Fbn
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 15,749
- 37,420
Nimesikia wakijijitetea kuwa kampuni ya X ambayo zamani ni twitter kuwa imejiondoa ila cha kushangaza hapo mwanzo kwa nini kama mamlaka ya mawasiliano mkutoa tangazo kuwa imejiondoa.
Kwa uwezo mlionao muwezi kuwadanganya watu kwa dunia hii ndio maana ilitengenezwa VPN ili kusiaidia watu wasio weza kupata mawasiliano na kulinda taarifa zao.
Majibu mnayoleta kirahisi ni sawa na yale anayojibu afande muriro kesho ni kiongozi mkubwa ndani ya ccm.