Jeshi la polisi limesema baadhi ya wanachama wa Chadema wanashikiliwa kwa makosa ya jinai! Watanzania tujiulize hivi wizi, mauaji na ukabaji ni vitendo vinavyofanywa na wanachama wa Chadema tu? Ni wazi mtindo huu umeanzishwa na jeshi hilo kuwatisha wananchi wasijiunge na Chadema kwa kuhofia...
Faida za mipango mikakati, maagizo na maelekezo yanayoamuliwa na kutolewa kutoka vikao vya ngazi za juu vya CCM, hususani taifa, yanafika bara-bara na yanatekelezwa vizuri kikamilifu sana, na kwa ufanisi mkubwa mno kwenye matawi na mashina ya CCM huku mitaani na vijijini. hili liko wazi kabisa...
Mimi ni mwanachama wa NSSF ninayehitaji kujiunga na NSSF APP tatizo namba zangu wanasema hazihusiani na kadi je nifanyaje?
Kingine naweza fanya kazi nje ya nchi na kuweza kuendelea kuchangia?
Karibu katika safari ya kujifunza kutengeneza android app yaani App za simu za Android, Kujifunza Taaluma hii kuna umuhimu wa mtu kuwa na uelewa wa nini anaenda kufanya na kwa nini.
Elimu hii ni moja kati ya elimu ndani ya software development, kwa hiyo kwa kutekeleza mafunzo haya ya...
Tundu Lisu yupo kimya sana baada ya kufanya mikutano Mkoa wa Singida. Alipata uungwaji mkono mkubwa sana jambo linaloweza kuwa limepelekea mahasimu wake wampangie bei.
Since then, ametulia na amepunguza makeke hata kwenye social midia. Ndugu yetu huyu aliyekunywa maji ya bendera na mzalendo wa...
Kwema Wakuu!
Lisu anasubiri nini? Kwa huanzishi chama watu tujiunge.
Bila shaka itakuwa CCM Z kama Gen Z kwa maana kwa jinsi niwaonavyo watanzania karibia wote DNA zao ni CCM ila tunataka tuwafanyie Blood Transfusion ya mabadiliko yenye tija.
Kwa kweli sijui kama Blood Transfusion itaweza...
Wanakumbi.
MPYA:
🇮🇷🇮🇱 Iran katika Umoja wa Mataifa:
"Iwapo Israel itaivamia Lebanon, mashirika yote ya Kiislamu ya Mashariki ya Kati yatakwenda Lebanon na kujiunga na Hezbollah"
Iran imesema katika Umoja wa Mataifa kwamba iwapo Israel itaanzisha vita vikali dhidi ya Hizbullah nchini Lebanon...
Jamani ukisoma CBG na ukamaliza form six ukataka kujiunga na mafunzo ya jeshi unaweza kukubaliwa au Kuna vigezo muhimu af mafunzo ya jeshi yanachukua muda Gani kuhitimu? Na je ili kujiunga mpk uwe na ufaulu upi form six?
Hatuna la kusema ila ujumbe mfupi tu
Inasemwa kocha wa stars anamapenzi binafsi na wachezaji fulani fulani
Na anachuki na wachezaji fulani
Duniani kote kuitwa timu ya Taifa ni fahari inakuongezea kwenye safari yako ya mpira
Ila huyu kocha anabagua wachezaji
Tunaomba chama cha Fat...
UTANGULIZI
Vigezo vya watahiniwa wa kidato cha nne kuchaguliwa kujiunga kidato cha tano ama vyuo shirikishi ni ufaulu wa kuanzia daraja I hadi III hivyo ni wazi kuwa idadi kubwa ya watahiniwa waliofanya mtihani wanakosa vigezo vya kujiunga na elimu ya kidato cha tano pamoja na vyuo shirikishi...
Ziara ya Rais wa Kenya William Ruto nchini Marekani imeibua jambo. Ruto kapokelewa na mwenyeji Rais Joe Biden na kuzungumzia Mengi.
Biden kamuomba Ruto waanzishe ushirikiano kabambe ikiwa ni pamoja na kujiunga na NATO. Pia kuna tetesi kuwa Rais wa Rwanda atafuata mkumbo huo mwezi July mwaka...
Mshikeshike, mtifuano unaendelea kuhusu kubadili sifa za kujiunga na astashahada kutoka D mbili za Chemistry na Biology kwenda C mbili au zaidi za Chemistry na Biology!
Kiukweli, sifa zinazopendekezwa na serikali zitaathiri vyuo vya afya vinavyotoa hii kozi! C mbili za Chemistry na Biology ni...
Coding Bootcamp hii ambayo ilikuwa maarufu kwa kuwa bure kabisa naona wameweka admin fee ya $150 - $300 kujiunga na kozi, inaelekea walianza mwaka jana.
https://www.alxafrica.com/payment-cancellation-policies/
Tuliwahi kujadili alx hapa...
Matangazo ya makampuni ya kubeti, matangazo ya kujiuza (kudanga) na yale ya kujiunga na uFreemason ni mengi san
Hii ni ishara mbaya sana inayoonesha kuwa umaskini umeongezeka kwa kiwango kikubwa sana na hivyo kupelekea kuongezeka kwa wahitaji (wateja) wa Freemason, kubeti na kudanga.
Kama...
Jamani naomba kuuliza! wanafunzi waliomaliza kidato cha nne 2023, lini majina ya kujiunga kidato cha tano yatatoka? Necta au wawakilishi wao watuambie lini?
Mchezaji wa Yanga kutoka South Afrika, akihojiwa na waandishi kuhusu Aziz Ki amesema mchezaji huyo alimwambia alikataa ofa ya kujiunga na timu za South Africa sababu kuwa ameona ligi hiyo imeshuka ubora, japo hakuelezea kwa kirefu
Looks like Stephane Aziz Ki could reject PSL clubs amid reported...
Uturuki kwa muda mrefu tena muda uliokuwa mgumu zaidi kwa wapalestina ilitumia mdomo pekee kuilaani Israel bila kutoa msaada ambao ina uwezo nao.
Miezi sita kuelekea saba ndio sasa imeamua kuibana Israel kiuchumi kwa kuzuia bidhaa zake 54 zisisafirishwe kwenda nchini huko.Miongoni mwa bidhaa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.