Ndugu zangu uchaguzi wa CCM kuanzia mashina mpaka Taifa Umekamilika kwa kishindo ,furaha ,amani, upendo, mshikamano,umoja na ushirikiano. Ni uchaguzi uliotikisa ndani na nje ya Tanzania,Ni uchaguzi uliokuwa umeisimamisha nchi kimijadala, Ni uchaguzi ambao uliteka vyombo vyote vya Habari,Ni...
Rais Samia leo ameongelea ushauri ambao anaweza kuwapa wanawake viongozi wa sasa. Rais Samia amesema wasijikite kwenye misingi ya uongozi ya chuoni pekee. Ni muhimu kutambua na kujua lengo na ni muhimu kuwa mnyenyekevu ikiwemo kuwasikiliza watu zaidi na kuzungumza kidogo.
Rais Samia kasema ni...
Watu wa Bukinabe walimuua Thomas Sankara wakarudi nyuma na leo ni masikini wa kutupa.
Thomas Sankara alitoa uhai wake kutetea masikini na raia wanyonge kama hayati JPM wa Rubambangwe Chato.
Vipi kuhusu Patrice Lumumba? Alisalitiwa na wenzake. Kama leo hii watanzania wanavyosalitiwa na wenzao...
Shule ya chekechea mjini Huzhou mkoani Zhejiang, mashariki mwa China Novemba mosi ilifanya shughuli ya “Darasa la mashambani”, ambako watoto walikwenda mashambani kujifunza ujuzi wa kilimo kupitia njia ya kuchora picha za mavuno, kutambua mimea ya mpunga na kutengeneza sanamu ya kuwinga ndege.
Ni kitu gani kitamsaidia mtoto kujifunza kingereza,je awe anaangalia tamthilia za kingereza zilizotafsiliwa,kusoma hadithi za kingereza au kuangalia katuni? Naomba pia kujua kama kuna kifaa ambacho kime include games tu maana hawa watoto wetu siku hizi wanapenda sana simu sasa simu sio nzuri...
Kwa mujibu wa Waziri wa Mambo ya Jumuiya ya Afrika Mashariki Rebecca Kadaga, Mawaziri watafundishwa Kiswahili kila Jumatatu kabla ya Kikao cha Baraza chini ya Rais Museveni.
Waziri Kadaga amesema hatua hiyo inalenga kuwawezesha Mawaziri kufanya mikutano ya ndani na ya Jumuiya kwa lugha ya...
Mzizi wa fitina pale law school ni ukiritimba unaozalisha miungu watu.
Lawyer seeks to break Kenya School of Law monopoly
Kenya walikwisha yaona hayo na hatua zinaendelea kuchukuliwa katika level mbalimbali.
Kwenye uwanja wa mapambano options zote ni muhimu kuwa mezani.
Ikumbukwe tofauti...
JE, ZAMBIA NI SHULE YA DEMOKRASIA?
Miaka ya 1990s kulifanyika uchaguzi wa kwanza wa vyama vingi nchini Zambia, Rais Kenneth Kaunda, baba wa taifa la Zambia alishindana na mwanasiasa kijana wa upinzani Frederick Chiluba akashindwa uchaguzi ule.
Mzee Kaunda(Mungu amrehemu) alipelekewa taarifa...
Nataka niwakumbushe wale ambao wamesoma programming vyuoni lakini bado kwao programming imekuwa kama somo la nadharia tu. Njia pekee ya kujiendeleza katika programming ni uthubutu wa kutengeneza project ndogo ndogo.
Wengi tunadownload games bure na tunaona kama wanaotengeneza vitu hivyo hawana...
Tafiti zinaonyesha magonjwa yasiyoambukiza kama sonona,kisukari,shinikizo la damu yanaua watu wengi sana duniani.
Rais mstaafu JK pamoja na Mzee Ruksa uwenda walikuwa na mapungufu mengi kwenye uongozi wao ila kama watanzania tua cha kujifunza kwao.
Nani asiyependa kuishi maisha marefu yenye...
1. Kwanza kuwa mpole, wala usipanic code zikizinguwa, hii ni kawaida.
2. Usiwaze kutengeneza app kubwa saaanaau yenye mambo mengi mapema.
3. Kutengeneza app ni kama ujenzi, usiwaze saaana kwamba utamaliza lini.
4. Usiwe msiri kuuliza unapokwama na wala usiwe msiri kusaidia wengine. Hata hivyo...
Boxer ni mchezo ambao unahitaji umpelekee mashambulizi mwenzako ili wewe ushinde. Lakini pamoja na mashambulizi hayo, yupo refa na Masecond ambao wote kazi yao ni kuwalinda mabondia ndani ya uwanja.
Lakini ni kazi ya bondia pia yeye mwenyewe kujilinda. Lakini la ziada kabisa ambalo mabondia...
Sura hii kama inavyojulikana inahusu vijana wa pangoni....lakini kuna matukio mengine ambayo ni mafunzo tosha katika Maisha yetu ya kila siku,na ndio maana imesisitizwa tuisome kila siku ya ijumaa.
Funzo la Kwanza - siku zote tusitetereke katika kumwabudu Mwenyezi Mungu ambaye ndie WA...
Ripoti ya Utafiti wa Mchango wa Elimu ya Uraia Shule za Sekondari na Ushiriki wa Vijana katika Michakato ya Kidemokrasia imezinduliwa rasmi Dar es Salaam, leo Alhamisi Septemba 22, 2022
Kamishna wa Elimu Tanzania Dkt. Lyabwene Mtahabwa akiwa na baadhi ya wanafunzi wa shule za sekondari...
Takwimu zinaonesha Wakala wa usajili, ufilisi na udhamini (RITA), kwa mwaka unapokea maombi ya talaka yasiyopungua 500+ Tanzania nzima.
Kilichonishangaza ni kwamba asilimia 78% ya Ndoa zinazovunjika ni wanawake ndio wanaoomba talaka na kupeleka maombi hayo.
Kilichonishangaza na Kunimaliza...
kwangu niliona shule siwezi tena maana uwezo wangu wa kujifunza ulikuwa mdogo, walimu darasani walikuwa wanafundisha kwa spidi kubwa kuzidi uwezo wangu, vitabu hakuna, sina hela za kwenda tuishen, n.k.
Form 4 matokeo yalitoka nina division 4 mbaya sana lakini waziri wa elimu wakati huo...
Kenya ni taifa katika mazingira halisi tuliyomo sisi. Hata hivyo taifa hili limepiga hatua kubwa sana kidemokrasia zenye kustahili kupigiwa mfano.
Hizi tantarira za eti kuwa IEBC ni sawa tu na NEC yetu, kwamba ya Kenya tuwaachie wakenya wenyewe, nk nk, zote ni kelele za vyura tu. Nia na...
Kama kuna fundi au mtu anayefahamu sehemu ninayoweza jifunza ufundi radio, TV, pasi (electronics), tofauti na VETA coz veta hawana evening class msaada please Kilimanjaro
❝ I want to tell the people of Kenya that you are finally free. You don’t have to talk with each other through Whatsapp for fear of being recorded and persecuted by state agencies❝ - Hon. Rigathi Gachagua, VP-Kenya
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.