kugombea

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. S

    Pre GE2025 Kama Mbowe atachukua fomu kugombea uenyekiti, ni bora kuanzisha chama kipya cha siasa. Watanzania wanataka mabadiliko lakini CHADEMA ni tatizo

    1. Mbowe alizingua kwa Zitto. 2. Mbowe alizingua kwa Dr. Slaa. 3. Mbowe alizingua kwenye maridhiano. Kote huko alifanikiwa kuwapiga sound watanzania wakaingia king. Sasa;- 4. Akizingua kwa Lisu, imekula kwake. Kwasababu, watanzania wameamka na watamstukia akidanganya tena. You cannot lie...
  2. Pre GE2025 John Mnyika alivyomkabidhi fomu Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, amechukua rasmi fomu ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti wa chama hicho leo, Jumanne Desemba 17, 2024, katika ofisi za makao makuu ya CHADEMA zilizopo Mikocheni, jijini Dar es Salaam. Pia, Soma: CHADEMA watoa tamko zito, John Mnyika aanika gharama za fomu...
  3. Pre GE2025 Edgar Mwakabela (Sativa) alipia fedha za fomu ya Tundu Lissu kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Edgar Mwakalebela maarufu kama Sativa amelifadhili zoezi la Lissu kuchukua fomu yake ya kugombea nafasi ya mwenyekiti CHADEMA. "Kuna wanachama wema wanaofikiri kama mimi, wanaofikiri kwamba uchaguzi huu [Uenyekiti CHADEMA] uwe mwanzo mpya kwa chama chetu, ambao wamechanga fedha ya kulipia...
  4. Pre GE2025 Tundu Lissu achukua rasmi Fomu ya kugombea Uenyekiti CHADEMA

    Taarifa Kamili itakujia hivi Punde ======== Ikiwa leo tarehe 17/12/2024 ndio siku ambayo kipyenga cha kuchukua fomu kwa Wagombea wa nafasi za Kitaifa kimepulizwa, Tundu Lissu amekuwa Mgombea wa kwanza kujitokeza kwenye ofisi za Makao Makuu kuchukua fomu hizo. Lissu amesindikizwa na kundi dogo...
  5. S

    Askofu Emmaus Bendekile Mwamakula ataendelea kuwatetea chadema? Au maonyo yake yamekiukwa?

    Askofu Mwamakula aliwahi kuonya kuwa siku akigundua kuwa ndani ya chadema kuna ufinyaji wa haki hatawatetea tena. Sasa kwa hili la Tundu Lisu kuandamwa na wanachadema wenyewe baada ya kutangaza kugombea uenyekiti, analisemeaje...
  6. Mbowe ana haki ya kikatiba ya kuchaguliwa na kuchagua, asizuiwe kutumia hizo kwa sababu tu Lissu na yeye anataka kugombea

    Naonakuna genge limejikita kusema Mbowe asigombee, huu ni upuuzi mkubwa sana kufanywa na wanachama wa chama kinajiita cha demokrasia. Katiba yao inamruhusu agombee, kwa nini Mbowe asiachwe ashinde/ashindwe kwenye sanduku la kura, ila anashinikizwa asigombee? Sasa kutakuwa na tofauti gani na...
  7. Hivi seriously Mbowe wataka kugombea tena ??

    Mheahimiwa, inatosha. Utakatisha tamaa wengi. Kawe mshauri, acha chama kipate nguvu mpya. Mie ni mmoja watakao acha rasmi kuunga mkono chadema ukirudi madarakani. 1. Utawapa meno na uthibitisho wanaosema chadema ni mradi wako binafsi, 2. Kuwa kama zito, kaa pembeni uwe mshauri, 3. Waachie damu...
  8. Toka Lissu atangaze kugombea nafasi ya uenyekiti, sasa nahitaji kadi ya CHADEMA!

    Usiku wa kiza kwa sasa unataka kuondoka, CHADEMA ya asili ipo njiani kurejea, chadema ya hari, haki, uwajibikaji, umakini, chadema ile isiyofumbia macho ufisadi, chadema isiyo ya uchawa, chadema isiyo ya vikundi vya kujinufaisha ambao ndio hao wameshaanza kupiga kelele, kwa hofu, wameshazoea...
  9. N

    NATANGAZA NIA YANGU YA KUCHUKUA FOMU YA KUGOMBEA URAIS KUPITIA CHAMA CHA MAPINDUZI IFIKAPO 2025 PANAPO MAJALIWA YA MUNGU.

    Kama kichwa cha habari kinavyosema hapo juu,ni haki yangu kikatiba,nina elimu ya kutosha,umri unaruhusu,hivyo kwa mapenzi yangu makubwa na nchi yangu ya Tanzania ,na kwa kiu yangu kubwa ya kutaka kuiona Tanzania inapiga hatua za kimaendeleo katika kila nyanja,nimeona ifikapo mwakani na mm...
  10. S

    Pre GE2025 Freeman Aikael Mbowe kesho atatangaza rasmi kugombea uenyekiti CHADEMA wakati wa ufunguzi wa ofisi ya CHADEMA Kinondoni

    Kesho CHADEMA watafungua ofisi yao pale Kinondoni ambapo mgeni rasmi atakuwa mwenyekiti wa chama hicho na mtafuta hela wa chama hicho Freeman Mbowe. Mbowe ametafuta platform hiyo ili amjibu vizuri sana Tundu Lissu. Wengi wamemshauri asikae kimya, Yale yote yaliyosemwa na Makamu wake ayatolee...
  11. Ukimya wa wanasiasa wakongwe Erythrocyte na Salary Slip wazua gumzo.

