Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa watatu (majina yanahifadhiwa kwa sababu za kiupelelezi) wakazi wa Tunduma kwa tuhuma za kuingiza nchini vipodozi vya aina mbalimbali vilivyopigwa marufuku vyenye viambata sumu pamoja na bidhaa za magendo kupitia njia za panya.
Kamanda wa...
Wiki chache zilizopita, Waziri wa Kilimo, Umwagiliaji, Mifugo na Biashara wa Zanzibar, Shamata Shaame Khamis alitoa ufafanuzi kihusu tukio la kutaifisha tenga za ndizi za mfanyabiashara Veronica Mwanjala aliyekuwa akizisafirisha kutoka Dar es Salaam kwenda Zanzibar kwa ajili ya biashara...
Waziri wa Uwekezaji, Viwanda na Biashara Dkt.Ashatu Kijaji akiwa Dar es salaam leo amesema Serikali imetoa vibali vya kuingiza mchele nchini Tani Elfu 90 kwa ruhusa ya Rais Dkt.Samia “Tunatarajia kuanzia mwisho wa mwezi huu wa pili zao la mchele litapungua bei”
Lengo la Serikali mchele ushuke...
Ni kweli kuwa unaweza kuingiza fedha au kujiingizia kipato bila kuwa na Google Adsense.Narudia tena ni ukweli.
Baada ya kumaliza masomo ya advance nilizindua kitabu changu cha pili kiitwacho OPEN THE DOORS OF SUCCESS IN YOUR ACADEMICS. Lakini ndoto zangu zilikuwa ni kuwa mwandishi mkubwa wa...
Usiku huu wakati napita huku na huko mitandaoni ili kutafuta usingizi nimekutana na hii post.
Kwa kweli imenishtua kidogo, hata hivyo masuala yenyewe hayajawekwa wazi sana.
Niliwahi kusoma Mahali kuhusu IMF Inclusion Policy. Kama hivyo ndivyo basi hatari ni kubwa, otherwise Mwigulu Nchemba...
Kwenye tembea tembea zangu mitandaoni nimekutana na kikotozi cha TRA kinachotumiwa kwenye uingizaji wa bidhaa hapa nchini, kwakweli kinatia kichefuchefu na kukatisha tamaa.
Jioneeni wenyewe nisiseme sanaa;
kwenye audio kuna option ta 32 kbps, 64 kbps, 128 kbps, 320 kbps na hii DD+ atmos 768 kbps.
Nimevutiwa na namba kubwa, laptops zetu hizi za kawaida kuna haja ya kushusha huo mzigo wenye 768 kbps ??
MAMLAKA ya Mawasiliano Tanzania (TCRA), imeeleza wahalifu wa mitandao ya simu maarufu kama 'Tuma kwa namba hii' wanavyosajili laini kinyemela kwa kutumia vitambulisho na alama za vidole vya watu, bila wahusika kugundua.
Imesema uhalifu huo hufanywa na mawakala wanaosajili laini za simu mteja...
Ndani ya NATO kuna kinga, taifa lako likiwa ndani ya NATO, yaani Urusi hupita mbali na haiwezi ikakosea njia na kwa namna Urusi imedhihirisha udhaifu wake baada ya kushindwa kuparamia Ukraine licha ya kutumia nguvu nyingi sana, ni dhahiri kwa mataifa ya huko yakitaka amani ya kudumu yajiunge...
Huu ni mwanzo... Tuanze kujiandaa na yale yajayo siku za usoni. Maji yameanza kupungua tena kwenye mabwawa.
Tulicheleweshwa sana kimaendeleo. Sasa tutaweza kuifungua nchi vizuri na kurudisha uchumi uliokwama.
Habari wakuu Natafuta kibarua cha kuingiza taarifa za mfuko wa Bima ya afya wa Taifa NHIF.
Naweza kufanya member authorization.
Naweza kufanya Eclaim- kudai malipo ya kituo kwa mwezi husika.
Naweza kujaza kitabu cha Dawa cha wagonjwa wa Bima ya NHIF.
Nina ujuzi wa kutumia computer.
Sikusoma...
KINANA ASHAURI MSCL KUJIENDESHA NA KUFIKIRI KIBIASHARA ZAIDI,
Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Tanzania Bara Ndg Abdulrahman Kinana ameishauri Kampuni ya huduma za meli nchini Marine Service Company Limited kujiendesha na kuanza kufikiri kibiashara ikiwemo kuomba dhamana za...
Nimeanzisha huu uzi kwa malengo ya kupeana akili ya namna ya kujipanga,au kujiandaa kustaafu ili uzeeni asiteseke kwa dharau na fedheha za watukila mmoja atoe wazo lake
Mf;Mimi nimenunua shamba kimanzichana heka 10 nimezungushs michongoma ,ndani nimepanda miti ya miembe, michungwa, michenza...
Kama wewe ni kijana ambae umekuwa always interested na kujiingizia pesa online ila kwa bahati mbaya hujawahi taka jaribu maana umekua ukioanisha 'kuingiza pesa mtandaoni' na hizo HYIP Investments, MLM's na hizo App zinapromiss kulipa ukifanya tu task twa ajabu ajabu kwenye simu...
Basi nadhani...
Habari za jioni wakuu...
Ninaomba msaada kuhusu namna ya kufungua blog kwa ajili ya kuingiza kipato. Vitu gani muhimu nahitaji kuwa navyo na aina gani ya content ni nzuri?
Ahsanteni!
Wadau habari zenu? Poleni na majukumu ya siku. Zipo habari kwamba, tenda ya kuingiza mafuta nchini ambayo wamepewa baadhi ya wafanyabiashara wachache nchini ambao wana uswahiba na kigogo wa wizara hiyo.
Kwa mujibu wa mtoa habari mmoja wa ndani ya wizara hiyo, kigogo huyo amewapa tenda...
Naam hili halina ubishi.
Morogoro kumekuwa na migogoro mingi sana ya ARDHI ambapo chanzo ni matapeli kuuza maeneo ya watu.
Matapeli wa Morogoro wanatamba Wanavyotaka na wanatapeli pesa nyingi sana kupitia kuuza maeneo ya watu, wamekuwa na kiburi Kwa vile mgao wanapeleka Kwa wakubwa wa polisi...
Ndani ya kipindi cha miaka kumi (10), usafiri wa kutumia pikipiki ulionekana kama mkombozi wa maisha ya vijana katika kuisaka ridhiki. Lakini kadri siku zinavyozidi kusogea mbele usafiri huu umegeuka kuwa tishio kwa usalama wa vijana kiafya, kimaadili na kiuchumi pia.
Baada ya kuporomoka kwa...
Idadi ya watalii waliotembelea Tanzania miezi mitano iliyopita imeongezeka hadi kufikia 458,048 huku nchi ya Kenya ikiwa ni miongoni mwa nchi zilizoingiza watalii wengi.
Ofisi ya Taifa ya Takwimu (NBS) katika taarifa yake iliyotolewa hivi karibuni kuhusu watalii walioingia Tanzania kati ya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.