi ya kufundisha part time. Tuwasiliane pm kama upo tayari.
  20. figganigga

    Wanajeshi (JWTZ) Wasaidie kufundisha maadili na Uzalendo Majeshi mengine ya Tanzania

    Salaam Wakuu, 1. Kipindi cha Kikwete, Wanasiasa walipelekwa JKT kujifunza Uzalendo na Maadili. Hii napendekeza iendelee kwa Mawaziri, Wakurugenzi, Makatibu wakuu, Wakuu wa Wilaya na Mikoa. 2. Polisi, Usalama wa Taifa na Askari wa amani, Waende JWTZ kujifunza kwanini Wanaogopwa lakini JWTZ ni...
Back
Top Bottom