Msanii wa miondoko ya Hip Hop nchini Joh Makini, amelalamika kukosa sapoti toka kwa msanii mwenzake aliefanya nae wimbo.
Joh ameandika kwenye ukurasa wake wa X,
“Hii tasnia yetu bana kuna vitu vinafikirisha sana sometimes kufundishana uoga kwiingi mtu anakubali kushiriki kwenye wimbo kiroho...