Rais wa #Ukraine, Volodymyr Zelensky amevaa Gwanda za Jeshi na kuingia "Uwanja wa Vita" kutetea nchi yake
Majeshi ya #Urusi yameripotiwa kuzidi kuingia katika Mji Mkuu wa Ukraine, Kyiv.
Awali, kulikuwa na tetesi kuwa Rais huyo amekimbia nchi, ambapo alijitokeza na kuomba Wananchi wapuuzie...
Salaam Wakuu,
Nimeshangaa na sikuamini Kusikikia Stephen Kagaigai kabadilika kawa mbabe kiasi kwamba sasa hivi anawekwa kundi moja na Wakina Sabaya, Mnyeti. Huyu Mzee kabla ya kuwa Mkuu wa Mkoa, alikuwa Katibu wa Bunge akifanya kazi na Ndugai. Au ni Msongo wa Mawazo baada ya Kutolewa Kwenye...
Rais Putin asaini waraka wa kuamuru majeshi ya Russia kuingia Ukraine kulinda amani ktk majimbo-yenye-uasi ya Luhansk na Donetsk
Rais Vladimir Vladimirovich Putin wa Russia amesaini tamko rasmi/ decree kuamrisha majeshi ya Russia kuingia nchi Ukraine katika majimbo Luhansk na Donetsk, ambayo...
Kama umefanya kazi ya kuuza duka la rejareja au pharmacy utakuta wateja wengi wanaotaka condoms wakikuta wateja wengine wanashindwa kabisa kusema kuwa wanahitaji condoms, utakuta mtu anaanza kuulizia bei za mikate mara soda akisubiri wateja wengine waondoke ndio aseme shida yake. Hii imekaaje...
Kuna taarifa zinasambaa Kwenye mitandao ya kijamii Kwamba Trafic wa Wilayani Same wamekataza mabasi yanayotoka Dar kuwahi kufika Same kabla ya saa Saba. Matokeo yake mabasi yakikaribia same yanapaki barabarani yakisubiri ifike saa Saba yaingie mjini.
Wakati huyu trafic anafanya haya naamini...
Polisi Canada wameipata miili ya watu wanne akiwemo mtoto mchanga, katika eneo la uwanja mkubwa uliopo kwenye mpaka wa Canada na Marekani.
Watu hao walipatikana wakiwa wamekufa katika theruji walipokuwa wakijaribu kuingia nchini Marekani kinyume cha sheria.
Imetambuliwa kuwa familia...
Hivi karibuni, China imeweka hatua mpya katika kuzisaidia nchi za Afrika kuendeleza mageuzi ya kidijitali. Kampuni ya mawasiliano ya simu ya Zambia ya MTN imeshirikiana na Huawei ya China kuzindua mtandao wa majaribio wa 5G, na kuifanya nchi hiyo kuwa miongoni mwa nchi za awali barani Afrika...
Awali tuliona nguvu kubwa inatumika kudhibiti Watu wasiingie mahakamani.
Tukashuhudia Majaji wakitoa hukumu zilizo kinyume kabisa na mwenendo wa kesi na baada ya kutoa hukumu hizo wakapandishwa vyeo
Switch za ukutani tukaambiwa zimeharibiwa kudhibiti umeme usipatikane
Tukashuhudia ubunifu wa...
HDI kwa kifupi inaangalia Afya na umri wa wananchi , pamoja na ubora wa maisha wanayoishi. Pia ndio inayopima kama taifa limeendelea au liko chini.
Kwa sasa Tanzania iko katika kundi la chini kabisa nafasi ya 163 , kinachoshangaza hata Comoro na Uganda wametupita.
Kwa haraka tu nadhani Watz...
Amani kwenu Wakuu.
Elimu ya mahusiano ni kubwa na watu wengi wamekuwa wakielezea mambo kadha wa kadha, kwa upande wangu naomba kujikita katika muktadha tofauti kidogo kwa namna yake japo kwa ujumla wake mambo yanaweza kuwa yaleyale kama ambavyo huelezwa na watu wengine.
Bila shaka utakubaliana...
Ni kwanini Mtu aliyeko Chooni hasa akiwa Anakunya ( Wazaramo wanasema Anaukweka ) akisikia kuna Mtu mwingine anakuja Kuingia humo huwa anawahi Kuguna ( tena kwa Nguvu ) kama sehemu ya Kumjulisha ajaye kuwa yupo?
Na Ugumu huwa unakuwa wapi kwa Mtu aliyeko Chooni ( Msalani ) kutoa tu Sauti kwa...
Kuelekea msimu wa christmas tayari wachaga wameshaingizana Maeneo ya kwao huko. Tujiandae na sikukuu ya mwaka huu itafana sana baada ya michongo yao kuachiwa free now.
Habari Wanajamvi baada ya kupita siku moja toka ile Derby ya kukata na shoka ya watani wa jadi ambayo ilikuwa na kashkash ya hapa na pale na likishuhudiwa tukio la Madame CEO Babra Gonzalenz kuzuiwa kuingia VVIP leo kiongozi wa Simba crescentius Magori ambaye ni mshauri wa Rais ameandika haya...
Nimesoma na kupokea kwa masikitiko taarifa ya kuzuiwa kuingia uwanjani kuangalia mechi ya leo Barbara Gonzales CEO wa Simba.
Kusema kweli niliaminishwa shuleni kwamba wazungu walituita Waafrika (washenzi) yaani watu wasio wastaarabu kuwa walitunyanyasa kwa kutuita hivyo.
Ila nimejifunza na...
Chandra Bahadur Dangi (30 November 1939 – 3 September 2015) (Nepali: चन्द्रबहादुर डाँगी, pronounced [t͡sʌndrʌˈbʌɦadur ˈɖãŋɡi], or [t͡sʌndraˈbaːdur ˈɖãŋɡi] alikuwa mwanamume wa Kinepali ambaye alikuwa mwanamume mfupi zaidi katika historia iliyorekodiwa ambaye kwake kuna ushahidi usioweza...
Wana JF,
Ukisikia nchi kulogwa na aliyeiloga kafa ndio huu mchezo wa kudumaza mambo ya kisayansi na kuzalisha wanasiasa wengi, wanasheria wengi, wahubili wengi kiasi cha kukosa dira ya mpango wa elimu bora yenye mtririko wa kisayansi.
Ukienda kwenye vyuo vikuu vya umma utakuta vijana wengi...
Marufuku kwa Wafanyakazi wa Sekta ya Umma kuingia Ofisini ikiwa hawajachanjwa na kupimwa COVID-19 imeanza kutekelezwa Nchini humo
Imeelezwa kuanzia Desemba 01, 2021 Wananchi hawatoweza kuingia Ofisi za Serikali pasipo kuonesha ushahidi wamepata walau Dozi 1 ya Chanjo
Zaidi ya watu Milioni 14...
Pamoja na kuwa inshu ya shaidi kuingia na note book Kizimbani ijumaa wiki iliyopita Jaji alihaidi kuwa mahakama itaifanyia maamuzi Jumatatu hii. Yani ataanzia na objection ya kina kibatala.
Jumatatu mahakama haikukumbuka ata si kuianzia tu maana ndipo walipoishia. Pia nikiamini pingamizi Hilo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.