kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. K

    Kilimo cha Parachichi kinahitaji kufuga Mbwa wengi kuepuka maparachichi kukosa walaji

    Nimepanda parachichi miaka kadhaa iliyopita huko kwetu Kusini, soko ikaporomoka parachichi zikaoza nikakosa pa kuzipeleka nikatamani nifuge Mbwa wanisaidie kula yanapoanguka lakini too late Najuta kuacha kulima miti ya mbao nikadamganyika na faida ya parachichi bila kujiuliza Kuna viwanda...
  2. eliakeem

    Marekani yakosa Wagombea Urais: Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem

    DT anaweza kuwa rais kwa mara nyingine tena Michelle Obama Is the Last Place We Should Look For Help With Our Donald Trump Problem Kristyn Burtt December 30, 2021·2 min read Well, it looks like Joe Rogan has created a political firestorm by predicting that former First Lady Michelle Obama...
  3. Kamanda Asiyechoka

    Chama chetu kinaonekana hakipo makini, CHADEMA tuna matatizo gani kukosa mikakati mizuri ya kisiasa kama ACT-Wazalendo?

    ACT ndicho chama chenye viongozi wenye akili na uwezo wa kuchanganua mambo kama wanasiasa na wasomi. Mambo haya ndiyo yalifanya manguli kama Maalim Seif (RIP) wakajiunga huko maana walikielewa sana. MASHINJI utavikwa taji na Mungu kwa kuwaambia akina Seif wasije SACCOS watajuta...
  4. sajo

    Uspika wa Bunge 2022: Sababu za Kisheria na Kikatiba Dkt. Tulia kukosa sifa za kugombea

    Mjadala umeibuka nchini baada ya Naibu Spika, Dk. Tulia Ackson kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya Spika wa Bunge la JMT iliyoachwa wazi baada ya Ndugai kujiuzulu. Hoja bishaniwa imekuwa ni iwapo Dk. Tulia ana sifa au la za kugombea nafasi hiyo. Kwa mujibu wa Sheria ya Kinga, Haki na Madaraka...
  5. sky soldier

    Kiasi kikubwa cha bangi ya hapa nchini ni kushabu, watu wanavuta makapi sio bangi

    Kushabu/Koshabu ni bangi ambayo haijakidhi viwango, unaweza kusema ni makapi pia. Inakuaga Ndio aina ya bangi ambayo huuzwa kwa kiasi kikubwa hapa nchini, kati ya wauzaji 10 wauzaji tisa huuza kushabu. huyo mmoja aliebaki hadi kumpata ni mpaka connection, nadra sana kumpata kiukweli, ubora...
  6. Idugunde

    Zitto Kabwe: Watu wazima kujadili Milioni na Bilioni ni kukosa kazi za kufanya

  7. Idugunde

    CHADEMA kususia sherehe za Uhuru ni kukosa uzalendo. Hii ni kuthibisha kuwa hamfai kukamata Dola

    Hatujaona kiongozi yoyote wa kitaifa wa chama cha Chadema akiungana na watanzania uwanja wa uhuru kusheherekea uhuru wa taifa letu Mbaya zaidi mmeenda makao makuu ya chama chenu ili kufanya kongamano la katiba mpya kama sherehe za uhuru. Huku ni kukosa mshikamano na umoja. Ni dhahiri hamstahili...
  8. Frumence M Kyauke

    Mwanaume mmoja amechukua uamuzi wa kukata uume wake baada ya kukosa urijali

    Mkazi wa Kijiji cha Itolwa wilayani Chemba Mkoani Dodoma, Juma Juma (34) amelazwa katika kituo cha Afya cha Hamai wilayani Chemba akiwa hoi baada ya kujikata uume wake. Inadaiwa kuwa Juma amefikia uamuzi huo baada ya kupata ajali na kuteguke kiuno na kusababisha asiwe rijali. Akizungumzia...
  9. M

    Uongozi mbovu ndo unasababisha bidhaa kupanda bei na Kukosa maji na Nishati

    Tatizo la uongozi liliopo(vaccum of power) ndo linasababu bei ya vitu kupanda na nishati pamoja na maji kukosa. Tusingizie eti sijui awamu ya tano sijui blah blah. Tatizo liliopo sahivi na ndo chazo ya yote haya ni uongozi legelege usiosimamia kinachopaswa kusimamiwa.
  10. M

    Malipo ya fao la kukosa ajira kila mwezi (33.3%)

    Ndugu wana JF, Nimekuwa naomba kupewa muongozo kuhusiana na hayo malipo ya NSSF. Kwa ufupi baada ya kufatilia kwa muda wa miezi mitatu nilifanikiwa kupewa instalment ile ya kwanza (33.3%) ya basic salary, tarehe 7 mwezi wa kumi. Kinachonitia shaka sioni update yoyote ya invoice ya pili, kwa huu...
  11. Cannabis

