Sheria ya Ndoa ya Mwaka 1971 imeruhusu mke akope fedha anunue mahitaji ya familia kama mumewe hatoi fedha za matumizi.
Kifungu cha 64 (1) cha sheria hiyo kinasema mke ana haki ya kukopa fedha kwa ajili ya matumizi ya kuhudumia familia kwa jina la mumewe na mume ana wajibu wa kulipa deni hilo...
Kwa mara ya kwanza nchini Tanzania, wanawake sasa wanamiliki akaunti nyingi zaidi za mikopo ya kidijitali kuliko wanaume, hatua inayowaweka kileleni kama wakopaji wakuu katika sekta ya fintech inayokua kwa kasi.
Kwa mujibu wa takwimu mpya kutoka Benki Kuu ya Tanzania (BoT) na Mamlaka za Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.