Habari Wakuu,
Leo 09/ 02/ 2022 shahidi wa 13 anatarajiwa kuendelea kutoa ushahidi wake kwenye kesi inayomkabili Mbowe na wenzake 3.
Kujua Kesi ilipoishia fungua kiungo hiki:Yaliyojiri Mahakamani kesi ya Mbowe na wenzake: Shahidi wa 13, Tumaini Sostenes Swila kuendelea kutoa ushahidi wake...
Mizigo kutokea Mombasa itawahi fasta na kufika Rwanda, Burundi n.k.
Rwandan President Paul Kagame and his Kenyan counterpart Uhuru Kenyatta have agreed to ensure a smooth flow of goods between their borders, after a key route was reopened on January 31.
The commitment which came days after the...
Nawasalimu wote.
Mwenye ufahamu afahamu, na afunguliwe kuzijua siri za ufalme wa roho.
Leo nitaongelea njia moja wapo ya kuweza kufungua mlango na kuingia katika ulimwengu wa roho. Njia hiyo ni chanting.
UTANGULIZI
Kwanza kabisa chanting ni nini!? Nikutamka au kuimba maneno kwa kurudia...
Nimefungua biashara ya Mgahawa sehemu flani hapa jijini Dar es Salaam, nimeweka wafanya kazi 3; mmoja kwa ajili ya chips na wa2 kwa ajili ya chakula kwa sababu biashara yenyewe bado changa. Eneo ambalo nafanyia biashara lina population kubwa na halina competition kubwa sana. Mimi napitia mida ya...
Niliwahi kushuhudia familia ikipoteza baba na mama kwa wakati mmoja katika ajali ya gari wakiwa wanatokea kula Krismasi na mwaka mpya, kijijini kwao, wakati huo watoto wao wa pekee (mapacha), walikuwa wamebaki shuleni (skuli ya wazazi na walezi wenye kipato cha kati) wakifanya maandalizi ya...
Wakuu habari za sasa hivi.
Naomba kufahamu wapi pa kuanzia ikiwa nataka kufungua microfinance, na je, kuna kima cha chini cha kuanzia kwa mjibu wa sheria?
Majanga yatokanayo na hiyo biashara ni yapi? Nini cha kuzingatia katika kuendesha hiyo biashara?
Ahsanteni
tf.
Hello members.
Hivi karibuni nchi ya Uganda imeanza ujenzi wa barabara za kimkakati zinazolenga kukuza biashara baina yake na nchi ya DRC Congo..
Barabara hizo zinajengwa ndani ya Mipaka ya DRC kwa makubaliano maalumu na kuharakisha kukuza biashara na uchumi.
Kwa mtizamo wangu ,hili ni wazo...
Nafikilia kufungua pes game ya mtaani, vitu gani niandae kwa jili ya kuanzia sina mtaji mkubwa, naomba mwenye uzoefu anishauri nitumie nini hasa au pc za ukubwa upi ili niwe na mwanzo wenye uangalau, na PC izo nataka nitafute mtaani, sio shop, coz Huku kwetu wanapenda PES so FIFA
Mhe. Samia alipokuwa VP ktk kipindi cha kampeni alitoa matamshi yanayobinya haki na demokrasia ya raia wa Tanzania. Aliwaambia wananchi kwamba "hata ukipiga kura kule kwingine ccm itaunda serikali".
Haya ni matamshi yanayoashiria kwamba Samia aliijua na alishiriki kupanga mipango ya uchafuzi...
Nakusalimuni wakuu.
Binafsi nina ndoto za muda mrefu sana za kufungua Biashara ya kuuza dawa za binaadamu yani Pharmacy kwa rejareja hapa jijini Dar es salam.
Naomba maoni yenu wakuu, ni kiasi gani nahitajika niwe nazo ili niweze kufungua na kuanza hii Biashara. kwa maana ile starting point...
Wakuu habari
Nataka kuanzisha online tv.
Natafuta watu wa kufanya kazi wenye ujuzi na hiki kitu. Tuanze pamoja, tuinuke pamoja
Ni pm namba ya simu tuyajenge
No one will be part of the New World Order
unless he carries out an act of worship to Lucifer.
No one will enter the New Age unless he receives Luciferian initiation.
Maana yake:
Hakuna mtu atakayekuwa sehemu ya New World Order
Hadi afanye kitendo cha ibada kwa Lusifa.
Hakuna atakayeingia...
Tunaposema tuwe makini siyo kwamba ni ujinga. WHO imeruhusu chanjo zaidi ya 24 kwa ugonjwa mmoja tu.Hii maana yake chanjo bado ziko kwenye utafiti na zimetolewa kwa hati ya dharula (soma masharti). Na kama zimeshakuwa fully approved maana yake ni kuwa zinazidiana ubora au uwezo ni sawa na dawa...
Ndugu wanajanvi mimi ni mkazi wa DSM Kigamboni, nahitaji kupata mshirika ili tuweze kwa pamoja tufungue dispensery, mimi nitatoa eneo na majengo.
Tuwasiliane kwa namba 0713851751
Haki yangu ya msingi naona imeporwa, nataka kufungua kesi dhidi ya malipo ya kodi ya jengo kupitia Luku ila shida iliyopo ni hao ninaowategemea wana maslahi na nafuu waliyoipata, wakili ananyumba anapangisha yeye mzigo wa kuilipia kodi wamemtua na hakimu naye nyumba yake anapangisha naye mzigo...
Katika mawazo ya biashara ya kufanya, weka mawazo yako katika kutoa huduma katika jamii inayokuzunguka. Mawazo yako yakijikita hapa ni rahisi kugundua kitu kinachohitajika sana katika jamii yako. Fikiria jinsi utakavyozalisha kwa wingi bidhaa ile itakavyo okoa maisha au usumbufu katika jamii...
Hello JF members
Wenye ujuzi tusaidiana katika hili kitaalam zaidi.
Nataka kuendesha biashara mfumo wa kampuni au kuanzisha kampuni 3.
Moja itajihusisha na maswala ya mavazi (yaani maswala yote kuhusu mavazi)
Nyingine itajihusisha na maswala ya chakula (Grocery and food)
Ya mwisho...
Jf ni sehemu ambayo najua inafikika kwa urahisi na kwa haraka kaliko kufika mpaka mjini kupoteza nauli kwenda ofisi za posta kupata taarifa hizi.
Ninataka kufahamu na namba ya kupata Sanduku la barua lengo sio kuandika barua bali kwa ajili ya kupokea vitu ninavyoagiza.Vitu vya msingi kabisa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.