Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, leo akiwa anawasilisha ripoti yake ya miezi 6 ya kuwa Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Makoa ameamua kujibu mapigo.
Kama mtakumbuka, wiki chache nyuma Lissu alimtuhumu Makonda kuhusika na jaribio la kumuua lililofanyika mwaka 2017.
Akiongea na wanahabari leo...
Tanzania bado haija-sini mkataba wa kujenga natural gas refinery ila uko mezani mpaka sahivi
Mwanasheria wa serikali alitaka mazungumzo zaidi juu ya mkataba kwa sababu kuna mambo bado kama serikali hajaridhika nayo
Wito ni huu tunaomba serikali isi-sini huo mkataba iangalie option nyingine...
Nisiwachoshe kwa salamu, moja kwa moja kwenye hoja. Kuolewa ni Kuolewa tu kwa mwanamke yeyote na ni Jambo Lenye heshima yake. Na kuoa ni kuoa tu kwa Mwanaume na ni Jambo Lenye heshima yake pia kwenye jamii.
Yeyote awe Mwanaume au Mwanamke Umri wa kutimiza ndoa ukifika na Jambo hilo likatimilika...
Nawahusia vijana kwa sasa kuna changamoto nyingi sana katika ndoa na ukweli ndoa nyingi zinavunjika kwa sababu ya wanawake kujaa viburi na kutokuwaeshimu wanaume wao.
KIJANA KAA MBALI NA BINTI ALIYE LELEWA BILA BABA na usipumbazwe na ulokole feki utakaokuwa kwa Mama yake kwa maana single mother...
CHADEMA ndicho chama kikuu cha upinzani Tanzania. Viongozi wa CHADEMA kadhaa wametekwa na wahuni na wengine kuuwawa, Serikali imeshindwa hata tu kumshika teja na kumbambikiza kesi ya utekaji na uuaji licha ya kuwa na makachero wanaotengewa billions of Tanzania shillings kila mwaka. Badala yake...
Wakuu nina karibu wiki ya pili sasa au tatu kila nikilog in inakataa nimetumia kompyuta nimetumia simu lakini bado tu hebu nipeni msaada wazoefu. Nimeweka picha tatu hapa ambazo ndizo hatua ninazozungukia yaani nikilog in narudishwa kwenye home na hakuna ninachoweza kuendelea
NA MARYAM HASSAN
WAKATI umefika sasa Zanzibar kuondokana na dhana kuwa nafasi za wanawake viti maalum kuwa ni za watu aina fulani pekee na badala yake lazima uwepo ukomo wa kuondosha suala hilo.
Tumeshuhudia kwamba wapo baadhi ya wanawake wameshikilia nafasi hizo enzi na enzi hali ambayo...
Kwa muda mrefu Tanzania tulijiweka katikati ya dunia kupitia siasa ya nje ya kutofungamana na upande wowote, sera hii imetuchelewesha sana kwakuwa hakuna anaetuamini kwa 100% badala yake tuko 50/50. Hii imesababisha kukosa fursa nyingi kutoka Magharibi na Mashariki na Asia (waisalamu).
Kenya...
Katika ulimwengu wa kisiasa, wanawake wanakutana na vikwazo vingi vinavyozuia ushiriki wao kamili. Na sio tu kwa nafasi kubwa kama Ubunge na Urais, kuanzia huko kwenye Uwakilishi wa Serikali za Mitaa na Udiwani
Upendeleo wa kijinsia na ukosefu wa rasilimali ni baadhi ya changamoto kubwa...
Biashara ya kukopesha pesa yani ukimuona unae mdai kabeba begi yuko kwenye boda , inabidi na wewe uchukue boda fasta umfukuzie, mwisho unaona anaingia kwa dobi, inabidi upitilize na hujui unaelekea wapi.
Kudownload na kuinstall pesa.
Bajaji
Biashara ya kukopesha pesa, yani ukimuona unaemdai...
Wengi wenu, kabla hamjafika karibu na mageti ya nyumba zenu, mnasimamisha gari na kuwa Bize na simu kwa dakika kadhaa.
Ni kipi cha muhimu mnafanya kwenye simu wakati huo? Kwani huko mlipotoka mlikosa muda wa kufanya hivyo?
Nasema haya maana hapa mtaani naona sana hayo, nyumbani ni njiani na...
Maafisa wa polisi walizuiliwa kuingiza miili isiyojulikana katika Makaburi ya Jiji la Nairobi kufuatia mvutano kati ya serikali ya Kaunti ya Nairobi na Huduma ya Polisi ya Kitaifa (NPS)
Kulingana na serikali ya kaunti, hakuna nafasi katika mochuari hiyo wakidai imejaa, na ina uwezo wa kujaza...
Private Public Partnership inafaa pale tu ambapo kuna mtu binafsi ana kitu ambacho serikali haiwezi kufanya, au anaweza kukifanya kwa ubora; Win Win Situation. Sasa katika Suala la Nishati Safi ya Kupikia kuna majiko ya kisasa ya Induction Cooker ambayo yana ufanisi wa percent 90; Yana Ufanisi...
Naibu Waziri wa Uchukuzi David Kihenzile akimwakilisha Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Dkt. Doto Biteko leo Oktoba 01, 2024 amezindua usafirishaji wa bidhaa mbichi zikiwemo mbogamboga na matunda kwa treni, kupitia Shirika la Reli Tanzania (TRC) kutoka Morogoro kwenda Dar es Salaam...
Mamlaka za Lebanon zimesasisha hivi punde kuwa idadi ya waliofariki kutokana na mashambulizi ya anga ya Israel leo imefikia watu takriban 274 sasa. 21 kati yao ni watoto, kulingana na wizara ya afya ya Lebanon.
Watu wengine 1,024 wamejeruhiwa katika mashambulio hayo, wizara hiyo inaongeza...
Wakuu ni uhakika?
Ni story huwa inanichekesha hata nikiwa mwenyewe nikikumbuka tu.
Ilikuwa mapema ya saa2 usiku tupo kijiweni mimi jamaa 3 tunapiga story kadhaa wa kadhaa
Mara jamaa mwingine kaja speed akimtafuta Bw j.Tukamuuliza kulikoni speed hivi mkuu?
Akajibu asee namtafuta mr j binti...
Hapa ni waziri wa uhamiaji wa Poland akiongelea kuhusu nchi yake kuwa na kiwango kidogo cha machafuko, ugaidi na uharifu ambao umeongezeka zaidi katika nchi nyingine zilizoruhusu wahamiaji kiholela.
https://youtube.com/shorts/y9fY9ft7_5U?si=liV91sa-H96z5P-B
Hapa ni vikosi vya usalama vya...
Kwa utashi wangu wa kusoma uhalisia, na Hali halisi ya Klabu ya Simba SC. Hasa falsafa za Kocha Fadlu, Basi sioni namba watakayo tumia Simba kuwatoa Al Ahly Tripoli na kutinga makundi.
Sioni namna Kocha Fadlu anaweza kubadilisha namna take ya uchezaji.
Sioni namna ule Moto atalio pelekewa...