kuhama nyumba

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Nani alitufundisha kwamba kuhama nyumba ni usiku pekee?

    Habari wakuu, Kuna jambo nimekuwa nikiliona mara kwa mara kwenye jamii yetu. Watu wengi huamini kwamba kuhama nyumba ni jambo linalopaswa kufanyika usiku, kiasi kwamba mtu akihama mchana huonekana kama amefanya kitu kisicho cha kawaida. Binafsi najiuliza, hii dhana ilianzia wapi? Je, kuna...
  2. JamiiForums Tanzania Kwa bajeti ya Milioni 30, naweza kuhamia nyumba yenye sifa hizi?

    Eti wakuu kwa bajeti ya milioni 30 naweza kuamia nyumba ya vyumba vinne yenye kiofisi na prayer room ndogo huku nikiwa sijamalizia finishing nyingine? Location: kanda ya ziwa Ukubwa nyumba: 13.5m x 8.65m Ina fence ya ukuta Karibuni wakuu.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…