Habari wadau
Nilikua najaribu kuminya codes tofauti kwenye simu yangu,
Sasa sijajua nimeilock kwa codes zip?
Laini ninayo tumia ni Vodacom , naomba msaada wa codes za kui activate,
Natanguliza shukrani zangu
Habari za muda huu wana JF natumai mnaendelea vizuri kama kuna mgonjwa ugua pole, moja kwa moja niende kwenye mada yangu naombeni msaada wenu akaunti yangu ya Facebook imefungiwa bila sababu siku chache zilizopita japokuwa email address na password nimetumia kurejesha but sina access yoyote...
Kwa hali ya mabando jinsi ilivyo kwa sasa kuna shida kubwa kwenye kudownload mafaili, kufa kufaana mwanangu! penye shida mpya huwa pana mlango wa fursa mpya.
Ttcl hasa kwenye majiji wanatoa unlinited internet ya fiber kupitia nyaya za kwenye nguzo hasa maeneo ya town, unavutiwa waya nyumbani...
1:Anzia kijijini. Kule utapata wafuasi wengi wasio na uwezo wa kuhoji kipindi uwezo wako wa kushawishi Bado mdogo.
2: TUMIA Muda mwingi kusoma vitabu vya uchawi ili ujue watu wanalogwaje, vitabu vya migogoro ya ndoa, magomvi ya familia na ukoo. Ujue watu wakienda Kwa waganga Huwa wanafanywaje...
Habari zenu wana tech, nipo hapa nimepata wazo nataka nifungue forum iwe kama JamiiForums ila tu utakuwa mahususi kwajili ya watu wanaotokea sehemu moja, kufanana interests, kufanya kazi / biashara sawa, n.k. (niche specific)
Wanachama wa kukadiriwa kujiunga ni takribani elf 30.
Je, ni kiasi...
Naam, imefikia pahala watanzania tunajitumbukiza kwenye vijistori vya hovyo hovyo na kuvinadi pasipo kufanya utafiti wa kina. Hili mimi naliona kama tatizo kubwa sana kwetu kama watanzania.
Hivi karibuni ameibuka kijana mmoja ambaye alidai kuwa alifungua mlango wa ndege iliyopata ajali huko...
Waziri wa Habari, Mawasiliano na Uchumi wa Kidijitali, Eliud Owalo amesema lengo la kutoa Wi-Fi bure kote nchini ni kukidhi hitaji hilo muhimu kwa wananchi.
Amesema "Serikali inaamini katika uwekezaji wa Kidijitali kama njia ya kuwezesha Ujuzi wa Vijana, pia, tutatambua Mapungufu ya Ujuzi na...
Gianna Amani
Taasisi ya China-Africa (CAI) ambayo inajihusisha zaidi na utafiti wa masuala yanayohusu uhusiano kati ya China na Afrika imesema inatarajia kufungua vituo vitano barani Afrika ili kusogeza huduma karibu kwa Waafrika.
Akizungumza na waandishi wa habari kutoka nchi za Afrika...
Madai
Shirika la utangazaji la BBC liliripoti kuwa nchi ya China ina mpango wa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya...
BBC.
China inadaiwa kufungua vituo vya polisi nchini Nigeria, Lesotho na Tanzania ili kudhibiti vitendo vya uhalifu vinavyofanywa na raia wake wanaoishi katika nchi hizo tatu za Afrika, tovuti inayomilikiwa na mtu binafsi ya Nigeria ya Vanguard imeripoti.
Wakiwanukuu watetezi wa Usalama...
Habari ya usiku wakuu, nawiwa kushare machache kuhusu mada tajwa hapo juu.
Watu wengi wamekua wakitamani ama kuwa na mpango wa kufungua kampuni inayotoa huduma za ulinzi katika maeneo mbali mbali.
Ni rahisi sana kwani mtu huweza kufanya shughuli hii akiwa binafsi ama kupitia kampuni na mahitaji...
Mkoloni alipofika tu kwetu alikimbilia kuzinyonga mila na tamaduni zetu maana alifahamu mila, desturi na utamaduni ndizo nguvu na nguzo za kila mtu, kila familia, kila ukoo na kila taifa. Hizo ndizo anuani za mawasiliano kati yako, familia, ukoo, kabila, taifa na Mungu wao, ndio ufunguo wa...
Baadhi ya watu huamini kuwa kutumia unga wa dawa iliyo tengenezwa kwa mfumo wa “capsule” ndiyo njia sahihi na haraka ya kupona ugonjwa husika.
Kitaalamu, dawa hutengenezwa kwa mfumo wa capsule ili kuepusha athari za kupungua kwa nguvu yake kabla haijafika kwenye sehemu sahihi ya mwili...
Naamin huu uzi unaweza usiwe wa kwanza kwako juu ya ujuzi wa kufungua
Kampuni na umekua ukipata ujuzi kutoka kwa watu mbalimbali
Lakin ngoja nikuulize swali “unahisi bado kuna kipande cha ujuzi ndani yako kinakosekana?
Bhas huu uzi ndio kipande cha ujuzi kilichobaki ambacho kilikua kinakosekana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.