RAIS SAMIA AELEZA JITIHADA ZA KUFUNGUA MKOA KATAVI KWA MIUNDOMBINU YA BARABARA
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea na jitihada mbalimbali za kufungua Mkoa wa Katavi kwa kuboresha miundombinu ikiwa ni pamoja na ujenzi wa...
Wasalamu, Ukitaka kwenda mikoa ya kusini kutokea Ifakara option ni mbili lazima uje Dar au upite Makambako Songea ambapo itakuchukua siku mbili.
Tofauti na kama ikipatikana barabara ya kupita mbuga ya Selous utatumia masaa sita kufika Lindi na mikoa ya Kusini.
Ipo njia ya miguu wanatumia siku...
Mgahawa Maarufu duniani Kwa ajili ya Wanyonge KFC unatarajia kufungua Tawi jipya Katavi (Mpanda Mjini) kutokana na mahitaji (demand) ya huduma zao.
P Wafipa hatimae kilio chenu kimesikika.
Ndugu Wana JF Nimekuwa napata changamoto ya Kufungua Gmail Account Kwa Wiki sasa. Kila namba Ya Simu ninayojaribu kuweka kwa ajili Ya Verification inagoma. Ukizingatia kipindi hiki Wanafunzi wanatuma maombi Mbalimbali na wanaitajika kuwa na Email. Imekuwa changamoto sana kwangu na kwa hao...
"Na isitoshe pamoja na kufanyiwa kila Kitu na Wanaume ikiwemo hadi Kuridhishwa maradufu bado tena Wanaume hao hao Wanawajibika katika Kuwatunzeni lakini pamoja na yote haya utakuta Wanawake wao hawarudishi Uwajibikaji huo kwa Wanaume na wanadhani Kufungua Kwao Miguu kila Siku ndiyo Upendo wa...
Ndugu zangu Watanzania,
Rais wa Msumbiji Mheshimiwa Filipe Nyusi anatarajia kufanya ziara ya kikazi hapa Nchini kuanzia Tarehe 1-4 Mwezi huu wa July.
Ambapo pamoja na mambo mengine anatarajiwa pia kuwa mgeni Rasmi na kufungua maonesho ya sabasaba. Lakini pia Rais huyo wa Msumbiji atashiriki...
Ameandika Wakili msomi.
👇
"Alichoandika Madeleka kwenye ukurasa wake wa X
Ninao UWEZO wa kutumia SHERIA ili MAHAKAMA IWAJUE na KUWAWAJIBISHA wote WALIOMTEKA na KUMTESA ndugu SATIVA. Tukikaa MTAANI watesaji hao HAWAWEZI KUJULIKANA, lakini TUKIENDA MAHAKAMANI, wote MTAWAJUA. Tushirikiane kutafuta...
Utangulizi
Katika moyo wa Afrika Mashariki, Tanzania inasimama katika njia panda kati ya mila na uvumbuzi. Ikiwa na idadi kubwa ya vijana, taifa lina hazina ya uwezo ambao bado haujatumika—wahitimu wakiwa wamejaa ujuzi na ndoto kubwa.
Hata hivyo, ahadi hii inafunikwa na ukweli mkali: ongezeko...
Habari wakuu,
Naomba kujua hivi mtu aliyesoma diploma ya dental therapy/ Dental Technology anaruhusiwa kufungua clinic yake mwenyewe kwa kutumia cheti chake?
Naomba pia kujua changamoto kubwa au vikwazo ambavyo unaweza kukutana navyo katka kufungua dental clinic.
Shukrani.
Chanzo: Jamiiforums.com, Roving journalist.
"Tanzania sio kisiwa" utekelezaji wa kauli hii ulipoanza wengi ulituvuruga akili na kutuacha njia panda tukibaki tumeduwaa!
Kwakweli Mama alitu-surprise hasa ile U-turn aliyoitwanga pasipo kupunguza mwendo, baada ya kupokea usukani... Hasa...
Nawasalimu Kwa USD dollars.
Tokea week iliyo pita nilikuwa nataka kusajili AU Ku register name of my company lakin Shida inakuja kwenye ufanisi wa system Yao ya (ORS).
Yaani inazingua mno, kuna Muda inashindwa Hata Ku fetch NIDA informations za mfungua company.
Najua humu JF kuna wadau...
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeanza safari kuelekea maendeleo ya kiteknolojia, lengo likiwa kutumia nguvu ya uvumbuzi kwa ajili ya ukuaji wa kiuchumi na maendeleo ya kijamii. Hata hivyo, nchi inakabiliana na changamoto kadhaa katika uga wa teknolojia, ikiwa ni pamoja na upatikanaji...
Katika Vitu vinapoteza watu wengi kwenye biashara ni MTAJI WA KUTOSHA.
kuna watu nawambia wana mitaji mikubwa sana ya kufungua biashara yoyote na popote pale lakini hawaangaliii wala kuwaza yatakayojiri kwenye hizo biashara mambo yakigeuka.
Kuna
Uwezo kipesa na
Kuna Ujuzi Wa kitu
Katika...
Me Sina hela ila naishi na watu wema na wenyewe kiuchumi hawako vizuri nyie wa huko dar mna magari na majumba najua wengi hamuwezi kushindwa kufungua redio Jina LA redio nakupa mimi iitwe 45 fm vipindi nakupangilia mimi wewe utaboresha tu ila ni redio Kwa ajili ya vijana tu wa 45 Namba hio...
Baada ya nchi tatu za Ulaya kuamua kuitambua Palestina rasmi kama taifa sawa na mataifa mengine duniani,nchi ya Colombia imepiga hatua zaidi kwa kuamua kufungua ubalozi kabisa mjini Ramallah.
Nchi zilizoamua kuachana na ukiritimba wa Ulaya na kuamua kuitambua Palestina ni Ireland Spain na...
Wakuu natafuta wanasheria mzuri anaeijua kazi yake, ili tufungue kesi dhidi ya shirika la umma TANESCO, kutokana na hasara walionisababishia kwenye biashara yangu ya bucha la samaki wabichi, walikata umeme toka jana asubuh tarehe 14 bila taarifa na hawakurudisha hada saa 2 usiku tena dakika 5 tu...
Habari zenu wana jamvi. Hope this thread finds you well.
Bila kupoteza muda, naomba niruke kwenye mada moja kwa moja.. ninaomba uzoefu katika nyanja tofauti tofauti za uendeshaji wa kiwanda cha peanut butter,
Kama vile upatikanaji wa Mashine bora na bei zake. Changamoto?? Masoko?? n.k
Nipo...
Wasalaam ndugu zangu,Nimepende kuchukua fursa hii kuwasalimu watanzania wote wapenda maendeleo kwa jina la Bwana wetu Yesu Kristo ,amani iwe kwenu.
Lipo jambo linanitatiza,maana kwa jinsi nionavyoo,huku tunapoelekea ni kwenyewe au tumeingia chaka.Jambo lenyewe ni swala la kufungua mipaka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.