Wizara ya Afya ya Zanzibar imetangaza watu kutoka nchi tisa ambazo tayari zimethibitisha kuwa na maambukizi ya virusi vipya watalazimika kufanyiwa vipimo vya haraka kabla ya kuingia Zanzibar
Nchi zilizotajwa ni India, Uganda, Marekani, Uingereza, Peru, DR Congo, Afrika Kusini, Ufilipino na Brazil