kuingiza

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Richard

    Yanayoendelea sasa CHADEMA ni mpango toka nje kuingiza nchi matatizoni. Serikali ina kazi ngumu huko mbele

    Chadema ni chama cha siasa chenye wanasiasa ambao si makini. Ni chama kilichokusanya watu wanojiita wanasiasa lakini hawana mbinu za kuishi kwenye siasa. Miaka mitano ilopita Chadema walipata shida na hawakuweza kujinafasi na serikali ambayo iliongozwa na raisi ambae hakuwa tayari kuvumilia...
  2. D

    Kabla ya kupunguza gharama za kuingiza umeme kuwa 27000, wangefanya huduma hiyo kuwa ya haraka kwa bei ya zamani

    Natamani inchi yangu ijifunze kuangalia kipaumbele cha kero! Ni kweli kabisa gharama za kuingiza umeme hazitakiwi kuwa kubwa namna ile kutokana na mazingira kwamba Luku na miundo mbinu si Mali ya mteja Bali ni Mali ya mtoa huduma! Lakini kutokana na mipangilio mibovu, pamoja na kuwepo ile...
  3. N

    Wazee wa yanga wakataa kuingiza team uwanjani tarehe 3 july vs simba

    Wazee wa klabu namba 74 kwa ubora barani africa yanga sc wamekataa kuingiza team tarehe 3 july.Team hiyo ya mitaa ya twiga na jangwani ambayo kwa mujibu wa shirikisho la soka afrika ni ya tatu kwa ubora nchini nyuma ya simba na namungo kikawaida huwa ina utaratibu wa jadi na wa kihistoria wa...
  4. Sky Eclat

    Utandawazi umesaidia sana kuingiza kipato katika jamii, smartphone ni mtaji wa maisha

    Huku kwetu Buzza mpaka Kwamtogole ukiwa na smartphone unajiunga na Instagram unatangaza uwezo wako wa kitu chochote unachoweza kufanya. Shughuli isiyohitaji mtaji mkubwa ni kufanya kazi za ndani. Kufua, kupiga pasi, kusafisha vyombo, usafi wa nyumba, kupika nk. Si watu wengi wanahitaji...
  5. J

    Waziri Ummy: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuingiza Siasa kwenye taaluma ya Uuguzi

    Waziri wa Tamisemi Ummy Mwalimu amesema ni marufuku kwa wanasiasa kuingilia taaluma ya Uuguzi. Waziri Ummy amesema tabia ya Wakuu wa Mikoa au Wilaya kuwakamata Wauguzi na Madaktari na kuwaweka ndani haikubaliki kabisa na atakayethubutu kuwachezea watumishi wa afya yeye kama Boss wao...
  6. S

    Taratibu za kuingiza Mchele nchini Kenya

    Habarini Wadau Naomba msaada kufahamu taratibu kwa yoyote aliyewahi kufanya biashara ya kusafirisha Mchele kwenda Kenya. Wasalaam
  7. pinno

    Nifanye nini ili niweze kuingiza laki mbili kwa wiki nje ya mshahara?

    Wakuu! Wasalaam! Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema, Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki...
Back
Top Bottom