Wakuu!
Wasalaam!
Najua kuna magreat thinker hapa, wanao uwezo wa kunishauri vyema,
Ni hivi kutokana na sababu ambazo siwezi kuzielezea hapa kiundani, nimejikuta kwamba kama nisipokuwa na uwezo wa kuzalisha angalau 175,000 au approximately laki mbili kwa wiki, yaani wastani wa shillingi laki...