Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini zambia

Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini zambia

Jannatul Firdaus

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2026
Posts
446
Reaction score
1,113
Zoezi la kuhesabu kura linaendelea nchini Zambia baada ya Uchaguzi Mkuu wa jana Alhamisi, Agosti 13, 2026.

Uchaguzi huo unatajwa kuwa kipimo cha imani ya wananchi kwa Rais Hakainde Hichilema, anayewania muhula wa pili dhidi ya mpinzani wake mkuu, Brian Mundubile.

Hapo jana, maelfu ya wapiga kura walionekana kujitokeza na kushiriki zoezi hilo la kupiga kura.

Hichilema alijinadi katika kurejesha uchumi, huku mpinzani wake Mundubile akimkosoa kutokana na kupanda kwa gharama ya maisha.

Ushindi wa Hichilema mwaka 2021 ulikuwa mabadilishano ya tatu ya amani ya madaraka kwenda kwa upinzani tangu mfumo wa vyama vingi uanze nchini humo mwaka 1991.
1786689412968.png
 
Back
Top Bottom