Habari wapendwa, kuna kiusafiri aina ya toyota VITS new model chenye ingine ya piston 3 , kinashida ifuatayo:-
👉 Ukipanda mlima kinapoteza nguvu na kuwa kama kina kwikwi, kama kina taka kuzima
👉 ukisimama kwenye mataa yaani kipo kwenye D (drive) na mguu kwenye brake kina kuwa kama kinataka...