MBUNGE CONDESTER SICHALWE AISHAURI WIZARA YA KILIMO KUFUNGUA DIRISHA ILI KUPATA PEMBEJEO ZA KILIMO MAPEMA
Mbunge wa Jimbo la Momba Mkoa wa Songwe Mhe. Condester Mundy Michael Sichalwe katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni ameuliza swali Wizara ya Kilimo ambalo lilijibiwa na Naibu Waziri...
Rejea kichwa cha habati hapo juu.
Baada ya kuona upotoshaji unaongezeka na watu wakizidi kudanganywa. Mwenyezi Mungu amenielekeza kufungua radio na baadae TV ambayo itasambaa dunia nzima kwa lugha zote kutokea Tanzania.
Hapa nitakuwa nafundisha neno tu, hakuna ujanjaujanja wala upigaji wala...
TRA Tanzania wagoma kufungua office za Vingunguti, wananchi wataka kuvunja mlango na kulazimisha wahudumiwe. Hadi muda huu milango imefungwa, walipa kodi wako nje na wengine wameamua kuondoka zao.
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameamua kukutana na kuongea na Wafanyabiashara wa Soko la Kariakoo leo ambapo tayari amefika Kariakoo muda huu badala ya Jumatano May 17,2023 ambayo ilitangazwa hapo wali hii ni kutokana na uzito wa suala hilo.
Awali mkutano kati ya Waziri Mkuu na Kamati ya...
Kiuhalisia huku ni kupotezeana mb zetu bureee.
Yaani unaona mtu kaweka picha 87. Kutangaza biashara sio mbaya lkn ili uweke kwenye status na mvuto na desire kwa walengwa. Nimekuja kuona ni mpuuz pekee ataendelea kufumgua Kila status ya contact za Whatsapp friend and co.
Nimekuja kuona kwamba...
Na kutokana na Uwingi wa Watu kwa sasa Mkoani Mwanza huku Mahitaji yakiwa mengi na Masoko Kuongezeka hasa Soko Kuu ili Kujikinga na Mabalaa yasiyotarajiwa ( hasa Moto ) naishauri Serikali kuanzia leo iongeze Gari za Zimamoto Mkoani Mwanza.
Kwa umri wa Membe hatuwezi kusema kuwa amekufa mapema au ghafla, na hatuwezi kukihusisha na madai yake kwa Musiba.
Warithi wake wakiamua kuendelea kumkaba kohoni Musiba hawezi kuchomoka.
Musiba alikuwa mtoto aliyelelewa vibaya. Ni mithiri ya mtoto wa chief wa kijiji aliyewatukana wanakijiji...
Imekuwa ni changamoto kwa watanzania Na baadhi ya watu kushindwa kupokea malipo yao kutokana Na PayPal ya Tanzania kushindwa kutoa fedha nchini.
Sasa nmekuja Na hili jipya, ni kuwa unaweza kupokea fedha zako bila shida wala Shaka yoyote. Huhitaji kuwa Na laini za Kenya au laini za nje ili...
Hii habari inasikitisha sana sana na wanazuoni wa Kenya na Afrika kwa ujumla!
Kijana wa kichina ame hack page ya chuo kikuu na amewaomba wampe USD 500 Awarudishie page yao!
Kabarak Uni wana idara ya IT na wanafundisha IT pia, wameshindwa kuonesha ubora kwa jambo hili, walichofanya ni kutoa...
Daah!! Mufti wa siku hizi Wana Smart phones, television na radio nyumbani, ofisini, kwenye simu na kwenye magari yao. Je, Tuendelee na utaratibu wa kufunga na kufungua kwa kuuona mwezi kwa macho yetu hapa mtaani kwetu? Ni kwanini mtume alihimiza Waislam waitafute elimu hata uchina? Uchina hakuwa...
Habari za muda huu wakuu. Nina sanduku linatumia combination lock system, bahati mbaya nime sahau hizo code namber.
Najua humu kuna watu walisoma topic ya Permutation katika advanced maths enzi hizo, sijui sasa kama bado ipo. Tafadhali naomba usaidizi wenu au 'tricks' za kufungua sanduku...
Katika Mikutano Miwili Mikubwa ya China iliyomalizika hivi karibuni, China, kwa mara nyingine, imesisitiza kuwa itahimiza ufunguaji mlango wa hali ya juu. Ikiwa ni nchi ya pili kwa ukubwa wa uchumi duniani, nia thabiti ya kufungua mlango zaidi ya China bila shaka italeta fursa kubwa kwa dunia...
Habari za leo,
Mimi ni mfanyabiashara na ni mtumiaji wa huduma za Airtel Money.
Juzi tarehe 3 Machi 2023 nilifanya muamala wa kuhamisha pesa kutoka Airtel money kwenda Benki, akaunti yangu binafsi pesa ilitoka ila kwenye akaunti haikuingia.
Nilipiga simu huduma kwa mteja wakasema kuwa wao...
Rais Samia anaogopa saa hizi kuhudhuria sherehe za ufunguzi wa miradi ya kimkakati aliyoanzisha Hayati Magufuli kwa sababu wananchi wanamshangilia Hayati Magufuli kila anapotajwa reference ni siku ya uwekaji wa jiwe la msingi la kuchevusha maji wananchi walimshangilia sana Magufuli kuliko wote...
Naomba kujua ABC's za kufungua workshop ya aluminium and glass work, pamoja na Steel. Yaani iwe kutengeneza aina zote za vifaa vya aluminium na grills za madirisha, milango na mageti.
Pamoja na hilo kuwe na retail shop ya vifaa vya aina hizo. Yaani kuwe na workshop na materials ziwe...
Wengi tunaamini kuwa, tunachokisoma mashuleni na vyuoni, ndivyo tunavyoenda kuviishi huko mtaani.
Tunategemea mtu aliyesoma fani kama udaktari wa kutibu, uhandisi, uanasheria, uhasibu, ugavi, masoko n.k aende akaishi kile alichokisomea, iwe kwa kuajiriwa au kwa kujiajiri.
Changamoto iliyopo...
Habari za majukumu wakuu
Natanguliza shukrani kwenu kama kichwa cha habari kinavyojieleza hii biashara nimekuwa nikiifikiria kwa baadae ila naitafutia mtaji kwa sasa hivyo kama unajua taratibu za kufata tunakuomba uje utupe white hapa ili kama kuna mwengine anawaza hii biashara bas ajue pa...
Shirikisho la soka ulimwenguni, FIFA limetangaza kufungua kesi za kinidhamu dhidi ya timu ya Argentina kutokana na kile ilichokitaja kama tabia zisizo za kiungwana ilizoonyesha baada ya kuchukua ubingwa wa kombe la Dunia mwezi uliopita.
Mlinda mlango wa Argentina Emiliano Martinez alionyesha...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.