KERO Responded Kuna kero kubwa ya Mkwamo wa vibali vya uhamisho (Utumishi HQ) kwa Watumishi walioomba kuhamia vituo

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

vangisindo

Member
Joined
Jul 31, 2012
Posts
6
Reaction score
2
Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku hadi siku.

Licha ya kufuata kwa usahihi hatua zote za kuomba uhamisho kupitia mfumo (ESS); Ucheleweshaji wa utoaji vibali hasa katika level ya mwisho ya ofisi ya Katibu Mkuu Utumishi HQ umekuwa mkubwa na wenye ukiritimba kutoka kwa watendaji wa ofisi hiyo. Huduma kwa wateja kutoka kwa wahudumu wa ofisi ni mbovu, hasa kutokana na majibu ya mkato tunayopewa wateja na kutufanya tubaki njia panda tusijue tupate wapi msaada zaidi.

Kimsingi ilitegemewa ufanisi katika kutoa vibali vya uhamisho uwe wa hali ya juu kuliko huko nyuma kwasababu kwa sasa mambo yanendeshwa ki-dijitali kuptia mfumo wa ESS na sio manual kama zamani.

Kwa mfano: Mtumishi aliyeomba kuhama kituo X kwenda kituo Y, akufuata taratibu zote zinazotakiwa maombi yakafika kwa KATIBU MKUU UTUMISHI DODOMA tangu mwezi Januari 2025 na kwenye mfumo wa ESS status inaonesha maombi yapo ofisini kwake, Inakuwaje kwa kipindi chote hiki hakuna hata maelekezo (comments) yoyote kwa mtumishi kutoka Ofisi ya Utumishi kwa njia ya huo mfumo ?
Hii inaashiria nini?.

Je Ofisi ya Katibu Mkuu Utumishi nayo iingie kwenye orodha ya vitengo/idara/taasisi zinazotuhumiwa kwa kuwa na viashiria vya rushwa? au je uwajibikaji maofisini umeshuka kiasi cha kufanya wananchi tutafakari kauli zilizopo mtaani kwamba hii ni awamu nyingine tofauti na iliyopita?

Au je kwasababu tupo kwenye kipindi cha uchaguzi ndiyo tuseme Serikali haipo? na kwa hiyo ni uhuru wa manyani?
Inatafakarisha sana.
Maana ya uzalendo ni nini?

KARIBUNI WADAU KWA MJADALA.
 
Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa taasisi za umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku hadi siku.

Licha ya kufuata kwa usahihi hatua zote za kuomba uhamisho kupitia mfumo (ESS); Ucheleweshaji wa utoaji vibali hasa katika level ya mwisho ya ofisi ya Katibu Mkuu Utumishi HQ umekuwa mkubwa na wenye ukiritimba kutoka kwa watendaji wa ofisi hiyo. Huduma kwa wateja kutoka kwa wahudumu wa ofisi ni mbovu, hasa kutokana na majibu ya mkato tunayopewa wateja na kutufanya tubaki njia panda tusijue tupate wapi msaada zaidi.

Kimsingi ilitegemewa ufanisi katika kutoa vibali vya uhamisho uwe wa hali ya juu kuliko huko nyuma kwasababu kwa sasa mambo yanendeshwa ki-dijitali kuptia mfumo wa ESS na sio manual kama zamani.

Kwa mfano: Mtumishi aliyeomba kuhama kituo X kwenda kituo Y, akufuata taratibu zote zinazotakiwa maombi yakafika kwa KATIBU MKUU UTUMISHI DODOMA tangu mwezi Januari 2025 na kwenye mfumo wa ESS status inaonesha maombi yapo ofisini kwake, Inakuwaje kwa kipindi chote hiki hakuna hata maelekezo (comments) yoyote kwa mtumishi kutoka Ofisi ya Utumishi kwa njia ya huo mfumo ?
Hii inaashiria nini?.

Je Ofisi ya Katibu Mkuu Utumishi nayo iingie kwenye orodha ya vitengo/idara/taasisi zinazotuhumiwa kwa kuwa na viashiria vya rushwa? au je uwajibikaji maofisini umeshuka kiasi cha kufanya wananchi tutafakari kauli zilizopo mtaani kwamba hii ni awamu nyingine tofauti na iliyopita?

