Yapo mengi ya kujifunza kwa nguli mpigania haki huyu:
1. Kutambua siasa ni sayansi yenye kubadilika kulingana na mazingira.
2. Hakuna rafiki wala adui wa kudumu bali agenda.
3. Maandamano yasiyo na ukomo ndiyo njia pekee ya kupata tunachohitaji na kwa wakati.
4. Hakuna nguvu iliyo kuu...
VIONGOZI WA UPINZANI WAKAMATWA, RAIA APIGWA RISASI
Seneta wa Kilifi, Stewart Madzayo pamoja na Wabunge Amina Mnyazi na Ken Chonga, wanaripotiwa kushikiliwa na Polisi kwa kushiriki maandamano ya kuipinga Serikali katika Mji Mkuu, Nairobi
Hadi hivi sasa Raia kadhaa wanaripotiwa kushikiliwa huku...
Niliwahi kuweka Uzi huku nikiuliza huyu mtumishi ni mtu wa aina gani, na kwa kuwa mimi napenda kufuatilia mafundisho mbalimbali yenye tija nimegundua
1. Kuhani Musa Richard Mwacha ni mtumishi wa Mungu na Mwalimu mzuri sana katika nyakati hizi kwa jamii yetu, ana mvuto au haiba ambayo inaweza...
Kuna wakati mmoja katika kijiji kimoja, kulikuwa na bwana mmoja tajiri sana. Aliishi katika nyumba kubwa, alikuwa na magari mengi na alikuwa na kila kitu alichotaka. Lakini, hakuwa na furaha. Alikuwa na watoto wawili na mke, lakini hakuwa na muda wa kuwasiliana nao na kushirikiana nao kwa sababu...
Ona mambo haya ni uchawi mtu tafadhari usijaribu utaenda kuangamia, mimi nakufunulia ila usiyafanye. Vipi unaweza ficha kivuli chako na mshirikina asikione kwa namna yeyote?
kwa sababu wachawi wanapotaka kumloga mtu, huchukua na hushambulia kivuli chake. ( Hapa sizungumzii kivuli cha juani...
Tumeona jinsi ambavyo DRC anahangaika na waasi kwenye eneo lake la mashariki.
Je, sisi kama taifa tuna mikakati Gani ya kulinda maeneo yetu ya magharibi Kwa matukio kama haya? Au tunajiaminisha kuwa tupo salama muda wote?
Habari za saa wanachama wote.
Siku ya leo ningependa kufahamishana nanyi moja ya jambo ambalo serikali ya China katika miaka ya 1970s ilifanya ili taifa lao liweze kupata maendeleo ya kasi.
Katika miaka ya 1970s baada ya serikali ya China kuweza kurejesha ushirikiano mkubwa na mataifa ya...
Lugha ni moja ya vyanzo vikuu vya mawasiliano kati ya watu wa tamaduni tofauti, na ufahamu wa lugha unasaidia katika mawasiliano kati ya pande husika.
China ni nchi ambayo imejikita katika uwekezaji katika nchi za nje, na hivyo ufahamu wa lugha hiyo ni moja ya vyanzo vya ajira katika nchi...
Nimeguswa sana na Tangazo la Hamasa la Timu Raja Club Athletic kwenye CAF kuhusu ujio wao Tanzania kucheza ball.
Natamani Tanzania tujifunze na sisi kutengeneza matangazo kama haya, jamaa wanauonyesha Mlima Kilimanjaro, Hiking, Mbuga halafu wanamalizia COMING FOR THE SERENGETI.
Kwa kipindi cha miezi 12 iliyopita, nchi ya Senegal imeonyesha outstanding performance katika mchezo wa Soka Barani Afrika. Senegal ni:-
1. Mabingwa wa Kombe la Mataifa Afrika,
2. Mabingwa wa Kombe la Africa kwa wachezaji wa ndani,
3. Mabingwa wa Kombe la Soka la Beach kwa Afrika,
4. Sadio Mane...
Hi,leo tutajifunza kuhusiana kitabu cha RICH DAD, POOR DAD.
1. Wote tunahitaji elimu ya fedha.
Mwandishi anasema kuwa wanafunzi wengi wanamaliza shule bila ya ujuzi wa fedha. Wanajifunza kutengeneza fedha lakini hawana mawazo juu ya namna ya kutengeneza fedha kutoka katika fedha walizonazo.
2...
N:B.. fikiria kwanza kupata hela ya kujitunza kuweza kusurvive mtaani kabla ya kufikiria luxury needs, ni pesa inayoweza kukutoa hata hapo nyumbani kwenu kama unataka kuondoka
Huwa naona kuna vijana wanashauriana kupiga mishe sijui za mtandaoni na upatu, hizo mishe huwa hazina uhakika japo wapo...
Hivi kwanini bado Africa tupogizani kiasi hiki?
1: Mzungu katuletea dini
2: Mzungu katuletea mavazi
3: Mzungu katuletea utandawazi
4: Mzungu katuletea njia za mawasiliano
5: Mzungu katuletea taharuki mbalimbali na mafunzo juu ya mahusiano
6: Mzungu huyo bado anatumaliza kwa magonjwa ya...
Harakati za mapambano ya kujikomboa hazijawahi kuwa rahisi. Harakati hizi zinahitaji uongozi mahiri wenye kuweka maslahi ya taifa mbele dhidi ya maslahi yote binafsi.
Ujio wa Mh. Tundu Lissu Jan 25 unapaswa kuonekana nI mbaraka kamili kutokea kwa Mola na kwa hakika na aje na wenzake.
Mama...
Takwimu za Forbes zinaonyesha khali ya bwana Musk kuzidi kuwa tata ? Je, tuna yapi ya kujifunza regarding that this man is a legend who revolutionized rocket science?
Data za mwisho wa mwaka wa 2021 ziki onesha viwango vya kinishati ya umene Tanzania pamoja na mataifa mengine walicho zalisha kwa mwaka.
Data hizo zili tawaliwa kwa taifa la China kwa kuongoza katika uzalishaji mwingi wa nishati za umeme, liki fuatiwa na taifa la marekani baadae India na...
It is now official, kuanzia January 2023 wafanyakazi wataingia makazini kwao saa tatu asubuhi na kutoka saa 11 jioni, hili linafanyika Ili kuruhusu watoto kupata muda mzuri wa kulala pamoja na kuwapa Wazazi muda wa kuwaandaa watoto.
Muda huo wa saa tatu Hadi saa 11 jioni utahusisha mapumziko ya...
Tunatarajia kuwa na katiba mpya hivi karibuni!
Ngoja tusizungumzie hiyo ijayo tuzungumzie iliyopo!
Katiba iliyopo inaitambua nafasi ya Urais kuwa ni ya watanganyika na makamo wa Rais shariti atokee Zanzibar!
Kwa minajiri hiyo, huku bara, yaani Tanganyika, ndiko anakotokea Rais wa muungano wa...
Matokeo Mkutano Mkuu CCM. Watoto Pendwa pamoja na kugawa ATM za kutosha kila Mkoa. Hali zao ni mbaya ndani ya CCM. Msukuma ana nguvu kuliko Makamba. Innocent Bashungwa amewazunguka karibu mara mbili. Vita itahamishiwa kwa Inno. Bashe anaweza asiwe salama. Mmemuona Kasesela?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.