Baada ya kukamilika kwa awamu zote tatu za udahili, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya waombaji waliokosa udahili kutokana na sababu mbalimbali.
Pia, Tume imepokea maombi ya kuongeza muda wa udahili kutoka kwa baadhi ya Taasisi za Elimu ya Juu nchini ambazo...