Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku hadi siku.
Licha ya kufuata kwa usahihi hatua zote za kuomba uhamisho kupitia mfumo (ESS)...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.