kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. M

    Msumbiji kujenga Bwawa la kuzalisha umeme. Litakamilika kabla ya JNHP

    MAPUTO, Msumbiji: MSUMBIJI imesaini mkataba na muungano unaoongozwa na kampuni kubwa ya umeme ya Ufaransa EDF kujenga mradi mpya wa kuzalisha umeme wa Mphanda Nkuwa wenye thamani ya Dola bilioni 5. Bwawa na kiwanda cha kuzalisha umeme wa maji kitajengwa kando ya mto Zambezi katika jimbo la Tete...
  2. M

    CCM wapo tayari kujenga ofisi za kisasa kuliko kujenga shule za kisasa

  3. R

    Waliomkimbia Magufuli na kujenga wazo la kurudi baada ya Samia kuwa madarakani, wamefuta wazo la kurudi sababu as time goes on tyranny rule dominates

    Wengi hasa waliokimbia ukatili wa Magufuli, na watanzania kwa ujumla walijenga matumaini ya utawala bora mara baada ya Samia kuingia madarakani. Sasa matumaini yamepotea kutokana na undemocratic, tyranny rule now becoming quite prevalent! Watu wamepoteza matumain hasa baada ya Samia kukataa...
  4. Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika

    Hapa katika uzi huu nakupa Orodha ya Ramani za Nyumba na Makisio Yake Unazoweza Jenga Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, DRC na Nchi Mbalimbali Afrika. Zipo nyumba nyingi, so angalia ktk comment kuona zaidi
  5. Fundi kaniambia gharama zake za kujenga msingi 750,000 ni fair au ananipiga?

    Ni kwa ramani ya vyumba viwili sebule jiko na wash room. Upana na urefu wa nyumba ni kama mita nane kwa saba na nusu. Ila pesa ya fundi kaniambia ni 750,000. Sasa kabla sijazama, embu naombeni ushauri maa a mimi ndo mara yangu ya kwanza kujenga. Hii ni fair ama napigwa? Msingi wenyewe...
  6. Nabii Clear Malisa ana mpango wa kuinunua Ubungo Kibangu yote, kuivunja na kujenga mji wake wa kisasa.

    Nabii kijana Clear Malisa amedhamiria kuinunua Ubungo Kibangu yote akianzia Riverside hadi kwenye mpaka wa kambi ya Jeshi la Wananchi. Tayari ameahidiwa fungu kubwa la pesa na Baba wake wa Kiroho aliyeko Marekani. Pia michango inawndelea kuchangwa na kupokelewa hapo kanisani kwake Kingdom...
  7. N

    Wanaopewa fidia ili wahame bonde la Msimbazi, itawatosha kununua kiwanja na kujenga?

    Wanaopewa fidia ya milioni 6 ili wahame bonde la Msimbazi- Dar itawatosha kununua kiwanja na kujenga? Maana milioni 6 naona Kama ni ndogo, kwanini wasingepewa nyumba (apartment za pale Magomeni)? NOTE: FIDIA NI HURUMA YA RAIS TU Kinadharia hata wasingepewa kwa mujibu ya watoa hela. Vipi...
  8. Bilioni 14.5 Kujenga Kituo cha Mabasi, Barabara Mtwara

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais Tamisemi, Deogratius Ndejembi amesema Serikali kupitia mradi wa kubadilisha miundombinu na ushindani wa miji nchini (TACTIC) imetenga Sh14.5 bilioni kwa ajili ya ujenzi wa kituo kipya cha mabasi pamoja na barabara mbili zenye urefu wa kilometa sita katika Mkoa wa...
  9. A

    Mpango wa kujenga canal kupitia Israel kuunganisha Nagari ya Hindi na Mediterranean

    https://indianexpress.com/article/explained/explained-global/ben-gurion-canal-suez-israel-9021520/
  10. Tukumbuke pia Simba waliwahi kuchangishwa fedha za kujenga uwanja.

    Labda nianze kwa kuuliza waliofika Bunju siku za karibuni vipi ule uwanja wa Simba umefika hatua gani ? nimependa kuuliza kwani ni uwanja ambao mashabiki walichangishwa fedha zao hivyo wana haki ya kufahamu kinachoendelea. Kwa mtu anayefikiri vizuri hapa tiyari utajua kosa la Simba lipo wapi...
  11. Marekani na Israel wana mpango wa kujenga Ben Gurion canal eneo la Gaza kuipiku Suez Canal

    Mpango wa kujengwa kwa Ben Gurion canal eneo ilipo Gaza ni mpango wa muda mrefu ulioshindwa kuanza mpaka sasa. Kufanikiwa kwa mpango huo kutaipa Israel na Marekani udhibiti wa njia muhimu ya meli za kibiashara.Mbali ya kuwa mtaji mkubwa wa kiuchumi itakuwa ni kujihakikishia usalama wao kutokana...
  12. Ngara: Bilioni 41 Kujenga Mradi Mkubwa wa Maji Utakaohudumia Wakazi Zaidi ya 170,678.