    Ukimya wa Wanasiasa wakongwe wa Chadema hapa JF ndg Erythrocyte na Salary Slip umezua mashaka makubwa kwa members wengi humu jukwaani. Maoni ya wanasiasa hawa yanaweza kushawishi au hata kwa kiasi fulani kusababisha mshindi katika uchaguzi ujao. Kwa zaidi ya miaka kumi, hamna hata siku moja...
  12. S

    Mbowe hakupaswa kusubiri watu watangaze kugombea uenyekiti bali alitakiwa awe ametang'atabgaza kung'atuka kabla

    Mbowe amekaa kwenye hiyo nafasi kwa muda mrefu na amefanya mengi mazuri na bila shaka kuna mambo hakuyafanya vizuri kama binadamu. Hata hivyo; ni hulka ya wanadamu kutaka mabadiliko hata kama utakuwa kiongozi mzuri kiasi gani. Kuna wakati utafika watu watatakka ukae pembeni upishe wengine. Sio...
  13. Tundu Lissu akijiengua au kubanduliwa CHADEMA, Willbroad Slaa atarejea rasmi na kupewa fursa ya kugombea urais kupitia CHADEMA 2025.

    Hautapita muda mrefu, mara baada ya Tundu Lisu kuondoka chadema, Dr.Wilbroad Peter Slaa atarejea Chadema na kupewa fursa ya moja kwa moja kugombea nafasi urasi Oct 2015. Huyo ndie hasa alikua chaguo namba moja, kama mgombea urais wa Chadema Oct 2025. Wanaojaribu kumu-outshine na kumu-thwart...
  14. T

    Ni kwanini magazeti yenye mrengo wa CCM ndiyo yameshadadia sana nia ya Lissu kugombea uenyekiti CHADEMA?

    Nimepitia vichwa vya habari vya magazeti ya leo karibia yoote hata Uhuru gazeti pendwa la chama na yale yanayojulikana kuwa na chuki na upinzani yameishabikia sana habari ya Lissu kutangaza nia ya kuchuana kuiwania nafasi ya mwenyekiti wa CHADEMA!. Ni kwa nini imekuwa hivyo!?
  15. Z

    Pongezi kwa Tundu kuamua kugombea uenyekiti wa chama cha cdm

    Pongeza kwa kuamua kutumia haki yake ya kikatiba, ila natoa angalizo kwa Lisu awe makini sana kuanzia sasa, maana chama cha chadema demokrasia yake ipo kwenye makaratasi sio kwenye uhalisia,. Tusisahau yaliyo mkuta Chacha wangwe (r.i.p), Zito kabwe n.k. Mwenye kiti hayuko tayari kung'atuka...
  16. T

    Baada ya kutangaza kugombea u/kiti CDM, ni kosa TAL kuendelea kuwepo nchini. Wakati sahihi kuwepo ni siku ya uchaguzi wenyewe. Sababu hizi hapa.

    Ana maadui wengi, Kwa hiyo hawezi kujulikana yupi kamudhuru. 1. Adui walioko ndani ya chama chake wakihusika watasema ni watawala. 2. Watawala wakihusika watasema ni maadui ndani ya chama chake. 3. Vyama vingine vya upinzani vikinusika vitasema ni watawala au wenzake ndani ya chama chake...
  17. Tundu Lissu: Haikuwa rahisi kwangu kuamua kugombea Uenyekiti

    Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, akizungumza na wanahabari siku ya Alhamisi Desemba 12, 2024, Mlimani City, Dar es Salaam, ameeleza azma yake ya kugombea uenyekiti wa CHADEMA Taifa. "Haikuwa rahisi kwangu kufikia uamuzi wa kugombea nafasi ya...
  18. M

    Rais Samia ampendekeza Profesa Janabi kuwa Mkurugenzi wa WHO-Afrika

    Rais Samia Suluhu amesema wasifu wa Mkurugenzi Mtendaji wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, Profesa Mohamed Janabi unatosheleza kuingia kwenye kinyang’anyiro cha kuwania nafasi ya Ukurugenzi wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya Afrika. Nafasi hiyo iko wazi baada ya Mkurugenzi Mteule Dkt...
  19. R

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA

    Tundu Lissu: "Mimi sina Mpango wa kugombea uenyekiti wa CHADEMA, hakuna Mvutano kati yangu na Mwenyekiti Freeman Mbowe, hizo ni kelele za uchaguzi tu" Kamera za Habarimpya zilirekodi Video hii miezi mitano iliyopita, Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu akibainisha msimamo wake wa kutogombea...
  20. Kwanini kuchukiana hata kuuana kugombea dini za Mungu wakati Mungu mwenyewe tunaaminishwa ana nguvu za ajabu?

    Zamani huko Ulaya, ukipinga ukiristo unapatilizwa chini ya kile kilichoitwa inquisition. Kwenye uislam, ukiupinga chini ya dhana ya jihad unauawa. Huwa nashangaa. Kwanini kupigania dini ya 'Mungu' kana kwamba Mungu hana uwezo wa kuipigania dini yake? Tunapigania dini ya Mungu au maslahi...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…