Wasalaam wazee.
Ni kwa muda mrefu sana nimekuwa nikipenda kujifunza sanaa za mapigano.
Sasa wadau naamini humu kuna wakongwe na wajuzi wa mambo haya mnaweza kunipa ushauri.
Je, ni sanaa ipi ya mapigano iko strong kwa maana ya self defence, sihitaji kuwa mkorofi ila mtu akijichanganya vibaya...