kujenga

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. kavulata

    Namna ya kujenga uzalendo kwenye taifa

    Uzalendo hauhubiriwi bali unajengeka wenyewe kwenye mioyo ya watu. How? Elimu yetu. 1. Shule za msingi: darasa la kwanza, pili na tatu wanafunzi wajifunze TU kusoma, kuhesabu, kuandika na kuimba nyimbo mbalimbali kuhusu nchi yao ukiwemo wimbo wa taifa. Wajifunze kuichora ramani ya Nchi yao...
  2. BAKIIF Islamic

    Waisilamu changamkieni fursa kipindi hiki cha uhaba wa maji

    Thawabu Za Kutoa Maji Katika Uislamu: Sababu Saba Za Kujenga Kisima cha BURE Maji ni neema kutoka kwa Mwenyezi Mungu (swt) ambayo mara nyingi tunaichukulia kawaida, lakini wakati wa ukame, kupitia rehema za Mwenyezi Mungu, tunazidi kufahamu shida zinazowakabili wale wasio na maji salama...
  3. peno hasegawa

    Baada ya miaka 60 ya uhuru tunakopa IMF kujenga Madarasa?

    Ni mshangao mkubwa TZ baada ya miaka 60 tunakopa tena kwa riba fedha za kujenga madarasa ya shule Za sekondari.? Kama Taifa tujiulize tumekosea wapi au tumelogwa na nani? Nilitarajia mikopo iombwe kwa ajili ya miradi mikubwa mfano SGR . Next year kuna uwezekano kuomba tena mkopo kutoka WB...
  4. Red Giant

    Sheria zinasemaje kujenga maghorofa marefu maeneo ya makazi?

    Salama. Kuna maeneo ya makazi ni mazuri sana kuishi hivyo kila mtu anatamani kuishi huko. Maenwo kama Masaki au Oysterbay. Hili limepelekea watu kujenga maghorofa marefu sana na kuuza au kupangisha apartment. Majengo haya hubadili kabisa mazingira . Yanazuia upepo na jua pia. Na zaidi ni...
  5. K

    Rais Samia: Tunaandaa mradi wa kuomba hela za kujenga stendi. Hayati Magufuli asingethubutu kusema kitu cha kujitweza utu wetu namna hiyo... never!

    Akiwa anajibu kero za wananchi kuhusu stendi ya Arusha, Rais Samia Hassan leo amesema "Kuna mradi tunaundaa wa kuomba hela hizi za stendi, tukipewa tuna nia maeneo mengi yawe na stendi za kisasa" ____________________________________________ Magufuli anabiringika kaburini. Tulikuwa tunaambiwa...
  6. K

    Gharama ya kujenga darasa kutokana na fedha za COVID-19

    TAMISEMI imetoa maelekezo kuwa gharama ya kujenga darasa moja kwa fedha za msaada wa Covid-19 ni Tshs.20,000,000. Kama majengo haya yatajengwa na Wakandarasi waliosajiliwa naona haya hayakutiliwa maanani:- (1) Mkandarasi aliyesajiliwa anapolipwa lazima akatwe withholding tax ambayo ni 10% ya...
  7. Jerlamarel

    Zimbabwe Kujenga Interchange Road ya Kwanza Jijini Harare

    Serikali ya Zimbabwe imepata dola milioni 85 kujenga barabara yake ya kwanza ya ubadilishanaji (Interchange Road), Mbudzi Interchange Road jijini Harare. Serikali ilitangaza mipango na usanifu uko katika hatua za mwisho na ujenzi utaanza ndani ya muda mfupi. Viongozi wetu kaeni mkao mzuri...
  8. Sky Eclat

    Paa hili licha ya kuhitaji mabati machache pia ni rahisi kujenga muundo wa kuvuna maji ya mvua

    Uvunaji wa maji ya mvua husaidia sana kuondoa shida ya maji. Kwa paa kama hili ni rahisi kukusanya maji na kuyahifadhi katika kisima ulicho kiandaa. Wakati wa ujenzi unapanga sehemu ya vyoo na mabafu yawe upande mmoja na septic tanks ziwe upande huo. Upande wa pili unandaa kusima cha maji...
  9. T

    Hii ahadi ya Rais Samia kujenga msikiti Chato imekaaje?

    Nimemsikia mheshimiwa Rais jana akisema ahadi zote alizowaahidi Wana Chato wakati wa kampeni atazitekeleza ikiwemo ya kuwajengea msikiti. Hii ahadi ya ujenzi wa msikiti ni ahadi binafsi ya Rais au ni sehemu ya utekelezaji wa ilani ya chama!? Na kama ni utekelezaji wa ilani ya chama inamaana...
Back
Top Bottom