Hawa viumbe ni dili kali sana Ulaya, hivyo ukijiandaa vizuri kwenye kipande kidogo cha ardhi uwakuze, utapiga hela na kujiajiri na kuepuka hayo maisha ya milegezo kwenye pool table.
Dr Paul Kinoti in a snail farm.
TWITTER
Farmers who have ventured into snail farming have been minting good...
1. Ukisikia kuna AJALI KUBWA imetokea mahala popote Barani Afrika jueni ni jambo la Kawaida tu na Umakini uongezeke ili Kuepuka na zingine mbeleni.
2. Ukisia kuna MWANDAMIZI ( KIONGOZI ) yoyote au MTU MAARUFU yoyote yule ana ANAUGUA sana au hata AMEFARIKI ( hapa Barani Afrika ) wala usishtuke...
Gazeti la mwananchi limekuwa likileta mfululizo wa kesi ya Zombe iliyohitimishwa kwa SP Bageni kuhukumiwa kifo.
Yaani IGP, Waziri wa usalama wa raia wote hawakuona umuhimu wa kuchunguza hadi Rais alipounda Tume.
Hilo ni tukio moja tu kati ya matukio mengi ambayo hayajawahi kuundiwa TUME...
Wajumbe wa Baraza la wadhamini la Chama Cha Mapinduzi ,(CCM) limewataka viongozi wa vyama vya upinzani nchini kujiunga na Chuo cha uongozi na Itikadi cha Mwalimu Nyerere ,kilichopo Kwamfipa,Kibaha,mkoani Pwani, ili kujiongezea uwezo na kujifunza maadili na uzalendo wa nchi yao.
Walizungumza...
Nafahamu kwamba makamu mwenyekiti wa Chadema mh Tundu Lissu kwa sasa anaishi Ubelgiji.
Kupitia taarifa ya habari ya Al jazeera wameonekana wananchi wa Ubelgiji wazungu na wale wenye asili ya Afrika na Asia wakiandamana kupinga kufungiwa ndani.
Wanadai kwamba Lockdown ni mateso kupita Corona...
Habari wanajamvi, nimetokea kuwa na interest na maswala ya umeme hasa huu wa nyumbani, natamani nijue jinsi unavyofanya kazi na jinsi navyoweza kuunga nyaya(kufanya wiring) kuanzia jinsi umeme unavyoingia kwenye mita na unavyoendelea mbele.
Nataka niwe expert ili nami nianze kufanya wiring...
Habar wanaJF,
Aliyesema kuwa wanawake na mama zetu tusiwaamini hakukosea leo kwani huenda wazazi wetu wa kiume walio tulea sio baba zetu.
Leo Rikardo Momo amesema kuwa mzee Abdul sio baba yake Diamond na kusema kuwa yeye na Diamond wanachangia baba na baba yao anaitwa Mzee Salim Nyange.
Haya...
Habarini wadau!
Hakuna kitu nachokipenda dunia hii kama ukweli na haki, hata uwe unaniumiza kiasi gani lakini ukiwa ukweli tu basi roho yangu inabaki kuwa kwatu kabisa!
Kuanzia muda fulani jana jioni, masaa machache baada ya matokeo ya kidato cha nne kutoka, habari iliyoenea na kusambaa kwa...
Upepo unapeperusha mawingu kwa taratibu na huwezi kujua kama mawingu yanasafiri, kumbe ni dunia ndiyo inazinguka kwenye muhimili wake.
Kulingana na vyanzo mbalimbali vya taarifa vinasema Kyagulanyi alikubalika miongoni mwa wapiga kura vijana ambao ni 78% kulingana na watu wazima kwa asilimia...
hello bosses,
ukiachana na ma-beginner, ukiwa experienced developer unampango wa kujifunza nini kipya na kwa nini mwaka huu?? au unapango wa k-learease project gani (app/website).
Tofauti na mawazo ya wengi kuwa ukisoma hadi chuo kikuu lazima uajiriwe, Mwasu Mavere ameonyesha upande mwingine wa shilingi, kwamba unaweza kujiajiri na kufanikiwa zaidi. Licha ya kuwa na shahada ya uzamili kutoka Chuo Kikuu cha Dodoma (Udom), yeye ameamua kuwa dereva wa pikipiki ya miguu...
Habari wapendwa
Nami leo nimeona niandike machache kuhusu nilichojifunza kupitia sakata la Mr Kuku. Nimepata msukumo zaidi baada ya kuona lawama ni nyingi zaidi hasa kwa Serikali (DPP) na wengine kwenda mbali kwa kukilaumu Chama Cha Mapinduzi. Niseme tu kwamba serikali hii ya Mh Dr John...
Hii sasa ni kali.
Awali Naibu waziri wa fedha ilibidi arudie kula kiapo zaidi ya mara 5 kwa sababu sehemu iliyoandikwa "Baraza la Mawaziri" yeye alitamka " Baraza la Mapinduzi"
Kali ya mwaka ni huyu Naibu waziri wa madini Francis Ndulane ambaye amekuwa akisoma kiapo huku akitetemeka na hivyo...
Nimekuwa nikisika python ndio inayoongoza sasa kwa kutumiwa.
Wanaodai hivyo wanasema pia ndio programming language rahisi kuwahi kuwepo.
Kwa wadau wanaoijua na KUITUMIA naomba maoni..Frametime nimejipa miezi 3 nitumie video tutorial au nikomae na w3school au vitabu?
Wana bodi,
Kwanza kabisa nina furaha kubwa kuona jinsi ambavyo watanzania wame endelea kuheshimu maamuzi ya watanzania wenzao katika zoezi zima la uchaguzi. Utulivu huu na amani tuliyo nayo vime wezekana kwa wao kukataa ku shawishika kwa njia yoyote kufanya yasiyo sahihi.
Vile vile katika...
Mwanasiasa anaposhinda uchaguzi anatakiwa azungumze kwa namna itakayoteremsha joto la uchaguzi. Hii ni hotuba aliyoitoa Bill Clinton wa Marekani baada ya kushinda uchaguzi.
Nilitaka niweke hotuba ya Obama lakini nadhani ile ina vionjo vya kihistoria.
Aliyeshindwa uchaguzi naye anatakiwa...
Mabibi na mabwana, elimu haina mwisho. Je, tuna cha kujifunza kutoka kwao waliotutangualia? Au ni yale yale ya ukichwa ngumu kama mawe kuwa tunajua kila kitu?
Mema waliyonayo wamarekani leo hayakuja kama mvua. Yalipiganiwa na hata damu kumwagika. Sembuse kukaa mahabusu au hata kufungwa jela...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.