Iko hivi mi nafanya kazi shirika fulan , huwa tunazurura mikoa mingi , kila mkoa huwa tunakaa at least miez sita .
Kwa sasa tupo DSM , nimechukua chumba mitaa ya KAM college Kimara korogwe, nikanunua baadhi ya vtu vya ndani kama TV hisense smart inch 43, Fridge Aborder 128Liters na Radio Boss...