Ikulu ya Magogoni imewakarimu sana viongozi wa dini na wasanii wakiambatana na CHAWA. Nadhani hiki ni kipindi ambacho kila mwezi hata makundi lazima yawe Ikulu.
Je, huu ni ukarimu? Na ukarimu huu unamchango wowote kwa wananchi maskini? Lengo la huu ukarimu ni nini kitaifa?
Maskini waliopo...
NI WAKATI SAHIHI KWA SERIKALI KUANZISHA SHERIA ZA PRENUP KWA WANAOTAKA KUINGIA KWENYE NDOA KUEPUSHA MATAPELI.
Anàandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Huwezi ukawa na sheria ya Talaka alafu muda huohuo isiwepo sheria ya PreNup. Huko ni kutengeneza mazingira ya utapeli, dhulma na kuifanya ndoa isiwe...
Asubuhi hii nasikiliza taarifa ya habari, nasikia Zanzibar nako serikali ya huko imetangaza Bei Elekezi kwa sukari!
Nafika ofisini mapema n inabidi nijiulize kwa makini.
Nini maana ya bei elekezi?
Hii ni bei iliyopangwa na serikali baada ya kuondoa gharama zote za uzalishaji, na kuongeza...
Si wazo baya kuingia kwenye chaguzi zijazo 2024/2025. The main concern ni hii:
1. It is very likely CCM watafanya dhuluma kama waliyofanya 2020,MSIWAAMINI KAMWE. mmeweka mikakati ipi kuhakikisha kwa namna yoyote MTAZUIA UCHAFU HUO?
a) Kuna kuenguliwa
b) mawakala kutoingia kenye vyumba vya...
Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wanawake (UWT) Mkoa wa Dar es salaam Ndugu. Mwajabu Mbwambo, ameshiriki katika mkutano wa waandishi wa habari uliondaliwa na katibu mkuu Uwt Taifa Ndugu Joketi Mwegelo. Ukiwa na lengo la kuwahabarisha wanawake katika kuelekea siku ya wanawake duniani kuendelea kumuunga...
Hili suala la cut point za kuingia chuo kikuu zilipandishwa na waziri wa Elimu kipindi hicho (Ndalichako) kiliwaumiza wengi wengi sana hasa watumishi wa umma wenye kutaka kujiendeleza kielimu.
Wiziri alipandisha kwenda cut point 4 Kila chuo badala ya cut point 2 hili suala liliwaumiza vijana...
Habari za jioni wana JF. A true story inayohitaji msaada kutoka kwa rafiki yangu wa karibu, Yeye tayari ana mtoto wa miaka miwili lakini hayupo pamoja na Mama mtoto wake. Sasa yupo kwenye mahusiano ambayo conclusion yake ni Ndoa na ni ndani ya mwaka huu 2024.
Naomba tumshauri, anatakiwa afanye...
Wasalaam.
Tangu nikiwa chuo ilikuwa hairuhusiwi. Nikaja kwenye professional examination ilikuwa hivyo. Hata wakati nafanya CPA na ACPB na kisha CPSP niliona wakikataza.
Swali linajieleza lenyewe. Sababu hasa ya kukatazwa ni nini?
Kila mtu anataka kuzamia Marekani, hata Wachina wambao tunaambiwa jinsi uchumi wao umeboreka.....
Chinese migrants flock to U.S.-Mexico border on economic pressures
Their encounters with American authorities jumped 10-fold in 2023
People from China and elsewhere who are suspected of illegally...
Wakuu,
Hali ya usafiri Kigamboni leo sio shwari. Kama mnavyoona watu wapo wa kutosha. Pantoni linalotumika ni moja tu, likipakia tunasubiri ligeuze kuja kutufate wengine huku. Utafikiri sio weekend.
Hakuna backup ikitokea kuna shida kama hivi? Maana jinsi watu wanasukumana kuingia ni balaa...
Jana nimepita mitaa ya Shule ya Moja ya Shule za Fountain Gate iliyopo Tabata Sigara jijini Dar es Salaam, nimekutana na tatizo kubwa sana la Barabara inayoingia katika Shule hiyo, na mbaya zaidi ni Barabara inayotumika na Watoto kufika shuleni hapo cha kushangaza barabara hiyo imekuwa mbovu kwa...
Na nisiwe mnafki naomba hili liwe fundisho kwa nia ya dhati kabisa natamani tujifunze kwa maumivu maana wagebga walisema kusikia kwa kenge ni mpaka apigwe na kitu kizito kichwani famu zimtoke masikioni, haya maamuzi yaliyofanyika ya kuleta wachezaji wengine hayana tofauti sana na ukenge.
Mechi...
Jeshi la israel linaripotiwa kuvuka mpaka na kuingia katika ardhi ya lebanoni usiku kucha.
Iwapo itathibitishwa hii itakuwa mara ya kwanza kwa jeshi la Israel kuingia lebanon tangu 2006 na inaweza kufungua njia ya mashambulizi ya ardhini.
Source: Al jazeera...
Madereva wa Tanzania wanalalamika kwamba Zambia imewakataaa badala yake wanataka madereva wote wanaoingiza magari Zambia wawe RAIA wa Zambia. Dreva mmoja anatakiwa kuwa na siku 90 kwa mwaka, akizidisha siku 90 kwa mwaka anatakiwa kulipia si chini ya milioni moja na laki mbili ndipo aingize gari...
Mbowe na CHADEMA wana lengo la kupeleka ujumbe duniani juu ya demokrasia ya Tanzania na watatumia maandamano kufikisha ujumbe huo.
Kwa kuwa CHADEMA kinakabiliwa na kutokukubalika na wananchi wa hapa nchini hivyo wanaamini wakifanya jambo litakalochochea vurugu na ikitumika nguvu kudhibiti...
Baba jitu zima una zaaidi ya miaka 18, unendaje bar ukiwa hauna kitu?
Unaenda bar unaanza kuombaomba bia kwa wanaume marijali wenzako, hùu ndio mwanzo wa kufanyiwa vitendo vya hovyo.
Kama huna hela baki ndani mwako, na kama unataka kulewa chukua buku mbili kununue Smart Gin Rudi nyumbani...
Huu unaweza kuwa uzi wangu wa mwisho kwa mwaka 2023 na nataka nimalize mwaka kwa ujumbe chanya. Wenye akili zao watausoma na yale watakayoona ni mazuri wataenda kuyafanyia kazi.
Yanga na Simba bado wako kwenye mbio za kufuzu kwenda katika robo fainali ya klabu bingwa ya Afrika. Yanga hajacheza...
Naomba tujengane kwenye masuala ya mahusiano. Majuzi nilicheki uzi ambao watu wanasema kataa ndoa, wengine wanalaumu, wengine wanaponda ndoa na wengine wanazisifu, mimi binafsi nilijenga hoja zangu na watu wakadai nimewabomoa! Yaah! Sometimes inabidi tubomoe ili tujenge kitu imara zaidi.
Fanya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.