Kuna mengi naweza kuyasahau kati ya yale niliyopata kuyasikia na kuyafanya katika utoto wangu, hasa katika kipindi nilipokuwa shule za awali, msingi na sekondari. Hata baadhi ya majina na sura za wale ambao nilitumia muda mwingi nikiwa nao katika kipindi hiki nimevisahau kabisa, na mara kadhaa...