Au je kwasababu tupo kwenye kipindi cha uchaguzi ndiyo tuseme Serikali haipo? na kwa hiyo ni uhuru wa manyani?
Inatafakarisha sana.
Maana ya uzalendo ni nini?

KARIBUNI WADAU KWA MJADALA.
Uzi huu utaendelea kukumbushwa hata baada ya Uchaguzi kumalizika ili kuja kupata kama rejea.
 
Una nini mkononi mwako,una mjua nani hizo ndio njia nyepesi za kupata uhamisho kwa haraka katika serikali hii ya wahuni
 
Vangusindo tuwasiliane mdogo wangu tuone tunasaidianaje!!

Yaani win win situation
 
Sina mengi zaidi ya kusema"Mambo yameharibika zama hzi sehemu nyingi kuna uozo" we jiongeze tu..Hata hzo ajira zinazotangazwa ukifatilia unabaki unashangaa..mfano watu wanahitajika watu 90 kada fulani waliobahatika kuingia kwenye usaili wa mahojiano ni 120...Kimbembe kinakuja kuitwa kazini..badala hao waliofaulu wepewe notes kwenye akaunt zao kuwa wamefanikiwa kupata ajira wasubili kupangiwa vituo..Eti wananyofoa mmoja mmoja au wawili kwa wiki halafu hao walionyofolewa ndo wanapewa maelekezo kwenye akaunt zao halafu hawa waliofaulu wengine hawana taarifa yeyote...Huu ni ukiritimba sambamba na ukiritimba mwingine...Hvo hvo kwenye uhamisho ni shida.
 
Unataka uhame uende wapi??? 🤔 🤔

Ulikubali mwenyewe kuwa endapo utapata ajira utafanya kazi sehemu yeyote ile..
 
Malalamiko ya ucheleweshaji wa kutoa vibali vya uhamisho kwa watumishi wa Taasisi za Umma ( Mfano: Elimu) walioomba kuhamia vituo vingine vya kazi kwasababu mbalimbali yameendelea kuwa mengi siku hadi siku.

Licha ya kufuata kwa usahihi hatua zote za kuomba uhamisho kupitia mfumo (ESS); Ucheleweshaji wa utoaji vibali hasa katika level ya mwisho ya ofisi ya Katibu Mkuu Utumishi HQ umekuwa mkubwa na wenye ukiritimba kutoka kwa watendaji wa ofisi hiyo. Huduma kwa wateja kutoka kwa wahudumu wa ofisi ni mbovu, hasa kutokana na majibu ya mkato tunayopewa wateja na kutufanya tubaki njia panda tusijue tupate wapi msaada zaidi.

Kimsingi ilitegemewa ufanisi katika kutoa vibali vya uhamisho uwe wa hali ya juu kuliko huko nyuma kwasababu kwa sasa mambo yanendeshwa ki-dijitali kuptia mfumo wa ESS na sio manual kama zamani.

Kwa mfano: Mtumishi aliyeomba kuhama kituo X kwenda kituo Y, akufuata taratibu zote zinazotakiwa maombi yakafika kwa KATIBU MKUU UTUMISHI DODOMA tangu mwezi Januari 2025 na kwenye mfumo wa ESS status inaonesha maombi yapo ofisini kwake, Inakuwaje kwa kipindi chote hiki hakuna hata maelekezo (comments) yoyote kwa mtumishi kutoka Ofisi ya Utumishi kwa njia ya huo mfumo ?
Hii inaashiria nini?.

Je Ofisi ya Katibu Mkuu Utumishi nayo iingie kwenye orodha ya vitengo/idara/taasisi zinazotuhumiwa kwa kuwa na viashiria vya rushwa? au je uwajibikaji maofisini umeshuka kiasi cha kufanya wananchi tutafakari kauli zilizopo mtaani kwamba hii ni awamu nyingine tofauti na iliyopita?

Au je kwasababu tupo kwenye kipindi cha uchaguzi ndiyo tuseme Serikali haipo? na kwa hiyo ni uhuru wa manyani?
Inatafakarisha sana.
Maana ya uzalendo ni nini?

KARIBUNI WADAU KWA MJADALA.
Hili ni Janga, kuna ambao barua zimetoka na hadi leo ni ishu ya kusainiwa tuu na muhuri kutoka ofisi zao za juu.

Huku chini unaambiwa tusibirie barua ishuke, ni mwezi wa 6 sasa
 
Back
Top Bottom