kuibiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    Kushindwa uchaguzi ni pamoja na kuibiwa kura, kulikoni kulia lia

    Penye ukweli pasi na kujali kambi ni heri kuusema. Vinginevyo tutaendelea kutwanga maji kwenye kinu milele. Hongereni CCM Kwa kushinda chaguzi zenu na kama mabwege yakiendelea kulaza damu kazeni uzi hapo hapo. Kwani malengo ya chama cha siasa nini? Si walisema "the end justifies the means?"...
  2. B

    Tudai uchaguzi wa haki badala ya kudai kuibiwa baada ya chaguzi

    Zimbabwe tayari wapinzani wanadai kuibiwa uchaguzi. Gabon uchaguzi wao ni leo: "Huko kwenye mtandao wa internet, TCRA ya huko tayari imeshafanya yake." Zaidi mno Serikali ya huko imepiga marufuku uwepo wa waangalizi na wanabari wa kimataifa. 1. Twendeni mahakamani, 2. Kampeni zetu ziwe na...
  3. Wu-Ma

    Baada ya kukoswa koswa kuibiwa nimeamua niuze TV, REDIO, NA FRIDGE

    Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita . Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe, nikanunua baadhi ya vtu vya ndani kama TV hisense smart inch 43, Fridge Aborder 128Liters na Radio Boss...
  4. M

    Serikali ya Tanzania imebariki raia wake kuibiwa kupitia Makampuni ya Michezo ya Kubahatisha

    Makampuni ya michezo ya kubahatisha yameendelea kuongezeka kwa kasi sana nchini Tanzania kuliko nchi nyingine za ukanda wa Afrika Mashariki. Ongezeko hili linachagizwa na ukweli usiopingika kuwa kumiliki kampuni ya michezo ya kubahatisha ndio njia rahisi zaidi ya kuvuna pesa kutoka kwa watu wa...
  5. Jidu La Mabambasi

    Economic Hit Men wako kazini, rushwa kwa wanasiasa zinaifunganisha nchi kuibiwa pakubwa!

    Sasa ni dhahiri, kuna International Economic Hit Men wako kazini. Nyenzo yao kubwa ni rushwa ya kuifungamanisha nchi na wao , ili wazichote fedha bila kazi, bila jasho na kwa raha mustarehe. Hili linaonekana hasa za kwetu nchi masikini, na inaelekea watazichota fedha nyingi sana kiulaini...
  6. JanguKamaJangu

    Ghana: Waziri ashikiliwa baada ya kuripoti kuibiwa Tsh. Bilioni 3 nyumbani kwake

    Cecilia Abena Dapaah aliamini anafanya uamuzi sahihi wa kwenda Polisi kuripoti kuibiwa kiasi kikubwa cha fedha nyumbani kwake lakini kibao kikageuka na kushikiliwa kwa kumiliki kiasi kikubwa cha fedha ambacho kinahusishwa na rushwa. Inaelezwa ameibiwa Dola Milioni 1 (Tsh. Bilioni 2.4), Euro...
  7. OKW BOBAN SUNZU

    Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poo kabisa 😀😀😀😀😀
  8. OKW BOBAN SUNZU

    Kuhusu mchezaji kuibiwa Airport, Eng. Hersi aongea kwa uchungu

    Simba Sc mlichofanya sio poa kabisa 😀😀😀😀😀
  9. B

    LIssu: Bandari zote bara, DP World kauziwa

    Hoja hupingwa kwa hoja: Bandari zote bara zimeuzwa! Kama ni kwa manufaa yetu, kwa nini siyo za Zenji?
  10. Kamanda Asiyechoka

    Kwa sasa Afrika haina kizazi kama cha akina Samuel Doe na Thomas Sankara. Waafrika wataumia sana na kuibiwa na mafisadi

    Miaka hiyo ilikiwa sio rahisi kusikia rais fisadi na anayekumbatia ufisadi huku raia masikini wakiteseka akikaa madarakani alipinduliwa na kuuwawa kwa maslahi ya taifa. Samuel Doe alifanya kweli kwa kumuondoa Torbet na genge lake. Thomas Sankara alifanya kweli na mapinduzi yakafanyika na...
  11. Gily Gru

    Nimeibiwa ID identity

    samtz1 analeta ukakasi wa kufanya tuonekane ID moja aache kuiga iga. Anatumia picha zangu kutafuta ma kuniibiia mademu zangu. Moderator Active mnaruhusuje watu kuiga picha zangu. Why? why? why? My name is Gily. The only super villain and master of Minions..
  12. N