    TANESCO: Mikoa 11 kukosa umeme kwa masaa 12 tarehe 15 Novemba 2021

    Mikoa 11 ya Tanzania itakosa umeme kwa saa 12 Novemba 15 mwaka huu kutokana na matengenezo yanayofanywa na Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) katika njia ya kusafirisha umeme wa kilovolti 220 kutoka Kidatu hadi Iringa. Umeme utakatika kuanzia saa 12 alfajiri hadi saa 12 jioni ili kupisha...
  12. Frumence M Kyauke

    Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kushindwa kulipa deni lake

    Mwanasosholaiti Risper Faith amemwanikaTanasha Donna kwa madai ya kukosa kulipia pesa za upasuaji wake. Jumbe zilizopakiwa kwenye ukurasa wa Instagram wa Edgar Obare, Risper alidai kuwa Tanasha alimwendea na kumuuliza kuhusu upasuaji wa urembo na uzoefu wake. Risper alisema kisha...
  13. Chagu wa Malunde

    Kubeza maendeleo yaliyoletwa na CCM ndani ya miaka 60 ni kukosa busara. Tulipata uhuru tukiwa nyuma sana kimaendeleo

    Inashangaza sana kusikia mtu anakebehi kuwa Ccm imelifanyia nini taifa hili ndani ya miaka sitini. Pamoja na kuwa tulikuwa chini ya uangalizi wa UN mpaka tutapopata uhuru lakini mwangalizi wetu yaani Mwingireza hakufanya maendeleo ya maana kama katika makoloni yake ya kudumu kama Kenya na...
  14. Lord denning

    Ushauri kwa Wanaotetea Machinga: Poleni sana, Mlishindwa kufanya kipindi chenu kwa kukosa maarifa! Tulieni wenye maarifa wawaoneshe inavyofanyika

    Huu ujumbe umwendee Humphrey Polepole, wenye chuki wote na Mama Samia wakiongozwa na kile kikundi kilichotaka kuigeuza Tanzania nchi ya kikabila na kikanda! Kwanza poleni sana! Naona mnateseka sana pale Mama Samia anapofanikiwa jambo! Mnajaribu kuzua mambo juu ya mambo ili kumtingisha Mama wa...
  15. peno hasegawa

    Handeni: Walimu wanaoga vichakani kwa kukosa bafu

    Walimu wanaofundisha Shule ya Msingi Gole iliyopo Kata ya Kang’ata wilayani Handeni mkoani Tanga, wameiomba Serikali kuwasaidia ujenzi wa vyoo vya walimu kwa kuwa wanajisaidia na kuoga kwenye vichaka kwa kukosa vyoo bora. Wakizungumza shuleni hapo juzi walisema kuna muda inabidi waingie...
  16. Nyankurungu2020

    Kuwaita viongozi wetu wakuu kuwa ni madhalimu ni kukosa busara, tangu tupate uhuru hakuna Rais aliyetawala kwa Presidential Decrees.

    Nashangaa sana watanzania tumekuwa watu wa kulaumu sana. Mara kila kiongozi anapoingia madarakani tunambambika majina ya kumpa udikteta, utasikia dhalimu, muuuaji mtekaji, na hata Dikteta uchwara. Hivi tokea tupate uhuru tumekuwa na rais ambae amekuwa akitawala kwa amri zake? Kuwa akiamka...
  17. muafi

    Vijana wa CHADEMA kujadili ulinzi wa Rais ni upuuzi na kukosa kazi za kufanya

    Vijana wa CDNM huko twitani wamerukwa na wazimu, mmekosa ajenda mnaanza kujadili kuhusu ulinzi wa Rais, mlitaka Rais alindwe na nani tutaacha lini ujinga wa kupinga kila kitu, wapumbavu wameanza kutaka Mama samia afanye kila anachofanya Rais wa zambia Chilema, yani Chilema msafara wake...
  18. N

    Swali kuhusu NSSF kwa waliowahi kulipwa fao la kukosa ajira

    Naomba kuuliza kwa wale ambao wameshawahi kulipwa fao la kukosa ajira. Inapotokea kwenye akanti yangu ya NSSF kwenye status inaonyesha Approved na salio linasoma 0.00 huwa inachukua siku ngapi mpaka pesa kuingia kwenye akaunti ya benki ya mwanachama ? Asanteni kwa mtakaonijibu...
  19. Lily Tony

    Tatizo la kukosa hamu ya kula

    Habari za majukumu wakuu,poleni na majukumu ya kila siku. Wakuu nina changamoto ya kukosa hamu ya kula ,ingawa nina hisi njaa lakini ninakula chakula kidogo sana, nashiba. Hili limekua tatizo la miaka na miaka lakini kadri siku zinavyoenda hali inazidi tete kiasi nakosa amani,Nitumie nini ili...
  20. L

    Mikindani Mtwara: Wafanyabiashara wadaiwa kukimbia soko lililojengwa kwa billion 5 kwa kukosa wateja

    Wafanyabiashara hao wameamua kuondoka kutoka katika soko hilo kwa kukosa wateja hali iliyopelekea biashara kuwa ngumu. Wafanyabiashara hao hawajui watalipa vipi madeni wanaodaiwa na taasisi mbalimbali za fedha. Ikumbukwe soko hilo limejengwa na serikali kwa gharama ya shilingi bilioni 5. Pesa...
Back
Top Bottom