kuibiwa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. sky soldier

    Tuliowahi kuibiwa vitu majumbani, kwenye gari, n.k -- ni kitu gani hukudhania wangeiba?

    Binafsi nakumbuka nikiwa chuoni Arusha, kuna siku nlikuwa nahamia geto flani. Basi tripu ya kwanza nilipeleka mapazia, meza na kitanda. Sasa wakati nimemaliza kufunga kitanda nimechoka hatari, nikanunua bia mbili, kwajili ya mimi na jamaa kanisaidia kufunga kitanda, tulipiga pafu moja tu...
  2. C

    Anayehitaji kujenga kwa gharama nafuu na kitaalamu bila kuibiwa naandaa BOQ/ makadirio kwa gharama nafuu

    Mimi Ni Quantity Surveyor au mtaalamu wa gharama za ujenzi . Tafadhali anayehitaji kujenga Kama tayari una ramani yako au utahitaji tu Nikuchoree na nikuandalie BOQ yaan makadirio ya materials yanayohitajika na gharama zake ili kuepuka kuingia gharama na kuibiwa na mafundi au kununua material...
  3. Masulupwete

    Hivi bado kuna kuibiwa hela ndani siku hizi?

    Wakuu kuna jirani hapa anadai wezi wamevunja kwake wameingia ndani na kuondoka na pesa. Mimi sishangazwi na huo uvunjaji wala wizi wenyewe kinachonishangaza ni ishu ya wezi kuzikuta hela ndani unapolala. Hivi wakati huu wa mabenki, sakosi, vikoba na ma-mpesa kama yote bado kuna watu wanakaa na...
  4. Kamanda Asiyechoka

    Upinzani tuitishe maandamano nchi nzima kupinga Ufisadi aliohamasisha Rais Samia. Wanaokwenda kuibiwa ni watanzania wote

    Bila kujali itikadi zetu za vyama vya upinzani tuungane wote kuitisha maandamano ili kupinga hii kitu aliyohamasisha mkuu wa nchi. Yaaani kuruhusu kukwapua na kuweka kwapani mali ya umma kama vile unajikatia ugali nyumbani. Watanzania wote wahamasishwe mpaka tutapopata uhakika kuwa hatutaibiwa...
  5. KAGAMEE

    Naomba ushauri: Nahisi kuibiwa na wahudumu wa Halotel

    Bila shaka mnaendelea na maandalizi ya sikukuu!Mida ya saa nne leo asubuhi kuna mtu kaniomba vocha nikaona isiwe kesi nikaingia kwenye Mobile App yangu ya NMB ili nimnununue mda wa maongezi mhusika. Nimeingia nikamtumia elfu 10 kama mda wa maongezi ili ajiunge mwenyewe,Nmb wakanipa taarifa hela...
  6. MR.NOMA

    Wizara ya Elimu iwasaidie wazazi katika hili waache kuibiwa

    Wakuu habari! Tukiwa tunaelekea mwezi Januari ambapo wazazi wengi wenye watoto wanaosoma sekondari watatakiwa kuhakikisha wanawanunulia watoto mahitahi yote muhimu ya shule kabla ya shule kufungua ikiwa ni pamoja na kulipa ada ya masomo. Sasa Kuna mahitaji mengine wanayoagizwa watoto wa...
  7. B

    Mnaodaiwa na Bodi ya Mikopo ya Elimu ya Juu (HESLB) naomba kuwajulisha mnavyoweza kuiba au kuibiwa

    Vijana wangu najua mnakwenda vyuo lakini hamtoki na maarifa mnatoka na vyeti. Kwani nasema mnatoka na vyeti, ni kwa sababu mnashindwa kutafsiri hata mkopo mnaopewa unatolewa kwa sheria gani na una masharti gani. Leo mhitimu wa chuo kikuu unamuuliza unadaiwa kiasi gani na bodi mkopo awezi kujibu...
  8. Babe la mji

    Sakata la ofisi ya DPP kuvunjwa na kompyuta kuibiwa liliishia wapi?

    Nakumbuka ni kipindi ambacho afisi ya DPP iligeuka kuwa TRA yani mtuhumiwa anakili kosa kisha analipa fidia mambo yanaisha. Hii iliwahusu wale wenye kesi za uhujumu uchumi. Lakini ghafla tukasikia ofisi imevunjwa na nyaraka zimeibwa. Sasa nauliza vipi hili sakata liliishaje? Vipi watuhumiwa...
  9. JituMirabaMinne

    Epuka kuibiwa gari kwa kutumia funguo za ziada

    Note: Uzi huu unawahusu tu watu ambao gari zao zina Immobilizer Kama una funguo inafanana na hizi hapa chini. Then kaa hapa usome. Ipo hivi.... Kuna baadhi ya malalamiko watu wanalalamika kwamba wizi wa magari huenda unasababishwa na watu ambao walikuwa wamiliki wa hayo magari au...
  10. mkenya wa kova

    Kwa tuliowahi kuibiwa na ma dada poa au malaya tukutane hapa

    NDUGU ZANGU... Mnamo mwezi wa sita mwaka huu nikiwa nchini kenya.baada ya kuzunguka katika kaunti zake kazaa kikazi nikitokea dar es salaam tanzania (si mara yangu ya kwanza kwenda kenya) nimejikuta niko kaunti ya kisumu.nimekaa katika kaunti tangu tareh 20 mwezi wa saba,nimeondoka juzi tareh...
  11. Hamayser hamisi

    Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

    Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa sim anapo potelewa ama kuibiwa sim yake ili kurejesha namba yake. Wata zania awapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwaiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya sim linakuwa changamoto kubwa sana...
  12. Hamayser hamisi

    Ushauri wangu juu ya kurejesha namba ya simu iliyopotea au kuibwa

    Kumekuwa na utaratibu wa kwenda polisi pindi mteja wa mtandao wa simu anapo potelewa ama kuibiwa simu yake ili kurejesha namba yake. Watanzania hawapendi usumbufu pia tuna haiba ya woga, kwa hiyo lipokuja suala la kwenda polisi kwa sababu kupotelewa na laini ya simu linakuwa changamoto kubwa...
  13. comte

    Mbowe: CHADEMA haijawahi kuibiwa kura katika uchaguzi wowote ila hushindwa ka sababu ya msingi dhaifu

    Mbowe alisema wazo la “Chadema Msingi” ambayo ilikuwa na lengo la kuwasajili wanachama wapya kuanzia ngazi ya chini, alilipata akiwa gereza la Segerea baada ya kusoma kitabu cha mwanazuoni kutoka taasisi ya NDI, Jean Sharp kinachoitwa “From dictatorship to democracy: How to fight dictatorship”...
  14. goroko77

    Mwambieni CAG, sisi tumeridhika kwa kuwa tumezoea kuibiwa

    Sasa najiuliza ikiwa ripoti ya CAG imeonesha madudu je, ni jinsi gani sasa kama taifa tumeingiaje uchumi wa Kati? Ikiwa tumeibiwa Sana namna hii. Kuna bandiko linatembea nazani ni kutoka timu Sukuma Gang kujibu tuhuma za Msoga gang. ===== MWAMBIENI CAG, SISI TUMERIDHIKA! 1. Mwambieni CAG...
Back
Top Bottom