Najua katika jukwaa hili wapo watanzania wenzetu wanaotarajia kugombea ubunge 2025. Kugombea nafasi yeyote sio jambo baya bali ni jambo la kimaendeleo ambalo kila mtanzania anapaswa kulifahamu.
Kila mtanzania anahaki ya kugombea nafasi ya ubunge na nafasi zingine katika taifa letu. Hivyo...
Sijui kwanini watu hawapendi kuzungumza ukweli jinsi ulivyo; ukweli kwamba hayati Lowassa alikuwa nguzo kubwa katika kinyang'anyiro cha uchaguzi mwaka 2015 ndani cha CHADEMA hauwezi kufichwa.
CHADEMA ndio waliokuwa walezi wakubwa wa kisiasa wa nyakati za mwisho za hayati Lowassa na ukweli...
Maneno hayo aliyasema Hayati baba wa Taifa mwalimu Julius Kambarage Nyerere, alipoulizwa kwanini Kamati kuu wamekata jina la Lowasa licha ya kuwepo kwa Ushawishi mkubwa na kupendeka sana kwenye Chama hicho na Hasa kuwa na ushawishi mwingi kwa wananchi..
Kama tutakumbuka mwaka huo huo...
Rais Mstaafu Dkt. Jakaya Kikwete amefichua siri kuwa ni Lowassa ndiye alimshawishi kuchukua fomu ya kugombea urais mwaka 1995.
Rais Mstaafu Kikwete anasema hakuwa na wazo la kutaka kujitosa kwenye kinyang'anyiro hicho lakini aliamua kuingia kwenye kinyang'anyiro hicho licha ya kwamba...
Hili hapa andiko la Mhandisi Ndolezi Petro ambaye ametangaza nia ya kugombea nafasi ya Mwenyekiti Ngome ya Vijana ACT Wazalendo Taifa katika uchaguzi utakaofanyika tarehe 29 Februari, 2024:
UONGOZI NI VIJITI VYA KUPOKEZANA NAMI NAJIANDAA KWENDA KUCHUKUA KIJITI
Mhandisi Ndolezi Petro, Waziri...
Salaam ndugu zangu,
Mwaka huu miezi ijayo tunatarajia kuwa na Uchaguzi wa Serikali za Mtaa
Nimekuwa siridhishwi na uongozi wa Serikali ya mtaa wetu kwa mambo mengi sana. Nataka nijaribu kugombea ili nami nitoe mchango wangu kusaidia changamoto za watu mtaa wetu kwa namna mbalimbaki lakini...
Binafsi sioni kama huyu Rais wa sasa anafaa kugombea 2025.
Hana sifa.
Hana uwezo.
Ni mbaguzi.
Hatufai.
Akigombea 2025.
Hakuna wa kumkataza 2030.
Tumkatae na mambo yake yote.
Kati ya kundi zima la wana CCM mafisadi wa kizazi hiki ni wewe tu angalau umejitanabaisha kuwa MZALENDO WA KWELI, na unaehumizwa kwa wizi na ubadhirifu uliotamalaki katika awamu hii ya sita (IBA KWA UREFU WA KAMBA YAKO)
Mama Samia ni rais wa mpito Tanzania kwa sababu kama nchi tulipatwa na...
Huu ni sehemu ya Mchango alioutoa Emmanuel Masonga Bungeni Dodoma alipokuwa anachangia kwenye Muswada wa Sheria za Uchaguzi .
Sheria ya sasa inataka aliyeenguliwa akate rufaa kwa Tume yenyewe .
=====
Rushwa imekita mizizi katika jamii. Bob Chacha Wangwe, baada ya kutangaza kwamba atagombea ubunge Tarime Mjini mwaka 2025. Amemueleza Mwenyekiti wa Chadema Wilaya kwamba "ana soda kidogo kwa ajili ya wajumbe" .
Kwa maoni yangu, naona hiyo ni rushwa kwa kuwa hiyo soda inatolewa kwa wajumbe baada...
UMOJA wa Walimu Wakuu wa Shule za Sekondari Tanzania (TAHOSSA), wamechangishana kiasi cha shilingi milioni 1.6 kwaajili ya kumsaidia Rais Dk. Samia Suluhu Hassan kuchukua fomu ya kugombea urais kwa mwaka 2025 ambao wameuita kama kapu la mama.
Sometimes walimu wanapitia magumu sana kutokana na beef za kijinga na baadhi ya viongozi wao kwenye vituo vyao vya kazi. Sababu nyingi huwa za kijinga kabisa! Angalieni Mfano wa hiki kisa cha mwalimu huyu.
Ndoto za mwalimu mahiri kabisa zilitaka kuzimwa na mmoja wa viongozi wake wa juu wa...
Chama cha Mapinduzi kimefanya Kikao cha Kawaida cha Halmashauri Kuu ya CCM ambapo pamoja na mambo mengine, Kikao hicho kilijadili hali ya Kisiasa ndani ya Chama na nje ya Chama
Aidha, kimefanya uteuzi wa Mwisho wa Wagombea wa nafasi za Uongozi ndani ya Chama kwa ngazi ya Mkoa na Wilaya ili...
Mwanasheria wa Rapa na Mfanyabiashara huyo ameliambia Jarida la #RollingStone kuwa nyota huyo ameanza kufungasha vifaa vyote vilivyoandaliwa kwaajili ya kampeni kwasababu hana tena mpango wa kuwania Urais tofauti na alivyotangaza awali.
Kwa mujibu wa Mweka Hazina wa Kampeni za #YE24 Mfuko wa...
Nimeona mjadala kuhusu mihula anayoruhusiwa kugombea makamu aliyeshika madaraka ya Urais kutokana na kuchukua kiti katikati ya muhula baada ya Rais aliyekuwepo madarakani kushindwa kuendelea aidha kwa kufariki akiwa madarakani, kujiudhuru au sababu za kiafya.
Mjadala umechagizwa na kauli ya...
MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii.
Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.