Za chini kwa chini yasemekana kwamba,
Warioba ana nafasi kubwa zaidi kupewa nafasi hiyo, huku mwenyewe akidai kutokua fiti kwa jukumu hilo zito na muhimu la uongozi, kwa sababu za kiumri.
Kuna shinikizo ni kubwa mno kutoka kwa viongozi waandamizi wa vyama vya siasa hususan chadema, na hilo...
Sina hakika kama tunaweza kugombea tena hii nafasi ya WHO aliyopata mpendwa wetu marehemu Dr. Ndugulile na kama tunatuhusiwa kugombea tena kuna huyu Dr Peter kisenge wa pale Jakaya Kikwete.
Natamani hii nafasi aombe naamini atapata huyu mtu ni mtu sana kwa sasa hapa Tanzania katika Madaktari...
Kwa sasa ni WHO Representative huko Malawi.
Aliwahi kuwa Mkurugenzi wa Idara ya Kinga Wizara ya Afya hadi 2016.
Moja kati ya achievements zake kubwa ni kuiwezesha Tanzania kufikia Millenium Development Goal #4 inayohusu kupunguza vifo vya akinamama na watoto. Malengo ilikuwa yafikiwe mwaka...
Kupiga kampeni ya kugombea ubunge Tanzania ni mchakato unaohitaji maandalizi mazuri, mkakati wa kina, na kuzingatia sheria na taratibu za uchaguzi. Fuata hatua zifuatazo:
1. Elewa Sheria na Taratibu za Uchaguzi
Soma na kuelewa Sheria ya Uchaguzi wa Tanzania, kanuni za NEC (Tume ya Taifa ya...
Kamati ya Olimpiki Tanzania , wazee wa TOC wanatarajia kufanya uchaguzi tarehe 14/12/2024 eneo lile lile la kila wakati DODOMA HOTEL , Dodoma na wasamizi wa uchaguzi ni watatu tu. Uchaguzi utatanguliwa na uchaguzi wa kamisheni ya wanamichezo.
Filbert Bayi bado yuko busy kujipanga na rushwa ili...
Wana Jamvi salama.
Hebu sikieni hii hapa Kigoma Kusini Chama Cha Demokrasia na Maendeleo walimdhamini mgombea kwa tiketi ya Chadema lakini baada ya Uchambuzi wa Majina, jamaa kajikuta ameteuliwa kugombea kupitia CCM
Jamaa wa Chadema walivyomuona wakaweka pingamizi wasimamizi wasaidizi wa...
Leo kwenye kipindi chao cha minyama kitenge ametoa maoni yake ya kwamba hivi sasa watu wanapenda kugombea nafasi ndani ya CCM kuliko awamu iliyopita kwa sababu awamu iliyopita kuna maeneo watu walipita bila kupingwa.
Kwa takwimu za uchaguzi wa mwaka 2019 na 2020 vijana wengi walichukua form na...
Naonekana ntu ya kulalamika lakini hii ni zaidi ya kubeti. Tupo walimu elfu 28 tunaogombania nafasi 183. Kichwa changu nakijua ningejipa moyo kama Nafasi zingekuwa walau elfu Moja. Chuoni tuu nimeondoka na GPA ya 2.8. lekodi yangu hainipi Imani. Acha niludi kuendelea kulima
Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama?
Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
Ibara ya 40(4) ya Kiswahili.
Endapo makamu wa Rais anashika kiti cha Rais kwa mujibu wa masharti ya ibara ya 37(5) kwa kipindi kinachopungua miaka mitatu ataruhusiwa kugombea nafasi ya Rais mara mbili, lakini kama atashika kiti cha Rais kwa muda wa miaka mitatu au zaidi ataruhusiwa kugombea...
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania..
Nafasi zilizopo 11,000/=
Walioomba. 200,000/=
Uwiano Nafasi 1 inagombaniwa na Watu 18.
Interview ya Kwanza Written.
Washiriki 200,000
Nafasi zinazogombewa 44,000
Nafasi Moja kugombewa na Watu wanne.
Interview ya Oral.
Washiriki 44000
Nafasi zinazogombewa...
05 September 2024
Dar es Salaam, Tanzania
Boniface Jacob arudisha fomu akisindikizwa na mamia ya wanachama wa CHADEMA leo hii jijini Dar es Salaam.
Jeshi la polisi lapongezwa kwa kutoa ulinzi katika maandamano hayo.
Hali ilivyo mitaani Ubungo, Kibamba, Manzese hadi Kinondoni maandamano ya...
na kugombea urais kwenyewe, itategemea uwezekano wa kupewa fursa hiyo ya kugombea, hasa kupitia Chama Cha Demokrasia na Maendeleo chadema,
duru za kisiasa zinaeleza, uwezekano huo upo, tena mkubwa sana, lakini pia ikiwa ni vigumu na ikishindikana, basi planB itatumika bila mbambamba yoyote ili...
Wanetu mjue kesho asubuhi mnatakiwa kuwahi Lupaso kufanya usafi kwa sababu Jumapili tunataka kupigi Ndiki na Wauza ukwaju, japo na nyie mtausunda kidogo Uwanja mkicheza Fainali yenu ya LAWI CUP nane kamili mchana wa jua kali la Utosi 😂
Utofauti Ulianzia Hapa…
Mfadhili Wenu: Naomba...
Ndugu waheshimiwa mabibi na bwana Mimi Kama Kikwava nimeona yafuatayo kwenye siasa za chadema
1. Kuna mazingira ya kimgogolo Kati ya mwenyekiti wa chadema na makam wake ambapo wao wenyewe hawataki kuyaweka wazi.
Tunaiomba serikali iwasuluhishe hawa watu wanakoenda siyo kwenyewe
Mfano ifuatayo...
Tundu Lisu amejitangazia kama ndio mgombea wa chadema katika uchaguzi mkuu ujao wakati bado hajakubaliwa na wenzake chamani.
Huko Chadem hakuna mtu aliwahi kugombea kwa vipindi viwili mfululizo,yeye amejitangaza kama nani ?
Je yupo juu ya chama ,juu ya wote ,yeye amekikamata chama
Vipi...
Mwaka 2020 alizurura na kundi kubwa na mlinzi mwenye mishale kama anaenda kuwinda swala. Hakuna cha maana alichokisema kwa Watanganyika zaidi ya kuwa na jazba ya kupigwa masasi
Tanganyika inahitaji mabadiliko sio drama za kisiasa. Ufisadi umetamalaki, upendeleo, na ubwela.
Taifa hili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.