Uzalendo hauhubiriwi bali unajengeka wenyewe kwenye mioyo ya watu. How?
Elimu yetu.
1. Shule za msingi: darasa la kwanza, pili na tatu wanafunzi wajifunze TU kusoma, kuhesabu, kuandika na kuimba nyimbo mbalimbali kuhusu nchi yao ukiwemo wimbo wa taifa. Wajifunze kuichora ramani ya Nchi yao...