    "Wizara ya Maji inatarajia kutekeleza mradi mkubwa wa Maji Ngara Mjini kwa gharama ya Shilingi Bilioni 41. Usanifu wa mradi umekamilika na unatarajia kuhudumia wananchi 170,678 waishio katika Kata ya Ngara Mjini, Kanazi, Kidimba, Nyamiaga na Murukurazo" - Mhe. Maryprisca Mahundi, Naibu Waziri...
  13. Wazungu wanaziponda sana hizi nyumba. Kumbe ndiko tulikojifunza kujenga "mapiramidi!"

    Kuna hizi nyumba wazungu/Wamarekani wanazichamba balaa. Utacheka wakianza kuzichamba. Wanaziita Mcmansions(Poor man mansions). Ni zile nyumba kubwa, zina manjonjo mengi na zaidi paa linachukuwa sehemu kubwa ya nyumba. Nimegundua hizi nyumba zetu za kisasa ni viMcmasnions vidogo. Ujenzi wetu...
  14. Dotto Biteko: Tumsaidie Rais Samia kujenga Nchi

    Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dk. Doto Biteko amewashukuru marafiki na wanafunzi aliosoma nao katika Chuo Kikuu cha Mtakatifu Augustine Mwanza (SAUT) na kuwataka kufanya kazi kwa bidii ili kumsaidia Rais Samia Suluhu Hassan kutimiza azma ya kujenga uchumi wa nchi na Watanzania. Ujumbe...
  15. TANESCO Kujenga Kituo cha Umeme Ushetu - Kutumia Shilingi Bilioni 12

    Shirika la umeme Tanzania (TANESCO) lina mpango wa kujenga kituo kidogo cha umeme (Switching Station) kwenye Wilaya ya Ushetu eneo la Nyamirangano ili kuboresha hali ya upatikanaji wa umeme wilayani humo. Hayo yamesemwa na Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Judith Kapinga kwa niaba ya Naibu Waziri...
  16. Serikali Kujenga Kituo cha Forodha Kakozi, Momba

    SERIKALI KUJENGA KITUO CHA FORODHA KAKOZI, MOMBA "Je, kuna mpango gani wa kuweka kituo cha forodha Kakozi, Momba ili kuunga mkono jitihada za kujenga Soko la Mazao la Kimataifa?" - Mhe. Condester Michael Sichalwe, Mbunge wa Jimbo la Momba "Serikali kupitia Mamlaka ya Mapato Tanzania ina...
  17. Naibu Waziri Mwanaidi: Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia

    Naibu Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wanawake na Makundi Maalum Mhe. Mwanaidi Ali Khamis amesema Serikali inaendelea kuwekeza na kutekeleza jitihada mbalimbali zinazolenga kujenga jamii yenye usawa wa kijinsia. Mhe. Mwanaidi ameyasema hayo Oktoba 29, 2023 wakati wa maadhimisho ya...
  18. Serikali Kutumia Bilioni 30 Kujenga Taasisi ya Moyo Mloganzila

    Ujenzi wa Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI) katika hospitali ya Mloganzila unaotarajiwa kuanza mwishoni mwa mwaka 2023 ambapo utagharimu Sh30 bilioni, mpaka kukamilika kwake. Kimsingi jengo hilo jipya, litafanana nan a jengo la sasa ambalo lipo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili (MNH)...
  19. DP World imebuma, EU kujenga Transafrika Corridor kuunganisha Kongo na Zambia with Lobito Angola Harbor!

    Hii ndiyo sababu ya ziara ya Zambia? Habari ndiyo hiyo EU kupitia Global Gateway inajenga infrastructure ya kufa mtu kuunganisha nchi za Dr.Kongo na Zambia na Bandari ya Lobito Angola, and guess what Angola hajakodisha Bandari zake hivyo ni profit kwa kwenda mbele, dpworld yenu atasafrisha nini...
  20. Masikini kuwaza kujenga nyumba ya kuishi ni umasikini pia

    Mtu unajibana wee Ili ujenge nyumba ya kuishi, ukimaliza unaanza kuishi kwenye hiyo nyumba kwa tabu nyingi. Ingekuwa na maana kama kungekuwa na maisha bila kifo, umasikini uliouchochea kwa kujenga ungepambana nao kwa kuwa muda upo tu. Kama we masikini pambana uweze kipato cha uhakika ambacho...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…