kuhesabu kura

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Pre GE2025 Ujerumani: Nchi ya watu Milioni 83 inasemekana wamemaliza kuhesabu kura ndani ya saa 8 baada ya kukamilisha kwa zoezi, Tanzania tuna la kujifunza

    Sisi kama Watanzania na tume yetu Huru ya uchaguzi kuna jambo la kujifunza. Ujerumani ni nchi ya watu mil 83, wamefanya uchaguzi mkuu jana uliokuwa na ushindani mkubwa sana na ukifuatiliwa ulimwenguni kote. Kupata taarifa na matukio yanayojiri kuelekea uchaguzi mkuu kwa kila mkoa ingia hapa...
  2. A

    Pre GE2025 Mfumo mpya wa kupiga na kuhesabu Kura

    Habari wakuu. Hili ni pendekezo kwa serikali na wadau binafsi kuelekea uchaguzi mkuu mwezi october Kutokana na changamoto ya miongo mingi na malalamiko ya wananchi, mataifa ya nje ya africa, africa na hata majilani ndani ya east africa kuwa uchaguzi haufanyiki tanzania kwa haki, isipokuwa ni...
  3. Mnyika anafanya upotevu wa muda usiku uingie ili Dola imsaidie Mbowe. Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vitabu

    LISSU STUKA! Mnyika anafanya upotevu wa Muda, usiku uingie, Dola imsaidie MBOWE, Hotuba yake ilipaswa kuwekwa kwenye vijitabu, wajumbe wajisomee wenyewe. Pia, Soma: Yanayojiri Uchaguzi Mkuu CHADEMA nafasi ya Mwenyekiti & Makamu Mwenyekiti 2025: Ni Mbowe au Lissu?
  4. Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote uone uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki

    Mh Mbowe amewaasa CHADEMA kushiriki uchaguzi wa haki ili ulimwengu wote utambue uaminifu wao mkubwa wa kuhesabu kura kwa haki Amewaomba akina mama waliomlipia fomu wawaombee CHADEMA lakini pia waongeze maombi mengi kwaajili yake
  5. P

    Pre GE2025 Nape Nnauye: Matokeo ya kura inategemea nani anahesabu na nani anatangaza, ili mradi ukimaliza unasema Mungu nisamehe!

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia na Teknolojia ya Habari Nape Moses Nnauye amewatoa wasiwasi wakazi wa Bukoba na wanachama wa CCM kuwa Mbunge wao Stephen Byabato atashinda uchaguzi ujao na hakuna mwingine. "Matokeo ya kura siyo lazima yawe yale ya kwenye box, inategemea nani...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…