kufunguliwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Crocodiletooth

    Tawi la Yanga Afrika kufunguliwa Lubumbashi

    INAANDIKWA HISTORIA: YANGA SC KUZINDUA MATAWI YAO MAPYA DR CONGO 🇨🇩 Historia Inaandikwa Kwa Wananchi: Klabu ya Yanga inaenda kuwa klabu ya kwanza kutoka Tanzania kufungua matawi ya klabu hiyo Nchini Dr Congo, Wanachama wapya wa klabu hiyo Nchini DR. Congo wameiomba klabu hiyo ikazindue matawi...
  2. L

    Neema kubwa yaanza kuonekana baada ya China kufunguliwa na kulegeza kanuni za UVIKO-19

    Mwaka mpya wa 2023 umekuwa mzuri na wa neema hapa nchini China kwani kuanzia tarehe 8 Januari milango yote ya China inafunguliwa na kuruhusu wageni na wenyeji kuingia na kutoka China, hii ikiwa ni hatua ya kulegeza kanuni zote za UVIKO-19, ambazo zilisababisha nchi kufungwa tangu virusi vya...
  3. BARD AI

    Malawi yatangaza kuchelewa kufungua Shule kutokana na Kipindupindu

    Wizara ya Elimu imetangaza kusogeza mbele kwa Wiki Mbili muda wa kufungua Shule za Msingi na Sekondari kutokana na ongezeko la mlipuko wa Ugonjwa wa Kipindupindu. Kwa mujibu wa taarifa ya Serikali, Shule zilipaswa kufunguliwa kuanzia Januari 3, 2023, na hivyo muda ulioongezwa utatumika kutoa...
  4. Congo

    Mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje?

    Naomba kuuliza kwa wenye uelewa. Hivi mlango wa ndege unaweza kufunguliwa kwa nje? Wajuzi wa mambo ya ndege tafadhali.
  5. Jay2525

    Kupanda kwa Bei ya chakula na dhana ya kufunguliwa kwa Mipaka Nchini

    Na Taban J Kumekuwa na nadharia kuwa, kupanda kwa bei ya mazao ya chakula kumesababishwa na kufunguliwa kwa mipaka. Jambo linalo pelekea mazao ya chakula kubebwa na majirani zetu wa Uganda na Kenya hivyo kusababisha upungufu wa chakula na kupelekea bei ya mazao kupanda. Huku lawama ikibebeshwa...
  6. dalalitz

    Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe 5/10/2022

    Salaam, Kwa heshma na taadhima tunakumbushana; Ule utaratibu wa kushiriki rasmi katika Bahati nasibu ya Taifa la Amerika [USA DIVERSITY VISA PROGRAM 2024] Kwaajili ya UKAZI WAKUDUMU, yaani Kibali cha Kuhamia na Kufanya kazi USA. Program mpya yaani DV-2024 itaanza rasmi kuchezwa kuanzia tarehe...
  7. jingalao

    Ushauri kwa Wizara ya Kilimo-Fursa zinazotakiwa kufunguliwa ni za mazao ya biashara sio chakula

    Salamu! Mada inajieleza, Fursa zinazotakiwa kufunguliwa na ambazo nitaziona kama kipimo cha wizara ni zile za mazao ya biashara mfano pamba,kahawa,mwani na mazao ya wanyama kama ngozi ,pembe na kwato. Nadhani nimeeleweka!
  8. S

    Siku ya sensa maduka ruhusa kufunguliwa?

    SIKU YA SENSA MADUKA RUHUSA KUFUNGULIWA? Tafadhali wekeni wazi maduka mitaani ni ruhusa kufunguliwa leo? Tunajua wafanyakazi leo ni mapumziko je sector binafsi hasa mitaani maduka nini utaratibu?
  9. T

    Aliyefuta somo la kilimo shuleni achunguzwe uraia wake na kufunguliwa kesi ya uhujumu uchumi

    Kwa nchi yetu kupuuza elimu inayohusiana na mambo ya kilimo lilikuwa kosa kubwa sana lisilosameheka. Mikoa yote ya Tanzania ukiondoa dar salam msingi wao mkuu wa uchumi na ajira ni kilimo Kwa miaka yote. Ukanda wetu wa majirani zetu na mataifa mengine duniani wanakabiliwa na changamoto za...
  10. JanguKamaJangu

    Dirisha la usajili Tanzania kufunguliwa Julai 1 kufungwa Agosti 31, 2022

    Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) limetoa taarifa rasmi ya dirisha kubwa la usajili kwa vilabu vinavyo shiriki ligi zote zilizopo chini ya shirikisho hilo la soka nchini Tanzania. Taarifa hiyo itavihusu vilabu vyote vinavyoshirki ligi kuu ya NBC Tanzania bara,ligi daraja la kwanza...
  11. YEHODAYA

    Rais Samia asante kwa kuruhusu akaunti kibao za taasisi, kampuni na watu binafsi waliotuhumiwa kutakatisha pesa kufunguliwa