    Muungurumo mbaya wa gari na kuibiwa masega

    Wakuu, leo asubuhi nimechukua gari yangu niliyokuwa nimeilaza kwenye parking moja ya kulipia. Cha kushangaza nimetembea njia nzima gari ina muungurumo mbaya na haina nguvu kama nilivyoizoea. Kuna nyuzi zilishaletwa humu kuhusu gari kuibiwa masega na muungurumo kubadilika. Je, kuna namna...
  13. B

    Kodi ya majengo kupitia luku baadhi ya watu wanaumia Kwa kuibiwa

    Najihusisha na huduma za uwakala na Moja ya huduma ninayoitoa ni manunuzi ya umeme ambapo serikali pia hukusanya Kodi ya majengo Kwa TSH 1000 Kwa Kila mwezi,Kuna malalamiko mengi kutoka Kwa wateja. Mosi, kukatwa Kodi isiyo halali(kuibiwa),mfano Kuna mteja alinunua umeme mwezi machi, Leo Mei...
  14. big soap

    Simu yangu ilivyonusurika kuibiwa leo asubuhi

    Leo asubuhi majira ya saa kumi na moja na nusu asubuhi, nikiwa na familia safarini kutembelea shamba maeneo ya Kisarawe, muda huo ndugu yangu x akiwa anadrive maeneo ya Malamba Mawili kwa ndodi, baada ya kufika maeneo hayo ndugu yangu dereva aliniambia nishike usukani. Yeye sio mzoefu sana wa...
  15. JituMirabaMinne

    Kwanini GPS trackers zinaondolewa baada ya vyombo vya moto kuibiwa?

    Kumekuwa na cases nyingi za watu kuibiwa vyombo vya moto na GPS trackers kuondolewa, mpaka kupelekea watu kuona kama kufunga GPS trackers hakuna umaana wowote. Hii thread sitazungumzia kabisa detectors na jammers km watu wengi wanavyodhani kuwa wezi wanakuwa na tools hizo ambazo zinawasaidia...
  16. Kinoamiguu

    Kuibwa kwa silaha ofisi za TAKUKURU Handeni Maswali ni mengi kuliko majibu

    Habari za mapumziko wana jamvi Mapema wiki hii palitokea wizi wa silaha za moto kwenye ofisi za PCCB Huko Handeni Tanga. Kama kawaida jambo limepita na hakuna kilichotokea. kwa mujibu wa gazeti la mwananchi silaha zilizoibwa ni mbili na zenye risasi ndani. hatujui zimeenda wapi na zinaenda...
  17. BARD AI

    Je, Wajua Kombe halisi la Dunia liliibwa na halijawahi kupatikana?

    Machi 20, 1966 miezi 4 kabla ya Michuano, Kombe la Dunia liliibwa na kugunduliwa na mbwa wa upelelezi aitwaye Pickles siku 7 baadaye likiwa limefungwa kwenye gazeti huko London. Desemba 19, 1983 liliibwa tena na kusababisha Wanaume 4 kuhukumiwa kwa wizi bila ushahidi na Kombe hilo halijawahi...
  18. Kennedy

    Njombe Karani wa Sensa afutwa kazi baada ya kuibiwa Kishkwambi

    Mratibu wa zoezi la sensa mkoani Njombe Amewafuta kazi makarani wawili, baada ya mmoja kuibiwa Kishkwambi, akiwa na mwenzake kwenye ulevi ulipitiliza Pamoja na kuwafuta kazi hao, Mratibu amesema zoezi litakwenda vema japo hao wawili wameondolewa Mambo ya ngoswe yameanza mapema kujitokeza...
  19. M

    Umewahi kunusurika janga lolote au umekwepa kutapeliwa au kuibiwa kwa bahati au uwezo wa Mungu? Toa simulizi yako hapa

    Kuna siku nilipigiwa simu na mwanamke simfahamu na namba ngeni, akaniita jina fulani (Sio langu) nikamwambia umekosea namba, akakata simu. Wiki chache baadaye akapiga tena, mara hii akataja jina langu kabisa, ninapoishi na hata ninapofanyia kazi, akaniomba nikutane naye mahali kwa mazungumzo...
  20. Nyankurungu2020

    Taifa lolote linapokuwa na kiongozi anayehadaa umma kuwa yeye ni mtu fair lazima liumie kwa kuibiwa na kiongozi huyo

    Taifa linapokuwa na kiongozi ambaye anaonyesha kuwa yupo fair. Kwamba yeye ni mtu safi hataki kusikia wahujumu uchumi, watakatishaji pesa na wala rushwa wakifikishwa kizimbani taifa hilo litambue kuwa anatengeneza mazingira ya kuungwa mkono na wahalifu. Kwa namna yoyote ile taifa hilo litambue...
Back
Top Bottom