Nimesikia wakijijitetea kuwa kampuni ya X ambayo zamani ni twitter kuwa imejiondoa ila cha kushangaza hapo mwanzo kwa nini kama mamlaka ya mawasiliano mkutoa tangazo kuwa imejiondoa.
Kwa uwezo mlionao muwezi kuwadanganya watu kwa dunia hii ndio maana ilitengenezwa VPN ili kusiaidia watu wasio...
Waziri wa Mawasiliano Nchini Tanzania Jerry Silaa akifanya mahojiano katika kipindi cha Cafe Talk yaliyofanyika mapema leo jijini Dar es salaam. ameeleza kwa kina na kutoa sababu iliyoplekea serikali kufungia mtandao wa X kwasababu ilijiondosha kwenye kanuni za maudhui ya nchi yetu na kuruhusu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.