1. Konokono (snail) anao uwezo wakulala miaka mitatu
2. Polar bears wote duniani wanatumia mkono wa kushoto
3. Physical ni vigumu kwa nguruwe kuweza angalia angani
4. Hydra. Awa ndo viumbe pekee vya makini ambayo huwa avipotezi uhai. Uwa wana replace Seli zilizo kufa kwa kujitengenezea...
Watu pekee ambao huwa nasikiliza hotuba zao kwaajili ya kujifunza maneno ya hekima yenye kuleta furaha na amani.
Siku zote watu wanasema ukitaka kuwa na hekima jifunze kutoka kwa wenye hekima.
Wasikilize watu wenye hekima.
Hata ukipata nafasi basi ongea na kuzungumza na watu wenye hekima...
Habari
Natamani sana kujua kukiongea kiswahili sanifu chenye mtiririko wa maneno. Ombi langu nijue mengi hapa JF. Naomba tuanze na neno timbwili; maana yake nini? Linatumikaje kwenye sentensi?
Tujifunze lugha na tuienzi, Kiswahili kitukuzwe
Hii ndio habari inayosambaa kwa kasi Arusha kwa sasa, baadhi ya watu wanaotafuta huduma kwenye maofisi mbalimbali wamelalamika kukosa huduma baada ya maofisa kufika na kusaini kisha kutoroka ili kuwahi Mkutano Mkubwa sana wa Kampeni wa Rais Mtarajiwa Lissu.
Endelea kufuatilia hapa hapa JF kwa...
Wakuu salaam,
Baada tu ya wagombea ubunge na Udiwani wa CHADEMA kuchukua fomu maeneo mbalimbali Tanzania watu walitoa ushauri jinsi ya kuepuka makosa kama yale ya 2019.
Katika majimbo yote ya Uchaguzi ni majimbo machache saana ambayo niliona wagombea wa ngazi mbalimbali wakiongozwa na wagombea...
Salaam wanaJF.
Kwa watu wanaomfahamu Laurent Gbagbo, wengi bado tunakumbuka alivyoondolewa madarakani kwa aibu na nguvu baada ya wapinzani wake kupata support kubwa kutoka ufaransa na washirika wake. Kwa mda kidgo, nimekuwa nikitafakari kilichokuwa nyuma ya nguvu kubwa ile na kwa namna gani...
Kama unafuatilia vyombo vya habari nchi ya Mali moto umefuka. Wananchi waliingia mitaani mpaka raisi aliyetawala miaka 25 na ushee aondoke. Wanajeshi wakamteka Rais na waziri Mkuu, wakakamata nchi. Sema wanajeshi kiroho safi wataandaa uchaguzi wa huru wameahidi.
Belarus, wananchi wameingia...
Kwangu Mimi GENTAMYCINE hawa Wafuatao ndiyo nawaona 'Mawakili' mahiri kabisa wa Kujitegemea nchini Tanzania na hawashindwi ng'o Kesi yoyote ile...
1. Fatma Karume
2. Peter Kibatala
3. Tundu Lissu
4. Jebra Kambole
5. Bernard Morrison ( aliyekuwa Mchezaji wa Sokwe Mbwa Nyani FC na sasa kahamia...
Watu ambao wana comment negatively ni kwa sababu ya kutokua na uelewewa na concept mpya ya crowd farming.
Crowd farming ni kuanzisha kilimo aidha cha matunda au ufugaji wa kuku au ngombe nk. lakini kwa kushirikisha wadau wa kawaida kama Mimi na wewe ambao hatuna muda wa kusimamia ufugaji na pia...
Japo Rais Trump amesema mlipuko wa Beirut ni kitu maalum kilichopangwa lakini waLebanoni wenyewe wanaamini imetokana na shehena ifikayo tani za ujazo 2750 za Ammonia nitrate iliyotaifishwa tangu mwaka 2013 kwenye meli iliyotoka Urusi kuelekea Msumbiji.
Mtu mmoja wa Beirut mji ambao umezoea...
Nimejaribu kufuatilia habari mbalimbali zinazotoka katika vyombo mbali mbali vya habari (Media) hapa nchini hasa katika kipindi hiki cha Msiba wa Mkapa.
Jambo la kusikitisha ambalo mimi binafsi nimegundua ni kwamba bado wapo mbali saana (nyuma) katika weredi wa jinsi gani ya kuandaa taarifa...
Habari,
Naomba kupata Taarifa ya mshindi wa kura za Maoni Jimbo la Kawe ndugu Furaha Dominic ni nani haswa?
Imekuwaje akawashinda vigogo wengine kwenye kura za maoni ndani ya CCM katika Jimbo la Kawe?
Je, ni mpinzani sahihi kwa Halima Mdee kwenye uchaguzi wa Oktoba?
Charity Ngilu kipitia Twitter
Today, while moving through Nairobi, I met Ms. Pendo Masonga, a 20 year old Tanzanian National who has what appears to be a malignant a growth on her mouth. /1
On interacting with her further I learnt that she has been living with this condition for a long...
Baada ya kifo cha George Foyd nchini Marekani kumezua maandamo katika majimbo mbali nchini Marekani. Huku maelfu kwa maelfu wakiandamana kupinga vitendo hivyo nchini Marekani.
Mwitikio kufuatia tukio Hilo nchi mbali za ulaya zikiwa zimeguswa na hatimae kuanza maandamo na zenyewe.
Maandamo...
Grow with Google, Andela and Pluralsight have partnered to provide a new program to support software developers in Africa on Android, Google Cloud and Mobile Web skills development tracks. The aim of this program is to continuously engage with aspiring and existing developers to help them become...
Police wa Jimbo la Florida nchini US wameweka silaha zao chini na wakapiga magoti mbele ya waandamanaji kuwaomba msamaha, wamekubali kubeba lawama kwa kifo cha Floyd. Humanity restored.
Kifo cha kusikitisha! aliwekewa goti shingoni kwa takribani dakika 8 na sekunde kadhaa. Akakata roho huku akilalamika hawezi kupumua!
Je, wanaharakati wa Tanzania wa kutetea haki za binadamu na ambao siku zote hutumia Nchi ya Marekani kama kigezo cha haki za binadamu wana Cha kuieleza Dunia?
Juzi nimeletewa wimbo na mdogo wangu unaitwa Mi Amor wa huyu Whozu. Huwa nasikiliza Bongo Fleva lakini ni wasanii wachache sana huwa nawafurahia kwa uwezo wa kufanya ubunifu wa kujitenganisha na wasanii wengine. Mara nyingi wasanii wengi huwa wanaigana sana kuimba na mwisho kabisa huwa unakuta...
Wakati ugonjwa unaosababishwa na kirusi cha Corona ukiendelea kusambaa na kuua watu wengi duniani, nchini Ujerumani idadi ya watu walokufa ni ndogo kulinganisha na nchi zingine barani Ulaya na duniani kwa ujumla
Kwa mujibu wa taasisi ya Robert Koch hadi kufikia Ijumaa asubuhi watu 13,957...
Bwana Mdogo kamaliza Chuo, hataki kuajiriwa. Anataka kujiajiri mwenyewe na kazi ambayo ameichagua NI kuwa sonara
Anatafuta sehemu ambayo anaweza kujifunza usonara.
Kwa mwenye Abc kuhusu usonara plz afunguke hapa.
Sonara yupi anatoa mafunzo ya usonara.
Gharama zake zikoje na kupata basic...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.