Habari zenu wana Jf?
Mimi ni mwanachama Mpya, Ni kijana....
Nimefungua akaunti yangu leo hii hii, Nimefurahi kujumuika nanyi, Tutakutana huko kwenye nyuzi tofauti tofauti..
Ahsanteni!!
Salaam JF.
Nimekuja hapa nikiwa na imani ya kuwa jf ni uwanja mpana uliosheheni watu wenye ujuzi tofauti.
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana elimu na uzoefu katika masuala mazima ya kumiliki pamoja na uendeshaji kupitia kampuni inayohusia na Transportation and logistics.
Nakarabisha...
Wakuu nahitaji ushauri.
Ni muda mrefu nina ndoto ya kufungua biashara ya vifaa vya simu.
Ila changamoto nakosa mtaji na sijajua kiasi gani kinaweza kufaa kuanzisha hii biashara. So wajuzi wa mambo naomba mnipe ABC kuhusu mtaji unaofaa na maeneo yanayofaa zaidi kwa biashara hii.
Nataka kuuza...
Igweeeee
Nimekaa nimewaza na kuwazua nifingue biashara gani ili maisha yasonge mbele hapa jijini
Wazo pekee ambalo naona linaweza kuwa tofauti kidogo na zile biashara za kuigana mwishowe kuanza kurogana ni kuanzisha NYAMA CENTER
NYAMA CENTER itakuwa inauza nyama za aina mbalimbali kama vile...
Natamani kufungua kiwanda cha kutengeneza simu.Najua kua kila component hutengenezwa nchi tofauti then kuunganishwa, nahitaji vitu gani ili niweze kufungua kiwanda cha Simu ?
Habari za Mchana
Nina wazo la kuanzisha kiwanda cha kugandisha mabarafu pale soko la Feri
Naitaji muongozo na ushauri Kwa mtu yoyote ambae aliwahi kufanya au ana uzoefu kidogo na biashara hii
Na pia napenda kupata ushauri au mawazo ya jinsi ya kurent sehemu ya soko na kuweka kampuni yangu...
Habari wakuu! Nilikuwa nafanya kazi mkoa wa kusini Songea ajira ya mkataba wa muda baada ya mkataba kuisha nilienda kuulizia taratibu za kufungua madai wakaniambia mimi bado kijana nitapata kazi nitaendelea kuchangia..
Imepita almost miaka miwili nikiwa Sina kazi nikakumbuka Kuna hela nilikuwa...
Wakili Madeleka popote ulipo, tunaomba uwasaidie Hawa wananchi wanaotapeliwa kwa kupitia jina la Ikulu. Nadhani wewe na Ex Mayor Bonny ndio mmebakia wenye uchungu na raia.
Kuna mtu anatumia jina la Ikulu, Waziri Mkuu na hata Jeshi letu la JWTZ kuwatapeli wananchi. Na mpaka sasa hivi kuna watu...
wadau habari
msaada tutani... JOB tupo kama mtu tano tunahitaji kuanzisha kikundi cha maendeleo ila tunataka kukisajili kisheria ili litakapotokea lolote kila mtu awe na haki sasa changamoto inakuja kuna vipengele vingi sana tukienda kwa mwanasheria mf. lazima uwe na physical address + P.O.BOX...
Mgomo wa wafanyabiashara katika Soko Kuu la Mafinga lililopo Wilaya ya Mufindi mkoani Iringa wa kufunga maduka, umeingia siku ya pili leo Agosti 24, 2024 ukisababisha adha kwa wananchi kukosa huduma.
Mwananchi limefika sokoni hapo na kushuhudia milango ya maduka hayo imefungwa huku baadhi ya...
Mahakama Kuu Kanda ya Arusha imesimamisha utekelezaji wa amri iliyokuwa imetolewa na Serikali kupitia tangazo la Serikali namba 673 ya 2024 la kufuta vijiji, kata na vitongoji pamoja na kusitisha tangazo la kuwataka Wananchi kuhama katika Wilaya la Ngorongoro.
Umuamuzi huo umetolewa leo August...
Mwezi hii ya mbeleni nipo kwenye mpango wa kufungua movies store hapa Dar es Salaam.
Napitia changamoto moja ni CPU gani na yenye sifa gani inayoweza kunifaa. kwakazi hiyo maana siitaji kununua cpu itayo nipa ugumu wakufanya kazi.
Nahitaji niiweekee 80TB na ram 12 GB machanga complex...
Mwigizaji na mwanamuziki wa Marekani, Jennifer Lopez na mumewe Ben Afflect wanatarajiwa kupeana talaka baada ya ndoa yao kudumu kwa miaka miwili baada ya Jeniifer kuwasilisha shauri la kudai talaka Agosti 20, 2024
Aidha katika hati hizo zilizofikishwa mahakamani zinaeleza kuwa ndoa ya wawili...
Kwa mara ya kwanza Taasisi ya tiba ya mifupa na Ubongo Muhimbili (MOI) imefanya upasuaji wagonjwa 11 wenye kiharusi na magonjwa mengine ya mishipa ya damu ndani ya ubongo bila kufungua fuvu kupitia mtambo wa kisasa wa Angio suite (Cath lab) uliopo MOI.
Kaimu Mkurugenzi Mtendaji wa MOI Dkt...
Hey, wapendwa
4M inatosha kufungua grocery?
Kama inatosha je vitu gani muhimu?
Na yenyewe inatakiwa kuwa na Vibali au unaweza kufungua kama duka la mangi?
Nafikiria kwenda field ili nipate uzoefu
Yaani niombe kazi hizo sehemu zinazouza pombe, sijuh ni grocery au ni bar.
Ili niweze kufahamu...
Habarini wote, naomba kujua ni maeneo gani kwa Moshi naweza kufungua duka la vifaa vya ujenzi, pia mwenye pia anaeweza nisaidia kupata na fremu itakuwa poa..
Mimi ni kijana wa miaka 30 nina elimu ya diploma ya clinical medicine nilimaliza chuo miaka 4 iliyopita.naomba kufahamishwa hasa namna rahisi ya kumudu biashara tajwa hapo juu.
Siwezi kukaa mwenyewe kutokanq na majukumu yangu kwahiyo nimepangq nimuweke mtu kwa ajili ya kuuza.
Naomba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.