    Mimi nilipiga kelele mno kipindi cha Hayati Magufuli akiwepo kuwa kitengo cha Financial Unit Intelligence yaani FIU kinaonea Watanzania sana kufunga akaunti zao kwa pesa toka nje na hatua zao zitaua mabenki kwa kuhoji mtu anayeweka pesa benki pesa nyingi ajieleze katoa wapi. Nilipinga hicho...
  12. 5

    Diaspora: Kumbe Freeman Mbowe kumsifia Rais Samia ni baada kufunguliwa Account zake za Fedha zilizokuwa zimefungwa

    Nimesikiliza haya mahojiano vizuri Diaspora wanalalamika kwamba Freeman Ekael Mbowe anamsifia mama baada ya mambo yake binafsi kushughulikiwa na Rais, ikiwemo kufunguliwa Account zake za fedha ambazo zilifungwa muda uliopita, kutoka jela pamoja na shughuli zake mbalimbali za kibiashara...
  13. L

    Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong kufunguliwa mwezi Julai

    Mei 29, 2022, Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong Jumba la Makumbusho ya Kasri la Kifalme la Hong Kong lililoko magharibi mwa wilaya ya kitamaduni ya Kowloon Magharibi, litafunguliwa mwezi Julai mwaka huu na kuonyesha vitu vya kale kutoka kwa Jumba la Makumbusho ya Kasri la...
  14. Mtini

    Nani alithibitisha kuwa Mdee na wenzake wamegushi sahihi? Kughushi ni jinai walishawahi kufunguliwa jalada Polisi ili uchunguzi ufanyike?

    Najua mazingira hayakuwa rafiki kutokana na aina ya utawala uliokuwepo ila ingesaidia hili suala kuingia kwenye record. Kughushi ni jinai, sasa mtu kafanya jinai hujaenda polisi ili walishughulikie unabaki kulalamika mtandaoni. Kama CHADEMA walitoa taarifa sawa ila kama hawakutoa nani ataamini...
  15. L

    Kufunguliwa kwa tawi la kiwanda cha Sino-Truck nchini Tanzania kutatatua changamoto ya usafirishaji wa mizigo

    Fadhili Mpunji Mwanzoni mwa mwezi Machi mwaka huu kampuni ya serikali ya China inayotengeneza malori aina ya Sino-Truck, imetangaza kufungua tawi la kiwanda chake nchini Tanzania, likianza kwa uwekezaji wenye thamani ya dola za kimarekani milioni 20, na kutoa ajira kwa watu 500. Hatua hii sio...
  16. J

    Mwaka Mmoja Na Samia: Kufunguliwa kwa Magazeti Makubwa manne

    "Siku chache zilizopita, niliona Mhe. Nape anatoa leseni kwa magazeti manne, magazeti ambayo yalifungiwa kifungo ambacho hakijulikana kingeisha lini. Ndani ya siku 365, tuna kumbukumbu ya kufunguliwa kwa magazeti manne." - Nevile Meena #MamaYukoKazini #MwakaMmojaNaSamia
  17. Roving Journalist

    MISA-Tanzania yatoa tamko kuhusu kufunguliwa kwa magazeti manne

    10 Februari 2022 TAASISI ya Vyombo vya Habari Kusini mwa Afrika, Tawi la Tanzania (MISATANZANIA), imepokea taarifa ya uamuzi wa serikali kuyafungulia magazeti manne, yaliyofungiwa kufanyakazi nchini kwa miaka kadhaa sasa. Magazeti hayo binafsi ambayo leo yamepewa leseni na serikali kuanza...
  18. Replica

    Hotuba ya Rais Samia Suluhu Bungeni: Spika awaonya watakaovaa tai nyekundu

    Leo bunge limetengua kanuni kuruhusu wageni wasioruhusiwa kuingia ndani ya ukumbi wa Bunge wakati wa hotuba ya Rais Samia Suluhu, miongoni mwao ni Makamu wa Rais, Philip Mpango na Rais wa Zanzibar, Hussein Mwinyi. Pia spika Ndugai aliwashauri wabunge wasivae tai nyekundu kwasababu ni kwaajili...
  19. M

    Daraja jipya la Selander lakamilika, Kufunguliwa Desemba 27, 2021

    Kampuni ya kikorea GS E& C wamemaliza ujenzi wa Daraja jipya la Selander ..mradi huu mkubwa utafunguliwa tarehe 27 Dec 2021. Hii ni hatua njema ya ukamilishaji wa miradi yetu kama ilivyo kwenye Ilani ya ccm ya mwaka 2020-2025. Daraja hili lina urefu wa mita 670 Ni aina mpya ya daraja ambayo...
  20. N

    Je, inaweza kufunguliwa kesi dhidi ya Jeshi la Polisi ya kumwitisha Moses Lijenje aletwe Mahakamani?

    Kuna uwezekano mkubwa Moses Lijenje alikamatwa na pengine alipelekwa selo za Polisi zisizojulikana pengine na kupewa majina mengine ili asijulikane kama ilivyokuwa kwa akina Adamoo. Kwa kuwa pia hawakuwa wakiandikishwa wakati wakiingizwa lock-up, mfano pale TAZARA, je kuna uwezekano kwa...
Back
Top Bottom