Yaani ukitaka ku- access akauntiz(mfano ya twitter au Instagram ) ya mtu kama Diamond, Ali Kiba, Mayele, Sakho, Chama, Wema, n.k, ukiwa humu nchini, shariti kwanza ulipe 500, then kupitia simu yako, unatumiwa password maalumu itayokuruhusu kuingia katika akaunti ya huyo mtu maarufu .
Nadhani...
Ujenzi wa barabara mpya ya Mpirani Dispensari – Dindimo Primary School (4.30 KM) inayojengwa kwa kiwango cha changarawe katika kata ya Bombo Wilaya ya Same utawapunguzia wananchi kero ya kutembea kwa takribani kilomita 18 wakitumia barabara ya mzunguko ya Maore – Vuje – Bombo.
Akizungumza mbele...
Naishi nje ya Nchi.....!
Inawezekana kufungua Online Account kwa Bank zetu za Tanzania....!
NB.
Najua humu kuna Wafanyakazi wa Bank, ama member wenye Uzoefu na mambo Banking.
Asante.
Na Pili Mwinyi
China na Afrika ni ndugu ambao wanafaana wakati wa dhiki na faraja, na uhusiano uliopo kati yao tunaweza kusema kwamba ni uhusiano wa kihistoria duniani.
Uhusiano huu mashuhuri ambao unajulikana vizuri na kwa mapana zaidi duniani, kutokana na umuhimu wake katika kuchangia...
Ndani ya saa 24 baada ya jibu la ombi kuwasilishwa, kiambatanisho kitawasilishwa na kutolewa uamuzi, ambapo upande wa Mawakili wa Rais Mteule William Ruto utakuwa na siku 4 kuwasilisha na kutoa majibu kufuatia ombi hilo. Mkutano wa kabla ya kesi utafanyika ndani ya Mahakama Kuu kwa siku 8...
Poleni na mihangaiko,
Nimepata wazo la kufungua kituo cha kujaza mafuta.
Kama kuna yeyote ana mfano wa propozo ya kufungua kituo cha kujaza mafuta naomba anisadie.
Ahsanteni.
Serikali ya Kenya imesogeza mbele muda wa kufungua shule hadi Agosti 15, 2022 badala ya Agosti 11 kama ilivyokuwa awali kwa kuwa bado mchakato wa kuhesabu kuwa za uchaguzi mkuu unaendelea.
Waziri wa Elimu wa Kenya, George Magoha amewataka wazazi kupuuza taarifa walizopewa shuleni za kuwarejesha...
Habari za jioni wakuu...
Ninaomba msaada kuhusu namna ya kufungua blog kwa ajili ya kuingiza kipato. Vitu gani muhimu nahitaji kuwa navyo na aina gani ya content ni nzuri?
Ahsanteni!
Wakuu habari za wakati huu, natamani sana kujua ABCs za kuanzisha kituo Cha Afya Cha binafsi.
Je ni mambo gani ya msingi ya kuzingatia?
Je, Kuna mtu anaweza ku-share experience namna ya kukiendesha kwa faida?
Natanguliza shukrani sana
Kwa wamiliki wa website na web apps kuna changamoto ambazo unaweza kupitia katika uendeshaji wako. Mara nyingi hutokana na kutokupata maboresho mapya kwa wakati sahihi.
Kutokana na changamoto hizo tunatatua matatizo yafuatayo;
Database
1. Database cleanup
2. Database optimisation
3. Database...
#HABARI MAHAKAMA Kuu imewaruhusu wabunge 19 wa Viti Maalum kufungua kesi ya kupinga kuvuliwa uanachama wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA)./bit.ly/3OUFVbx
==========
Mahakama Kuu imewaruhusu waliokuwa wanachama wa CHADEMA, Halma Mdee na wenzake 18 kufungua shauri la kupinga uamuzi...
Nawasalimu kwa Jina la JMT,
Tanzania kuna mambo ya kubishaniwa ila sio uhodari,Umakini na Uchapakazi wa Rais wetu Mama Samia Suluhu Hassan.
Mtakumbuka hivi majuzi Rais Samia alifanya ziara katika nchi za falme ya kiarabu (UAE) akihangaika kuifungua Tanzania ili kuwaletea Watanzania...
Habari wana forum,
Naitwa Lucy ni mtaalam wa mambo ya salon, shughuli zangu huwa nafanyia mtaani nafwata wateja au wao wananifwata kwa huduma ya ususi
Leo niko hapa kutafuta mtu ambaye atakuwa tayari either kunisapoti kwa kuwekeza au kunifadhili au hata kushare naye...
Hali ya ajira ni ngumu...
HATUA NA TARATIBU ZA KUFUNGUA MAOMBI YA KUSIMAMIA MIRATHI
Je, mtu akifa na ameacha mali, haijalishi kuna wosia au hakuna wosia, zipi ni hatua za kufata ukitaka kufungua shauri la mirathi au ukitaka kuteuliwa kuwa msimamizi wa mirathi?
Imeandaliwa na kuletwa kwako nami Zakaria Maseke - Advocate...
Habari wanaJF, naamini ni wazima
Nimefanikiwa kufungua online radio ambayo ni tzgospel japo sina studio wala sijafanikiwa kusajili lakini kituo kimekuwa na wasikilizaji wengi wanaosikiliza lakini nashindwa kutangaza maana sijafanikiwa kupata vifaa kama laptop mic mixer ndogo nk
Maana pesa...
Sijui ni mimi tu ndio naona hili au kuna wapo wengine mmeona hivi vichuma vya kufungua na kufunga gesi kabla ya kuwasha kwenye mitungi midogo.
Sivijui jina lake kwa kingereza au kiswahili wee elewa ivo tu nilivoandika.
Ubora wa hivi vichuma nina mashaka nao kama uko sahihi na...
BOT - RUKSA SASA WAKAAZI/ WATANZANIA KUNUNUA HATI FUNGANI KTK NCHI ZA SADC / KUFUNGUA AKAUNTI KWA HELA YA KIGENI / KUNUNUA FEDHA ZA KIGENI US$ 10,000 WANAPOSAFIRI
New Foreign Exchange Regulations Issued
Set foreign exchange limits for travelers
Restrictions for residents to maintain bank...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.