Mwaka 2012, Makamu wa Rais wa Malawi, Joyce Hilda Banda alichukua nchi baada ya kifo cha Rais Bingu wa Mutharika. Waliomuwekea mizengwe kipindi anatakiwa akabidhiwe nchi, alikuja kuwashughulikia alipokuwa Rais. Akawa mwanamke wa kwanza kuongoza Taifa hilo.
Akaingia madarakani, akawa...
Hawa jamaa wanacheza kama wako kwao.
Jamaa wana timu nzuri na wachezaji hawakosei pass wala kushindwa kujiamini.
Unatazama soka mpaka unafurahia.
Tuna mengi sana kujifunza kwa nia nzuri tu!
Taasisi ya Bloomberg Media Initiative Africa (BMIA) imetangaza kuanza kwa awamu ya pili ya programu ya mafunzo ya uandishi wa habari za fedha (FJT) kwa waandishi wa Tanzania. Mafunzo hayo yamelenga kuwawezesha waandishi wa habari wa fedha na biashara kuandika habari za kina zinazohusu sekta...
Wakili wa upande wa utetezi Moses Mahuna akieleza kuhusu Sabaya na wenzake
kushinda rufaa yao na kuachiliwa huru katika Mahakama Kuu Kanda ya Arusha.
Sabaya na wenzake watatu wamebakiza ngwe moja ya hukumu ya kesi ya uhujumu uchumi baada ya Mahakama Kuu ya kumwachia huru muda huu. Warufani...
bidhaa
bidhaa muhimu
bila
hashtag
how
huru
kelele
kesi
kesi ya sabaya
kitu
kujifunza
kupanda
mafuta
mitandaoni
muhimu
propaganda
rufaa
sabaya
watanzania
Wasalaam wazee.
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano.
Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri.
Je, ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya...
Tuongelee filamu kidogo..
Inasadikika kuwa baadhi ya movies (Filamu) ukitazama zinaweza kukufundisha ujuzi au masuala ambayo hukuwahi kuyafahamu kwa urahisi kabisa.
Mfano movies zinazohusu masuala ya sheria/kesi zinapendwa na wengi sababu zinatoa elimu ya Sheria na mienendo ya haki huku...
Kipute cha robo fainali kati ya Simba na Orlando kimekwisha na Orlando amesonga mbele kwa kutupa faraja wana Yanga kuzima kelele, tambo na kejerli za Simba.
Tuongee ukweli tu ni kwamba mashabiki wa Simba hamna cha kuidai timu yenu kwa kutolewa robo fainali ni hatua nzuri timu imefika...
Habari wapendwa poleni na majukum. Naomba kujitolea kujifuza nipo tayari kuwekeza MDA AKILI NA NGUVU.
Mimi ni kijana wa kiume miaka 28 mkazi wa dar Elimu kidato cha nne.
Tadhali wapendwa naomba kujitolea kujifunza sichagui fani au kazi ya kujifunza ila naomba pale nitakapo jifunzia ndio nije...
Wakuu Nina miaka 30 now skuwahi kujifunza baiskel Kama vijana wengine kwa sababu za kiumaskin nk.
Naomba kuuliza je inawezekana kujifunza pikipiki bila kujua kuendesha baiskel?
Kuna aliewahi jifunza pikipiki ile Hali hajui kuendesha baiskel?
Huna haja ya kukejeli kuwa mpole
Nalisema hili kutoka na tabia ya baadhi ya CHADEMA kuwa ma mtazamo kama ifuatavyo:
I) Baadhi ya wanaCHADEMA wamekuwa waligombana sana na watu walio kinyume na sera zao! Mfano mtu akitoka wazo tofauti juu ya CHADEMA inachokiamini watu wa chama hiki hujitokeza kuta kejeli na matusi kama...
Salaam,
Mauritius ndo nchi ya kidemokrasia na mfano wa kuigwa katika bara la Afrika Kusini mwa Jangwa la Sahara.
Hadi kufikia 2020, demokrasia ya Mauritania ilipewa pointi 8.14, ikiorodheshwa kama nchi pekee barani Afrika yenye demokrasia kamili. Kulingana mchakato wa uchaguzi, kazi za...
Kubali ama ukatae kunajambo ulisha wahi kulipia ili mtu mwingine akusaidie ukaona kabisa hapo umepigwa na kitu kizito kichwani.😭
Namaanisha ungetuliza tu kichwa mwenyewe na ukajifunza tena kwa dakika tano tu, ungeweza kukifanya hicho ulicholipia elfu 30, mtu mwingine akusaidie tena chepesi tu...
Ukiangalia namna wanavyopangwa Watangazaji wa Azam TV utaona kuwa Baraka Mpenja ndiyo Mtangazaji namba 1 hivyo hupewa mechi nyingi kubwa au zile zenye mvuto. Utaratibu huu pia upo kwenye Channel kubwa za Kimataifa kama Sky Sports, BT Sports pamoja na ITV ( Uingereza) ndiyo maana Peter Drury...
Februari 21 ni Siku ya Kimataifa ya Lugha Mama ambayo ilianza kuadhimishwa 2000 ili kudumisha Utamaduni na Amani kupitia Lugha
UNESCO wamesema hadi sasa 40% ya watu duniani hawatumii Lugha wanazozielewa kwenye kupata elimu. Jamii hizo zimelazimika kufahamu Lugha zaidi ya moja
Kwa 2022 Siku ya...
Uzi huu upo kwa ajili ya madhumuni ya kujifunza, Lengo ni utambue hatua za ziada za kuzifuata ili uweze kulinda gari lako.
Zipo Tech nyingi ambazo zinatumika kwenye wizi wa magari, Hapa nazungumzia tech ambazo mtu anaweza kuwasha na kuondoka na gari lako kwa muda usiozidi dakika moja.
Tech...
Natafuta mtu wa kujifunza naye uchawi
Sifa
Awe mwanamke
Awe anajua kusoma na kuandika kiingereza(Tutatumia vitabu vya kizungu kujifunza)
Awe ndani ya Dar es Salaam
Awe na umri wa kufanya maamuzi binafsi preferably 25+
Akiwa na elimu kuanzia Bachelor itakuwa poa zaidi
Hit my inbox
Mimi ni mtu ambaye uwa nikiwa na muda napenda kujifunza vitu vipya. Vingine uwa najifunza just for fun na vingine uwa vinakuja nilipa na vingine vinanisaidia tu mwenyewe kwenye mambo yangu hasa kama namwelekeza mtu anitengenezee kitu.
Jana nimeamuza kuwa ntaaza jifunza kudesign prototypes za...
Habari nduguzanguni,
Kwa hekima nawaombeni mnisaidie kuhusu hili jambo kuwa mitandao na internet kuna fursa za kujipatia pesa na ukaishi kwa kupunguza stress za maisha kwa access ya internet!
Tangu nimesikia kuhusu hili na kukomaa kufatilia youtube chanel tofautitofauti na sehemu nyingine na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.