Jamani, kama kuna fedha kuibiwa, basi awamu ya sita inakabiliwa na wizi mkubwa kweli!
Uwanja huu, ambao umekarabatiwa kwa gharama ya shilingi bilioni 1.5, hauna thamani yoyote. Inashangaza jinsi uongozi wa Manispaa ya Moshi unavyoweza kutufanya tuone kama tumepigwa kichefuchefu kwa jambo hili...
Zamani kwenye hizi drama za mpira wa Simba na Yanga nilikuwa nasikia kuna wachezaji wa kigeni walikuwa wanafanya makubaliano na timu moja wakiwa nje ya nchi halafu wakifika Tanzania timu nyingine inawaiba au inawarubuni wakiwa Airport au Hotelini na kuwasajili kucheza timu yao.
Hawa wachezaji...
Nilijitahidi sana na kufanikiwa kununua iPhone 7 Plus nikiwa mwaka wa kwanza chuoni mwaka 2019, kipindi hicho simu hiyo bado ilikuwa maarufu sana. Nilikuwa naipenda sana kwa sababu ilikuwa inapiga picha nzuri na pia niliweza kuhifadhi mambo yangu mengi.
Siku moja nikiwa njiani kuelekea Mwenge...
Kuna kipindi kulitokea janga la uchunaji wa ngozi za binadamu.
Likaja janga la kutolewa viungo vya mwili kwa ndungu zetu wenye albinism.
Sasa ni kuna taharuki kuhusu uibaji wa watoto. Ingawa jeshi la polisi lime downplay taharuki hii kusema ni za kizushi ila bado pia inatakiwa tuwe makini kwa...
Nimewiwaaa kuuliza hili
Hivi majuzi nilinunua gb 1.4, Ghafla nikashangaaa siku mbili siwezi fungua website wala chat na WHATSUP
Nikasema isiwe taabu nikavuta niwezeshe, nikachungulia asubuhi nikawa na MB kadhaa. Asubuhi nikasema nikimonite naona na mb 765 mpaka tar 11 jun na mbs 650 mpaka...
1. Mfanyabiashara kalipa kodi halali shilingi milioni ishirini na nne, lakini kaandikiwa kalipa milioni tatu. Inawezekana kiasi kilichobaki kimeliwa na wajanja. Hilo limetokea jijini Arusha.
2. Watumishi wa Serikali wajiwekea utaratibu wa kutoa risiti feki na kujipatia mamilioni ya fedha. Tukio...
Umewahi kukutana janga la simu yako kufuatiliwa au kuingiliwa mawasiliano yako bila wewe kujua? Basi sasa unaweza kufuta ufuatiliaji wowote uliofanywa kwenye simu yako kwa kujua au kutojua.
Pia kama umeibiwa simu yako unaweza kujua taarifa zake kwa urahisi zaidi.
Kujua namba ya utambuzi wa...
Kuna chaguzi ndogo zilizofanyika katika maeneo mbalimbali nchini, na Chadema waliamua kutoshiriki, ACT wao wakafanya maamuzi yao kama chama huru cha siasa kushiriki, ACT wamelalamika na kusema kuna ukiukwaji mkubwa wa taratibu za uchaguzi zimefanyiwa kwenye chaguzi hizo.
Maajabu ni kuwa...
Tatizo kubwa makamanda wenzangu huwa wanawaza pesa tu.
Mahesabu sasa ni kurudi mjengoni. Kisa tu ukiwa mbunge kuna pesa lukuki za bure.
Badala ya kuwekeza kwa kuanza kujenga imani kwa wanannchi ili angalau tukubalike. Tumewekeza kwenye maandamano njaa.
Tukimwagwa. Mayowe kibao kama 2020.
Wakuu, hivi karibuni nilishambuliwa usiku na wezi kadhaa nisiowajua na kuniibia vitu vyote nilivyokuwa navyo. Hawa jamaa nawezaje kuwakomesha? maana wamenirudisha nyuma kiuchumi.
NB: Kuwakomesha kwa njia yoyote ile.
Friends and Enemies,
Baada ya mkutano wa berlin mwaka 1884/85,and after scramble and partition of Africa uzalendo wetu ulichukuliwa kutoka kwa mababu zetu kwa lazima na hatimae uhuru na nguvu zao zikageuka rasimali kwa wazungu (MISSIONARIES) ambao walipewa hati miliki ya kumiliki ardhi yetu na...
Mzuka wanajamvi.
Lile tukio la msanii maarufu nchini na bara la Africa Diamond la kuibiwa kofia halikuandaliwa staged.
Kwa utafiti wangu ni kweli Diamond ile kofia aliporwa.
Na hiki kitendo kilimkasirisha sana Diamond siyo kwasababu kofia ni ghali bali kufanyiwa matambiko na kurogwa kupitia...
Uchaguzi ni gharama kubwa sana kwa wagombea, vyama vya siasa na taifa kwa ujumla wake. Kupata pesa za kugharamia kupita kwenye kura za maoni, kupiga kampeni, kuchaguliwa, kulinda kura na kutangazwa kuwa mshindi ni bei kubwa sana.
Watanzania tunatarajia kusikia wizi au uhalalishaji wizi mkubwa...
“Ndugu yangu, nimekuwa nikizurura nje kwa muda mrefu...mnaweza kunipeleka nyumbani kwetu China?” Siku hizi, tamthilia fupi ya “Kutoroka kwenye Jumba la Makumbusho la Uingereza” iliyotengenezwa na mwanablogu wa China iliibua mjadala mkali ndani na nje ya nchi. Tamthilia hiyo inaelezea jinsi...
Ni majanga.
Utasikia nimeibiwa na boda, wamekwapuwa pochi yangu baada ya kutoka kutoa hela Mlimani City, ilikuwa na smart phone na ile laki tano niliyotoa baba watoto!
Au nikiwa ndani ya daladala, nafikiri yule kijana pembeni yangu alipulizia madawa ya usingizi au ya kulevya, akanikokota...
Chumba kimoja weka pesa na vitu vyako vingine huku mhudumu ukimwambia kuwa jamaa yako arakayekitumia yuko njiani na atafika muda wowote. Vifiche vizuri lakini, shauri yako.
Chumba cha pili ndo ulale na huyo uliyemnunua huku mfukoni ukiwa na pesa yake TU basi! Ziada mfukoni humo labda mipira tu...
Wakuu niko njia panda kipi kianze je naweza weka gypsum board na mikanda then baadae nikatandaza ile final wiring juu ya dari maana kuna wizi wa hizi nyanya sana