KICHUYA NA WENGINE SITA KUKOSEKANA JKT.
Klabu ya JKT Tanzania huenda ikawakosa nyota Zaidi ya Sita akiwemo Shiza Kichuya ambao wapo kwenye hatua za mwisho kwenda kwenye mafunzo ya kijeshi kwa muda wa Miezi mitatu.
Kocha Mkuu wa timu hiyo Malale Hamsin amethibitisha taarifa hizo nakubainisha...