kukosa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kuna hekima kubwa yenye mantiki juu ya asilimia kubwa ya vijana kukosa pesa za ziada

    Ni vyema vijana tukashukuru mfumo wa maisha uliopo ambao sio rafiki kwa sisi vijana kumiliki pesa nyingi katika umri mdogo. Kama tunavyojua ujana una mambo mengi na pesa ni lugha ya dunia combination ya vitu hivi viwili yaani pesa na ujana matokeo yake kwa vijana wachache yaweza kuwa mazuri ila...
  2. M

    Tunaomba majibu ya kuturidhisha Kimantiki ya kwanini Rais Samia amekuwa Rais wa kwanza kukosa kuhudhuria Sherehe za Muungano?

    Kutokana na Umuhimu na Unyeti wa huu Muungano wa Bara na Visiwani nimeambiwa kuwa Watu wa Itifaki katika Awamu zote zilizopita walikuwa Wakihakikisha Ratiba za Rais kamwe haziingiliani na Siku hii ya Muungano na kwamba ni lazima Mheshimiwa Rais awepo kutokana na kuwa pia ni Moja ya Tunu ya Nchi...
  3. M

    Kwanini nimefurahi mno Beki Henock Inonga Baka Kukosa Penati leo dhidi ya Orlando Pirates FC nikiamini kuwa kuanzia sasa atabadilika?

    1. Ana dharau sana Wachezaji wenzake 2. Anajiona ni bora kuliko Wote Kikosini 3. Anapenda Sifa na attention za Kijinga Uwanjani 4. Ana Utoto mwingi 5. Ana deka hadi anaboa na kuharibu 6. Anajiamini sana mpaka kujisahau 7. Ana Ushamba ambao haujifichi Nina uhakika kwa Ball Control yake...
  4. Uamuzi wa RC Mwanza na Viongozi wa jiji la Mwanza juu ya Mgambo ni uonevu na kukosa msimamo

    Tumekuwa na viongozi wa ajabu sana wanaofanya maamuzi kwa mihemuko. RC na viongozi wa jiji Mwanza wameafukuza kazi mgambo waliopigwa picha wakichukua ndizi za mmachinga toka kwenye toroli lake na kuziweka kwenye gari la jiji. Nina hakika na ninakumbuka wamachinga wamekatazwa kutofanya biashara...
  5. Jamii ingechukulia kwenda shule Kama utamaduni mmoja kwa binadamu kamili tusingekuwa na presha kwa kukosa kuajiliwa

    Wazazi waache kuwalaumu watoto wanapofeli shule kwa kigezo Cha kuwa hutofanikiwa. Wazazi wawekeze mda mwingi na watoto juu ya nidham ya fedha ili wao nao waweze kuwafikisha watoto wao mbali kielimu. Shule tungeiona Kama tamaduni yenye kumuimarisha kijana kiakili na kifikra kuwa bora zaid...
  6. Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

    Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi. Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara...
  7. Wanahabari kujikita kusifia viongozi zaidi ni kukosa weledi?

    Salaam Wanajukwaa, Hapo zamani ilikuwa ni nadra sana kusikia chombo cha habari kutwa nzima kinasifia kiongozi fulani lakini kadri siku zinavyozidi kwenda imekuwa kawaida na tabia hii inazidi kuota mizizi sana. Unaweza kuta kila kipindi ndani ya dk kadhaa unasikia zinamwagwa sifa za viongozi...
  8. J

    IGP Sirro: Wale wachache wanaotaka nchi isitawalike kwasababu ya kukosa madaraka hatutawapa nafasi

    ..Dah!! ..Sijui Afande Sirro amewalenga kina nani ktk kauli hii.
  9. Uamuzi wa NMB ni dalili ya taasisi za kifedha kukosa ufanisi katika utendaji.

    Awali ya yote nipende kuwasalimu nyote mtakao pata nafasi ya kupitia uzi huu. Binafsi nimeshangazwa na uamuzi uliofanya na Benki ya NMB leo, kutoa Kompyuta mapaka yaani laptops kwa wamachinga. Nimepata maswali mengi sana, je wamepewa ili wauze ama ziwasaidie katika biashara zao?. Na kama ni...
  10. L

    Mwanaume ukikosa hela, mpenzi wako atachukuliwa mbele ya macho yako

    UDSM, 2010 saa moja na nusu usiku nipo dirishani hall 6 nachungulia dirishani. Ghafla anashuka Dada mmoja kutoka juu ghorofa ya kwanza anakutana na kijana mmoja aliyeonekana amebeba mfuko wanakumbatiana na kwenda kukaa kwenye nyasi. Kijana anafungua mfuko na wote wanaanza kula nadhani ni...
  11. L

    Kama unapitia changamoto na unahisi kukata tamaa pita hapa

    " FORREST GUMP" Hii movie itakusaidia kujua kuwa hata mjinga anaweza kukufundisha kitu, ina mafunzo mengi mno ambayo yatakusaidia katika dunia. Kujua kuishi na watu, itakufunza kuwa hakuna ajuaye kesho basi heshimu kila mtu nk. Kama una depression, mid life crisis, anxiety, mambo yako hayaendi...
  12. Kwa Utaita wote ule hivi ndivyo Sugu anavyorusha ngumi? Ni umri au kukosa muda wa mazoezi?

