Habari za muda huu ndugu, jamaa na marafiki zangu wa JF,
Leo nitakwenda fastafasta maana hamnilipi, ambae atanielewa sawa ambae atapuuza sawa pia;
Kwanza cha kwanza kwa utafiti nilioufanya kwa hizi siku kadhaa nilipokuwa kimya nimegundua kuwa kumbe wanawake wa sasa wanaingia kwenye ndoa kwa...