    2 proud a.k.a sugu a.k.a mr 2 a.ka Jongwe... Taita la mataita. Samahani kama nitamkwaza mheshimiwa lakini nimeona nimpe ushauri kidogo. Kwenye hii video aliyopost haihitaji mtu awe bondia, hata mvulana anaejua mambo machache kuhusu ngumi ataona kwamba kuna tatizo kwenye urushaji wa ngumi...
  13. Kukosa mtoto wa kiume inawasumbua sana wanaume kufanya wakose amani

    Bwana Mchanga alipata nafasi ya kwenda masomoni nchi za Scandinavia, alibahatika kupata mke wa Kizungu na baraka ya mabinti watatu. Baada ya masomo Mrs Mchanga alikataa kurudi Tanzania. Waliachana kwa amani na bwana Mchanga kurejea nyumbani. Alipata ajira serikalini kama afisa mwandamizi...
  14. Hali ya kukosa umeme haivumiliki na Watanzania siyo wajinga kiasi hicho

    Habari wana familia ya JF. Naandika huu uzi nikiwa na hasira sana, kama yatajitokeza makosa ya kiuandishi basi mniwie radhi.Ni muda kama wiki sasa tangu serikali hii dhalimu ilipotangaza mgao wa umeme kwa umma ila uhalisia mgao wa umeme ulianza muda sana tangu waziri makamba aingie pale...
  15. L

    Maamuzi, kupata, kukosa

    Kwenye maisha huwezi kupata kila kitu unachokihitaji hii ndio tunaita Scarcity of resources kwenye uchumi. Kwenye mchoro imewakilishwa na point F. Inamaana hiki ni kile kitu ambacho unakitamani sana ukipate lakin hauna uwezo wa kukipata kutokana na uchache wa mali zako, elimu yako nk...
  16. TRA ni taasisi ya kukosa network kweli?

    Nimekuwa nafuatilia masuala yangu TRA (sisemi ni wapi) hapa Dar. Wakati wahudumu wakiendelea na huduma unasikia wanasema subiri network irudi. Hapo majukumu inabidi yasimame hadi network ikae tena sawa. Ikifika hapo baadhi ya wateja huamua muahirisha kilichowapeleka pale. Hili nimekumbana nalo...
  17. Bado sijaona kama kuna sababu za nje ya uwanja zinazosababisha Simba kukosa matokeo, tuache kukuza mambo

    Mimi huwa nafuatilia pia Mechi za Yanga, kiukweli sijaona tofauti kubwa sana ya kiuchezaji au kiupambanaji. Tofauti pekee ni kuwa Yanga wanafanya juu chini wapate walau Goli moja na kuhakikisha hawaruhusu goli...ukitoa ile mechi yao na Namungo ambapo ilibidi Refa ajiongeze lakini Wazee Wenzetu...
  18. Kukosa hamu ya tendo la ndoa

    Habari za majukumu. jamani wana jamii nina matatizo ya kuto kupata hamu ya tendo la ndoa. Pia sina hisia za kupenda wanawake au mausiano kwa ujumla. Na niliamua kumsafilisha mke wangu mwaka jana na sina hisia nae kabisa. Je nitakua nina matatizo kiafya.
  19. Waziri wa Elimu, kuna shule zinawachapa viboko wanafunzi kwa kukosa mahitaji ya shule, watoto wanahusikaje?

    Waziri wa elimu hebu litupie macho hili la walimu kuwaadhibu wanafunzi kukosa michango na mahitaji ya shule,kama hao watoto ndio watafutaji wa hayo mahitaji. Kwanini usimuite mzazi ukamuadhibu kwa hilo kosa la kutomtimizia mtoto wake mahitaji, unamchapa viboko mtoto ana kosa gani? Pili hiyo...
  20. Ukosefu wa waandishi habari vijijini husababisha changamoto lukuki zilizopo huko kukosa utatuzi

    Imezoeleka kuwa habari za vijijini zinapatikana pale kiongozi wa kitaifa akienda huko huku akiongozana na wandishi wa habari toka mjini kwa ajili ya uzinduzi wa jambo fulani kama vile Kisima, Hospital nk lakini baada ya hapo huondoka zao na kurudi walikotoka bila hata ya kuzunguka na kujua...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…